Nilifadhaika sana kupata watoto wa kike tu

Nilifadhaika sana kupata watoto wa kike tu

Huyo Mototo ametokea just kama coincidence of nature haina mahusiano yoyote na maombi yako kwa Mungu.unataka kisema watu walio katika ndoa hapa duniwni waliopitia mazingira kama yako kwa kufanya maombi wenyewe Mungu hawasikii-unataka kusema Mungu ana upendeleo??
 
Mimi kwenye suala la jinsia ya Watoto sionagi jinsia fulani Ni Bora. Nitakaopewa nitashukuru Mungu

Maana huku mtaani unaona familia wasichana ambao walidharaurika ndo wametoboa na wanasaidia Wazazi kushinda hao wa kiume Kazi ulevi tu
 
Kubabeki zako nyie ndo mnatuzalia mashoga wanagongwa gonhwa hovyo , unaenda kwa. Mganga kisa mtoto , fambaga sana
 
Mimi kwenye suala la jinsia ya Watoto sionagi jinsia fulani Ni Bora. Nitakaopewa nitashukuru Mungu

Maana huku mtaani unaona familia wasichana ambao walidharaurika ndo wametoboa na wanasaidia Wazazi kushinda hao wa kiume Kazi ulevi tu
Kuna siku nilimsikia baba anamwambia mdogo wangu wa mwisho wa kiume..hivi unaongeaga naye nini huyo wangari? Mtu mwenyewe ashaolewa anakuambia nini? Wakati hapo dogo anasoma nje..kiliniuma zaidi ya miaka 7!
"Mengine umeshaandika ww!"
 
Back
Top Bottom