Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pika tu hizo chicken tikka wahindi wale....Nimeishia kupikia wahindi Chicken Tikka
Daaah kitu Safi saana hiiii[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Aiseee!!!!View attachment 1274584
Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunaosoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki. Kwa mshahara wa 250,000/= kwa mwezi
Aisee elimu hii ovyo sana.
JF ina kila aina ya takataka,Mpaka wapishi wa wahindiWakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunaosoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki. Kwa mshahara wa 250,000/= kwa mwezi
Aisee elimu hii ovyo sana.
Ulifaulu vizuri?Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunaosoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki. Kwa mshahara wa 250,000/= kwa mwezi
Aisee elimu hii ovyo sana.
Div 2 ya 12...Physics (D), Geography (D), Adv. Maths. (D) nikaomba Electronics UDSM nikatoswa nikaenda Mererani sikutoboa nikaja Dar ndo nakomaaUlifaulu vizuri?
Ha ha haaaaUsijali, jiongeze uwe mpishi wa vyakula vya kwenye ndege.. At least utakuwa umefikia nusu ya ndoto yako
So watu wasisome kwa bidii au?Kuna madogo wamesoma Alfa...Then wakaenda nje...ni wlaikia vichwa balaa ss hvi madalali wa mashamba!wasitutishe kbsaaaa!
Tutishane bank kwenye figures sio mavyeti!
Wabongo kwa kujifarijibinadamu tunamipango yetu na mungu ana mipango yake si kila unachotaka lazima kiwe, saa nyingine mungu anakupa kazi nyingine kukuepusha na majanga, pengine ungekuwa rubani ungedondoka na ndege kwenye msitu wa seloe
Kina MwakinyoWabongo kwa kujifariji
So watu wasisome kwa bidii au?
wewe nae majivuno yamekuzidi mno, una mtazamo wa kwamba unamzidi kila mtu humu JF. UNAKOSEAKatika elimu kuna slow learner, medium na vipanga. Kila mtu lazima ajitume ili afanikiwe. Wengi huwa tunahangaika na MATOKEO bila kuangalia CHANZO. Kufeli kupo lakini ukiangalia chanzo ni kutojituma. Kuna masomo ya kusoma ukiwa na muziki pembeni na kuna masomo yanataka kujichimbia bila kelele. Inategemea wengi tupo slow learners lakini enzi zetu ilikuwa ni kusoma usiku kucha. Nashangaa kuona sasa hata youtube zipo zinafundisha, unaweza kupata e-books hata pdfdrive.com wanatoa vitabu bure mtu unakalia kuhangaika na ati Magufuli etc. Soma uangaze mbele. Watu wanadai hakuna kazi, lakini kazi zipo ila sasa lazima uwe umetusua kweli anza na form four, six, degree ya kwanza (GPA isiwe chini ya 4) na uhakikishe angalau una Masters ndipo utafute kazi.
Ha ha ha. Pande za Bonde la Mpunga Kyela
HII ULIYOIANDIKA HAPA NI NNYA,Katika elimu kuna slow learner, medium na vipanga. Kila mtu lazima ajitume ili afanikiwe. Wengi huwa tunahangaika na MATOKEO bila kuangalia CHANZO. Kufeli kupo lakini ukiangalia chanzo ni kutojituma. Kuna masomo ya kusoma ukiwa na muziki pembeni na kuna masomo yanataka kujichimbia bila kelele. Inategemea wengi tupo slow learners lakini enzi zetu ilikuwa ni kusoma usiku kucha. Nashangaa kuona sasa hata youtube zipo zinafundisha, unaweza kupata e-books hata pdfdrive.com wanatoa vitabu bure mtu unakalia kuhangaika na ati Magufuli etc. Soma uangaze mbele. Watu wanadai hakuna kazi, lakini kazi zipo ila sasa lazima uwe umetusua kweli anza na form four, six, degree ya kwanza (GPA isiwe chini ya 4) na uhakikishe angalau una Masters ndipo utafute kazi.