Nilienda ukweni wakidhani sijui lugha yao wakaanza kuniteta, nikaamua kumuacha binti yao

Ole wako binti yao apatwe na Baya watahisi ni wewe
 
Ulakoze!
 
Mtie mimba ndio umuache ili uongeze singo maza ktk ukoo wao...
 
Msafwa ulienda oa unyakyusani...ni mfano tu
 
Tupe dondoo hizo..walkua wanakusema nn?? [emoji3][emoji3]
 

Hata ingekuwa mm nisingekubali binti yangu aolewe na kabila lako Maana ni wavivu, ni omba omba Kwa asili yenu, m1 akifanikiwa kidogo tu ukoo Mzima unahamia kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…