BekaNurdin
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,267
- 2,043
Mimi ninao watoto wawili wa kike. Kwa kweli suala la jinsia halinisumbui kwa kuwa naamini Mungu akipenda atanipatia.Hongera mkuu, lakini kumbuka, mtoto ni mtoto tuu na ni zawadi toka kwa mwenyezi Mungu.
Ni kweli. Hata chakula ukila cha aina moja ni chakula tu; lakini ukiweza ku-mix inakuwa superNdo ukweli huo chief.. ondoa tu hiyo mindset.. mtoto ni mtoto mkuu..
Why huna hamu nao tena😀!mm nawazaga tu kumsuka, then avae madini tu yaani . .yaan ntamtoboa sikio siku ya 2Mkuu, me nina watoto wawili, wote wa kiume tupu.
Shemeji yako ana mimba nyingine ya miezi 8 sasa, natarajia mwezi ujao atajifungua.
Kila muda tumekuwa watu wa kuomba mungu ili tupate mtoto wa kike maana hawa wa kiume sina ham nao tena.
MtapataKila muda tumekuwa watu wa kuomba mungu ili tupate mtoto wa kike maana hawa wa kiume sina ham nao tena.
Nawapenda sana wote, mkuuKwa hili ninatabili huyu.mtoto utampenda kuliko.wote hii itapelekea huyo mtoto kua na zalau kwa wenzie.ushauri wangu wapende wote usibague
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Kama mna kimuhemuhe na wahka kujua jinsia ya mwanenu ajaye mbona ultra sound itawasaidia kujua mapema tuMkuu, me nina watoto wawili, wote wa kiume tupu.
Shemeji yako ana mimba nyingine ya miezi 8 sasa, natarajia mwezi ujao atajifungua.
Kila muda tumekuwa watu wa kuomba mungu ili tupate mtoto wa kike maana hawa wa kiume sina ham nao tena.
mimi mambo ya kukaa bila amani siyataki, mtoto wakike kuna umri tu akiufikisha ni balaa mzazi unakua huna amani tena mana watoto wenyewe siku hzi wanakua mapema unakuta mtoto mwili unatamanisha lkn yeye bado ana akili za kitoto so hawezi kujilinda na vishawishi hlf kibaya zaid wanapitia vishawishi vingi mno ,yani unakuta akienda dukani anatongozwa, shuleni anatongozwa, kwenye daladala anatongozwa, kwenye mafunzo ya dini anatongozwa,nyumbani anatongozwa,mtaani tu utakuta kuna njemba kama 6 hivi zinamfukuzia yeye hapo bado kwenye safar zake nyengine n.k sasa yeye hana akili ya kujilinda na vishawish vyote hivy lazma tu atanasa kwa wahuni so inakubidi wewe mzazi umsaidie lakin kwa bahati mbaya huwezi kuilinda bahari, mana unaweza ukawa unamfundisha mtoto wako vizur tu kila muda unakaa naye unampa risala ili aweze kuyaepuka majaribu lkn bahati mbaya hawa viumbe hata sijui kwanini wakikutana na wakulungwa huko njiani wakapigishwa sound basi hapo yale maneno yote ya mzazi wanasahau na kuyakubali anayombiwa na jamaa hlf sometimes unaweza kukuta unamhudumikia mwanao vizur tu hlf anaend kuliwa na muhuni hana mbele wala nyuma shabaash..., mkuu nayaongea haya kwa experience ya kutosha pia na mengine nisiyoyataka ni kma haya [emoji116][emoji116]Ndo ukweli huo chief.. ondoa tu hiyo mindset.. mtoto ni mtoto mkuu..
Mwenyezimungu anasema humpa amtakae watoto wa kiume tupu, mwingine wa kike tupu, mwingine humchanganyia wa kike na kiume. na mwingine humnyima kabisa akakosa.Mimi ninao watoto wawili wa kike. Kwa kweli suala la jinsia halinisumbui kwa kuwa naamini Mungu akipenda atanipatia.
Njoo pm nikupe maujanja upate bintiDaaah pole sana Mimi Nina wakiume wa 4 natamani binti aisee
Siku nakabidhiwa binti yangu nililia hadi basi, nilimsotea kwa maombi yani sikuamini. karibu pm tujaribu kambinu kama uko tayariWhy huna hamu nao tena😀!mm nawazaga tu kumsuka, then avae madini tu yaani . .yaan ntamtoboa sikio siku ya 2
Nilijua tyuuh hoja ya hivi lazimaa iwepo. [emoji23][emoji23][emoji23]Obama anawakike tu, Bill Clinton anawakike tu. Waafrica na wahindi ndo tumebaki kuamini Watoto wakiume Ni asset.
Dunia ya saiv kwanza ukizaa wa kiume inabidi umuombee Sana. Hata James delicious Baba yake alikuwa proud alipozaliwa akasema amezaa kidume.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo wakati mtoto wako wa kike anato.mbwa utakuwepo room ukishudia game? [emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ana 32..serious mama namuonaga anafua had boxer. Mie kimyaaaaaaaaaa!
Ntakuja asbh aise uwiii cnt waitSiku nakabidhiwa binti yangu nililia hadi basi, nilimsotea kwa maombi yani sikuamini. karibu pm tujaribu kambinu kama uko tayari