BekaNurdin
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,267
- 2,043
Mimi ninao watoto wawili wa kike. Kwa kweli suala la jinsia halinisumbui kwa kuwa naamini Mungu akipenda atanipatia.Hongera mkuu, lakini kumbuka, mtoto ni mtoto tuu na ni zawadi toka kwa mwenyezi Mungu.