Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Sijatabiri kuwa mtoto atakuwa zigo.Hauoni kama uwepo wa hao wachache unaondoa uhalali wa kugeneralize na bwana Behaviourist kutabiri mtoto atakua mzigo.
Kinachokusumbua ni kukosa elimu pamoja na maarifa mbalimbali.Kwenye hii dunia ukikosa elimu ni umekosa vyote.Kuna tofauti kubwa sana kati ya kutabiri(prediction) na kufanya anticipations.
Mimi sijatabiri bali nimefanya anticipations.Kajifunze anticipations ni kitu gani na pia jifunze tofauti kati ya anticipations na predictions.