Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Jamani khaaaUsikute huyo wa kiume sio wako ni kazi ya dereva bodaboda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani khaaaUsikute huyo wa kiume sio wako ni kazi ya dereva bodaboda
We unapigwa ipi kma mwanaumeMkuu kumbuka hata wa kiume siku hizi wanaliwa tgo ni wew tu uchague apigwe wa kiume au wakike iyo dog style.
HongeraHali hii hutokea katika ndoa nyingi. Mke anazaa watoto wa jinsia moja tu mfululizo, ama wa kike au wa kiume tu. Wazazi wengi huwa wanapenda wapate watoto wa jinsia zote. Kwa sababu hiyo inapotokea wanapata watoto wa kiume tu au wa kike tu huanza kutafuta njia ya kutatua 'tatizo' hilo. Wengine huenda kwa madaktari kutafuta ushauri wa kisayansi na kufanikiwa kupata mtoto wanayemtaka; lakini wengine ushauri wa kisayansi bado hauwasaidii kupata mtoto wa kiume au wa kike.
Wazazi wanapofikia hali hiyo wengine huenda kwa waganga wa kienyeji na huko huishia kuchanganyikiwa tu kutokana na masharti magumu wanayoambiwa na mganga. Jaribu kuwaza mtu anaambiwa apeleke kwa mganga kinyesi "fresh" cha tembo ndio apate dawa!
Nakumbuka mme fulani alisababisha mgogoro katika ndoa yake baada ya kumgombeza mke wake kwanini anazaa watoto wa kike tu. Na waume wengine huamua kuwaacha wake zao au kuoa mke wa pili ili wajaribu kama watapata watoto wanaowataka kwa njia hiyo. Njia zote hizo zinaposhindikana hubaki na huzuni isiyokoma.
Mimi pia nimepitia hali hiyo. Mara ya kwanza mke wangu alipata mtoto wa kike. Mara ya pili akajifungua tena mtoto wa kike. Tulikuwa tunajitahidi angalau tupate mtoto kila baada ya miaka miwili. Mara ya tatu mke wangu akazaa tena mtoto wa kike. Hee nikaanza kufadhaika, maana nilitamani na mimi niwe na mtoto wa kiume. Sikumlaumu wala kumgombeza mke wangu kwanini anazaa watoto wa kike tu kwa sababu najua kisayansi mwanaume ndiye anayehusika zaidi kufanya mtoto wa jinsia ipi azaliwe.
Katika kutafakari nifanyeje nikakumbuka yale maneno ya Mungu yasemayo "Ombeni nanyi mtapewa" Nikakumbuka pia habari za mama mmoja katika Biblia aliyekuwa hapati kabisa watoto lakini baada ya kumwomba Mungu akapata.
Kwa sababu hiyo na mimi nikaanza kumwomba Mungu kwa juhudi kwamba mke wangu atakapojifungua mtoto wa nne, awe wa kiume. Ndugu zangu, Mungu hana upendeleo, alisikia maombi yangu na kutupatia mtoto wa kiume. Kinachotakiwa tu ni kuhakikisha mahusiano yetu na Mungu ni mazuri na kuomba kwa imani, pasipo shaka. Yote yawezekana kwake aaminiye(Mk 9:23).
Yupo Kidukulilo wa kikeKidukulilo kwani siku hizi kaokoka
Hongera sana mkuu.
Back to me ... Asante kwa kunipa njia nzuri ya kupata jinsia ya mtoto nimtakaye maana hapa mimi natungua ya kiume tu na niliahidi kimoyo moyo nitamzalisha Hadi kieleweke..
Sasa naanza maombi Rasmi
Hilo wazo lako sahau, mkuu. Mimi naishi kwa kumtegemea Mungu na ahadi zake.Nakuhakikishia kuwa huyo mtoto wa kiume anakuja kuwa zigo na utajuta kumzaa!
Mungu aliumba mwanaume na mwanamke. Kwanini tusifurahie kuwa na watoto wa kike na wa kiume? Mimi nilipopata wa kike tu sio kwamba nilichukia, la hasha; ila nilitamani nipate na wa kiume. Na kwa kumpata wa kiume, furaha yangu ilitimilika. Yesu alisema tuombe, tutapewa, ili furaha yetu iwe timilifu.Yaani mimi nihangaike kwa madaktari kusaka jinsia ya mtoto? Mimi huyu huyu nizurure kwa waganga kutaka jinsia fulani ya mtoto!!??? Yaani mimi nijisikie vibaya kuzaa watoto wa jinsia fulani!!?? Mimi huyu?
Umbumbumbu na laana ya hali ya juu sana, kuna watu hawana watoto wanaposoma maoni yenu hapa wanasikitika sana
MTOTO NI MTOTO(Nimesisitiza kwa herufi kubwa)
Halafu nina bahati na watoto wa kike tu na niko normal kabisa, mwanamke anapambana na ushauri wa kitaalamu ili apatikane wa kiume mimi ndo kwaanza nafelisha makusudi tu, akisema tarehe hizi nile vizuri, nisifanye sana mazoezi, nipumzike vizuri ndo kwaanza sina habari mwendo ni uleule
Akisema sijui siku ya ngapi tukit.iana tunapata wa kiume ndo kabisaa hiyo siku navuruga ratiba
Siwezi kutumia nguvu kubwa kusaka jinsia ya mtoto never!!!!! Acheni hizo kuna watu hawana watoto wanatamani wapate hata mlemavu
Yameniuma sana baadhi ya maoni hapa, ukute wanachagia watoto wadogo
We unapigwa ipi kma mwanaume
Kutoridhika tuMungu aliumba mwanaume na mwanamke. Kwanini tusifurahie kuwa na watoto wa kike na wa kiume? Mimi nilipopata wa kike tu sio kwamba nilichukia, la hasha; ila nilitamani nipate na wa kiume. Na kwa kumpata wa kiume, furaha yangu ilitimilika. Yesu alisema tuombe, tutapewa, ili furaha yetu iwe timilifu.
Yn 16:24
Hata sasa hamkuomba neno kwa jina langu; ombeni, nanyi mtapata; furaha yenu iwe timilifu
umekosea sana ndg.Nakuhakikishia kuwa huyo mtoto wa kiume anakuja kuwa zigo na utajuta kumzaa!
Kweliumekosea sana ndg.
sio sawa kumtabiria mtoto wa mwenzio mambo mabaya.
Na unaridhika kununiana na mzazi mkuu?Mie hajaniombaga msamaha ila mie ndo imekuwa reference hom...wanaishi kama baba yao hatakuja kufa mtu ana 80's! Full mipombe..
Kuna kipindi niliomba pikipiki ilikuepo tu hm..dingi akasema hv hujui ww umeshaolewa huna chako hapa? Nililiaa[emoji1787][emoji1787]!
Ss hv wananiletea tu kesi..oh ongea na dadako na mdg wako wameanza vutana kuhusu nyumba za dar..mie nasema baba mm nilishaolewa hayo hayanihusu..na kweli hayanihusu sipend kbs kupigana kisa mali za mzaz .ujinga sana! Bas kila mara ananiambia ongea na bro ako mwambia maisja anayoishi sio kbs ntakuja kufa namwambia mie nishaolewa sina hadhi ya kuongea naye tunaishia kununiana tu ..! MUNGU FUNDIII