The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
Huyo Baba ni mjingaKuna rafiki yangu kwao wako watatu Yeye ndo wakike peke yake. Baba yake alikuwa anamdharau kwasababu Ni Ke, anawapa power Kaka zake kwa kila kitu, Hadi alimtamkia live wewe Ni msichana huna chako hapa.
Saivi Kaka zake wote walevi hawana msaada kwenye familia msichana ndo anasimamia kila kitu, Baba yake nafsi ilimsuta kwa aliyosema alimuomba msamaha.