Nilifadhaika sana kupata watoto wa kike tu

Huyo Baba ni mjinga
 
Mshukuru muumba kwa kukata kiu yako ya mtoto wa kiume, lakini kumbuka pia kumuomba sanasana huyohuyo uliyemwomba, akusaidie katika matunzo na malezi sahihi ya kijana wako, usije ukaleta ufundi wako na ukasahau wakati wa kiu yako uliekekeza kilio chako wapi.
 
Kuwa na amani mkuu wala wasikupe tabu, ni watoto hao

Nikiwaza kwamba kuna watu hawana watoto na wanapambana sana, hujikuta sihitaji kuchagua chagua

Kuna mtu anatamani hata apate toto jambazi mradi tu ijulikane ana kizazi lakini ana bahati mbaya
Ni kweli ndugu yangu.
 
Ee Mungu, sikia kilio cha ndugu huyu anayeomba kwa imani. Umjalie kupata mtoto wa kike ili furaha yake iwe timilifu. Nakushukuru kwa kuwa utafanya hivyo, katika Jina la Yesu. Ameen
Amen Amen
 
Nimekuelewa mkuu.
 
Yeah, huo ni ushauri mzuri kwake. Mimi maombi ni kama chakula kwangu. Every time is a prayer time. Tulishaagizwa tangu zamani tushukuru kwa kila jambo na kuomba bila kukoma. Watoto wangu nawaombea sana, almost daily. Na Mungu anawabariki kwa kweli.
 
Haa😃😂😁😀😆😅😄
Unammenyea Yai Analia Unampa Uji Anatupa Kikombe
Unamzaba Kofi Moja Abugie Yai
JPM
Hahahahahahahahahahahah muda wa kwenda shule ni kilio mwanzo mwisho🤣🤣! Toto had std 7 linaamshwa asbh liende shule...mbaafu
 
Baba yangu alibahatika mabinti wa kike wa5,wakahangaika kutafuwa wa kiume,wakapata wawili.
Sasahivi mabinti ndio wanaomsaidia,wa kiume hawana msaada wowote kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora na ww umeappear kutoa ushuhuda huu .wengine tuna gundu tukisema watu wnaona unajifagilia ..!
Hata mm babu mzaa mama alizaa12..6 wakike 6 kiume..lakinu had anafariki mwaka juz watoto wa kike ndo walikua msaada sana kwake...kuliko mamen...! Yaan kwenyr msiba wajomba walikua wanasubiri tu msos wale..mie had nipate kakike aise..wee!
 
Kwani anaetengeneza hatma ya maisha ya mwanadamu ni Mungu?Yaani kwa mfano uvute bangi kisha uwe teja halafu umsingizie Mungu?Akili za wapi hizi?!
Kila anaekuja hapa duniani anakuja na kusudi maalumu. Sisi ndo tuna wajibu wa kuamua kutimiza ama laa. Kuvuta bangi ama tabia nyingine mbovu ni maamuzi yetu tu japo mazingira wakati mwingine huwa yanachangia.

Sisi wengine tulinenewa mabaya mengi kama ulichofanya hapa on the basis of "kuchakata" taarifa alizotoa mwenye uzi na matokeo yamekuwa kinyume chake. Tumekuwa msaada si tu kwenye familia zetu ila hata kwenye jamii inayotuzunguka.
 
Blaza hongera kwa kupata mtoto wa kiume..mungu Ni mwema atakujalia Tena mwingine wa kiume
 
Watu wanawachukulia poa watoto wa kike lakini kiuhalisia ndio wenye msaada sana kwa familia na wazazi.

Una wa kiume wote?[emoji23]
Upo kama dada yangu..4wote wa kiume.
Ameshakata tamaa ya kupata wa kike na umri umeshamtupa mkono.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…