Nilifadhaika sana kupata watoto wa kike tu

sisi tulizaliwa watano wote wakiume ni familia yenye amani sana hakuna drama japokuwa tulikuwa tunapigana sana kipindi cha utotoni, hivi sasa namuonea mother huruma kama yupo mpweke hivi japokuwa anawakamwana wakutosha ,[emoji23]
 
haya mambo ya watoto, mali n.k ni kushukuru tu kile mlichojaliwa, vinginevyo utaishi kwa mfadhaiko mpk uione dunia chungu
Mungu alisema tushukuru kwa kila jambo lakini pia amesema tuombe jambo lolote tutapewa.

Yohana 14:13-14​

Nanyi mkiomba lo lote kwa jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana. Mkiniomba neno lo lote kwa jina langu, nitalifanya
 
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
 
Ni coincidence kwa watu wasiomwamini Mungu na ahadi zake. Mungu amenipa mambo mengi sana baada ya kumuomba. Sio hilo tu la mtoto wa kiume. Muda haunitoshi kuyashuhudia mambo yote humu.

Watu wanaoomba lakini hawapati haimaanishi Mungu hawasikii. Ukisoma Biblia utagundua kuwa majibu ya maombi wakati mwingine huwa yanazuiliwa au kucheleweshwa. Katika hali hiyo kinachotakiwa ni kuendelea kungojea majibu bila kukata tamaa na kumpinga Ibilisi anayezuia.

Na wakati mwingine Mungu anasikia lakini anajibu "no" kama tunaomba vibaya. Soma Biblia ndugu, utaelewa.
 
Nilivyomuelewa mleta mada hajasema jinsia fulani ni bora

Nimeelewa alipata watoto watatu jinsia moja akatamani kupata jinsia tofauti...ambacho ni kawaida
Kweli kabisa, mkuu
 
Nakuhakikishia kuwa huyo mtoto wa kiume anakuja kuwa zigo na utajuta kumzaa!
Mimi yalinikuta [emoji24][emoji24]
Mke wangu Alisali na Kufunga ili apate mtoto wa Kiume!
Mungu Akampa!
Kilicho Tokea Ukawa Mwiba ukatuchoma mimi, mke wangu, na Jamii kwa ujumla wake [emoji24][emoji24]
Anacho Tupa Mungu Tupokee kwa Shukrani
 
Dah! mtoto ni mtoto tu, kama vipi tafuta njemba ambayo inafyatua midume tu ikusaidie angalau wife afyatue vitoto vitatu vya kiume. Kuna dingi mdogo yeye kati ya watoto 10 kafyatua 9 wa kiume, kama vepe nikuunganishe naye...
 
Mimi yalinikuta [emoji24][emoji24]
Mke wangu Alisali na Kufunga ili apate mtoto wa Kiume!
Mungu Akampa!
Kilicho Tokea Ukawa Mwiba ukatuchoma mimi, mke wangu, na Jamii kwa ujumla wake [emoji24][emoji24]
Anacho Tupa Mungu Tupokee kwa Shukrani
Huyo kijana alivyobadilika na kuwa mwiba, mke wako hakupaswa kukata tamaa, angesali na kufunga tena ili Mungu ambadilishe awe mwema. Mungu anaweza yote. Anaweza kuwabadilisha majambazi wakawa Wainjilisti.
 
Unapo omba usipende kuishia kuomba Mungu akipe unacho taka, jitaidi kuomba pia Mungu akuonyeshe mwisho wa hicho kitu unachokitaka utakuweje
 
7uv
 
Unapo omba usipende kuishia kuomba Mungu akipe unacho taka, jitaidi kuomba pia Mungu akuonyeshe mwisho wa hicho kitu unachokitaka utakuweje
Nimesha Omba Toba na Rehema kwangu kama Kichwa cha Nyumba Mungu Akaturehemu na Kumkarabati kijana!
Pia Imekuwa FUNDISHO kwa walio na mawazo kama Mimi!
Amen!
 
Huyo kijana alivyobadilika na kuwa mwiba, mke wako hakupaswa kukata tamaa, angesali na kufunga tena ili Mungu ambadilishe awe mwema. Mungu anaweza yote. Anaweza kuwabadilisha majambazi wakawa Wainjilisti.
Hilo Jukumu Nilichukua Mimi kama Kichwa cha Nyumba!
 
Wewe ni jinga tu

Kuomba vibaya ndio kupi? Kwani wasiopata watoto hawaombi?

Acha kubagua jinsia
 
Mimi yalinikuta [emoji24][emoji24]
Mke wangu Alisali na Kufunga ili apate mtoto wa Kiume!
Mungu Akampa!
Kilicho Tokea Ukawa Mwiba ukatuchoma mimi, mke wangu, na Jamii kwa ujumla wake [emoji24][emoji24]
Anacho Tupa Mungu Tupokee kwa Shukrani
Waambie hao
 
Na mwanaume hupenda kuchagua kwa sababu hajui shida apatayo mwanamke kuanzia kubeba tumbo mpaka kujifungua.Kuweni na utu kidogo
Sio wanaume wote, mbona mimi nimeridhika na wa kike lakini mwanamke ndo anataka wa kiume
 
Mkuu umesoma heading anasema alifedheheka kupata wa kike tu. Meaning Watoto wakike kwake si Bora furaha yake ingekamilishwa Kama angepata wa kiume.
Kiswahili kigumu: Fadhaika=Fedheheka??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…