- Thread starter
- #121
Usicheke nduguWewe Pgm iko pika chakula zuli bana,noma sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usicheke nduguWewe Pgm iko pika chakula zuli bana,noma sana!
pika tu mwanangu maana hakuna namnaWakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunaosoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki. Kea mshahara wa 250,000/= kwa mwezi
Aisee elimu hii ovyo sana.
Tz haina na haijawahi kuwa na ma genius wanaopata one necta ni wale wanaokomaa kweli kweliHivi kwanini huwa husomi umetulia mtoto wa kisukuma? Unakurupuka tu! Nasema mwanafunzi akiwa serious na masomo hawezi kukosa kutimiza ndoto zake. Hakuna visingizio. Magenius wataonekana NECTA si vijiweni
Hahaaa sawa umeshinda mana mda mwingine bora kukaa kimya tu.Kwa taarifa yako hapo probability ni 0
Kufikiri wewe ni mshambuliaji haimaanishi ndio umezaliwa hivyoHahaha unaweza zaliwa mshambuliaji ila maisha yakakuchezesha kama kipa
Million 80 ulikuwa unafanya kazi ganiKwahiyo unapika pilipili tu huko Mshukuru Muumba muweza wa yote hapo Fanya kama steping stone make hela nenda chuo kasomee urubani
Mimi nilisoma PCM nikasoma accounts nikakopa hela bank mil.80 na nikatembeza bakuli nikatafuta scholarship nikaenda Australia nika graduate FPCTL sasahivi ni rubani Etihad airways nalipwa dola 12 elfu p/m.Yani in mwendo wa paris, london, Frankfurt, Bangkok, Usikate tamaa.
Kumbe ni vyuo ndo vinahaha, nilidhani makampuni ndio Yana haha kutafuta maengineer , basi sawaUliambiwa usome wewe ukacheza unafikiri nini? Lazima adhabu ya kutokusoma ikuandame. Ungalipata div one A physics, A maths ungeenda engineering tu. Angalia vyuo vya engineering vinavyohaha kutafuta wanafunzi. Rubani kwa taarifa yako ni dereva kama wa Passo ila yeye Passo yake inaruka angani.
Na ikizubaa unakuwa mshangiliaji huku wenzio wakifunga magoli.Hahaha unaweza zaliwa mshambuliaji ila maisha yakakuchezesha kama kipa
Dereva wa basi au daladala mkuuHahaaa sawa umeshinda mana mda mwingine bora kukaa kimya tu.
Kweli urubani ni sawa na dereva tax waaminishe wenzako hivyo hivyo.
Makampuni wapi na wapi na GPAKumbe ni vyuo ndo vinahaha, nilidhani makampuni ndio Yana haha kutafuta maengineer , basi sawa
Hiyo ni ada,hostel, na matumizi ni kama dola elfu 40 hivi
Kuondoa ujingakama ulikua hutaki A kwanini uliendelea kusoma?
Mtu anayezungumzia miaka ya 1999 aanze kufanyia kazi na uzee huo?Vizuri anza kuifanyia kazi, mtangulize Mola.
Nataka kujua ulikopa hela hiyo kwa dhamana ya kazi gani?Hiyo ni ada,hostel, na matumizi ni kama dola elfu 40 hivi