Nilifadhaika sana kupata watoto wa kike tu

Nilifadhaika sana kupata watoto wa kike tu

angalia statistics mkuu, watoto wa kiume ni nadra kuangukia kwenye mamb hayo hata ukiangalia mtaa mzima unaweza ukamkuta mmoja ,wawili au hakuna kabisa. ila sasa angalia hao wakike mkuu vinavyoanza kuwashwa na mapema.Yani watoto wakike siku hizi hadi wakifika form four huko chini unakuta pashatepetwa. Mkuu mm sikufuchi nakaa kigogo hapa Dar kwa ninayoyashuhudia kwa hivi viumbe wa Mungu kiukweli hunambii kitu, unaweza kuta kitoto cha form 3 kishaliwa na bodaboda wanafika sita !!!

Sent from my SM-G900I using JamiiForums mobile app
Kigogo sio Tanzania nzima
 
Yaani mimi nihangaike kwa madaktari kusaka jinsia ya mtoto? Mimi huyu huyu nizurure kwa waganga kutaka jinsia fulani ya mtoto!!??? Yaani mimi nijisikie vibaya kuzaa watoto wa jinsia fulani!!?? Mimi huyu?
Umbumbumbu na laana ya hali ya juu sana, kuna watu hawana watoto wanaposoma maoni yenu hapa wanasikitika sana

MTOTO NI MTOTO(Nimesisitiza kwa herufi kubwa)

Halafu nina bahati na watoto wa kike tu na niko normal kabisa, mwanamke anapambana na ushauri wa kitaalamu ili apatikane wa kiume mimi ndo kwaanza nafelisha makusudi tu, akisema tarehe hizi nile vizuri, nisifanye sana mazoezi, nipumzike vizuri ndo kwaanza sina habari mwendo ni uleule
Akisema sijui siku ya ngapi tukit.iana tunapata wa kiume ndo kabisaa hiyo siku navuruga ratiba

Siwezi kutumia nguvu kubwa kusaka jinsia ya mtoto never!!!!! Acheni hizo kuna watu hawana watoto wanatamani wapate hata mlemavu

Yameniuma sana baadhi ya maoni hapa, ukute wanachagia watoto wadogo
 
Hali hii hutokea katika ndoa nyingi. Mke anazaa watoto wa jinsia moja tu mfululizo, ama wa kike au wa kiume tu. Wazazi wengi huwa wanapenda wapate watoto wa jinsia zote. Kwa sababu hiyo inapotokea wanapata watoto wa kiume tu au wa kike tu huanza kutafuta njia ya kutatua 'tatizo' hilo. Wengine huenda kwa madaktari kutafuta ushauri wa kisayansi na kufanikiwa kupata mtoto wanayemtaka; lakini wengine ushauri wa kisayansi bado hauwasaidii kupata mtoto wa kiume au wa kike.

Wazazi wanapofikia hali hiyo wengine huenda kwa waganga wa kienyeji na huko huishia kuchanganyikiwa tu kutokana na masharti magumu wanayoambiwa na mganga. Jaribu kuwaza mtu anaambiwa apeleke kwa mganga kinyesi "fresh" cha tembo ndio apate dawa!

Nakumbuka mme fulani alisababisha mgogoro katika ndoa yake baada ya kumgombeza mke wake kwanini anazaa watoto wa kike tu. Na waume wengine huamua kuwaacha wake zao au kuoa mke wa pili ili wajaribu kama watapata watoto wanaowataka kwa njia hiyo. Njia zote hizo zinaposhindikana hubaki na huzuni isiyokoma.

Mimi pia nimepitia hali hiyo. Mara ya kwanza mke wangu alipata mtoto wa kike. Mara ya pili akajifungua tena mtoto wa kike. Tulikuwa tunajitahidi angalau tupate mtoto kila baada ya miaka miwili. Mara ya tatu mke wangu akazaa tena mtoto wa kike. Hee nikaanza kufadhaika, maana nilitamani na mimi niwe na mtoto wa kiume. Sikumlaumu wala kumgombeza mke wangu kwanini anazaa watoto wa kike tu kwa sababu najua kisayansi mwanaume ndiye anayehusika zaidi kufanya mtoto wa jinsia ipi azaliwe.

Katika kutafakari nifanyeje nikakumbuka yale maneno ya Mungu yasemayo "Ombeni nanyi mtapewa" Nikakumbuka pia habari za mama mmoja katika Biblia aliyekuwa hapati kabisa watoto lakini baada ya kumwomba Mungu akapata.

Kwa sababu hiyo na mimi nikaanza kumwomba Mungu kwa juhudi kwamba mke wangu atakapojifungua mtoto wa nne, awe wa kiume. Ndugu zangu, Mungu hana upendeleo, alisikia maombi yangu na kutupatia mtoto wa kiume. Kinachotakiwa tu ni kuhakikisha mahusiano yetu na Mungu ni mazuri na kuomba kwa imani, pasipo shaka. Yote yawezekana kwake aaminiye(Mk 9:23).
Amen, Nina Mabinti tu na sijawahi kujiona tofauti na wananipenda balaa. Sema mmoja ni mkali balaaa, yuko serious wakati wote! Hata nikichelewa kurudi atasubiri na aanze kuhoji. Nawapenda sana
 
Hivi mpaka leo kuna wazazi wana mambo ya kuchagua gender mtoto gani Mungu awabariki? Ni ufala wa kiwango cha juu,

Sent using Jamii Forums mobile app
Si vizuri kuchagua Gender. Lakini tuwe wakweli watu wengi hupenda watoto mchanganyiko.

Issue siyo mtoto wa kike, Hata ukizaa watoto wa kiume pekee huwezi kufurahia.
 
Ewe nguli wa elimu ungetutajia chuo ulichosoma kinachofundisha kukusanya data kwenye paragraph nne na kuja na conclusion iliyoshiba kama yako.
Wapi nimekusanya data kutoka paragraph nne pekee?Hujaona nilipotaja masuala ya data za nyuma za matukio kama hayo,data za tamaduni zetu na kadhalika?
 
Hali hii hutokea katika ndoa nyingi. Mke anazaa watoto wa jinsia moja tu mfululizo, ama wa kike au wa kiume tu. Wazazi wengi huwa wanapenda wapate watoto wa jinsia zote. Kwa sababu hiyo inapotokea wanapata watoto wa kiume tu au wa kike tu huanza kutafuta njia ya kutatua 'tatizo' hilo. Wengine huenda kwa madaktari kutafuta ushauri wa kisayansi na kufanikiwa kupata mtoto wanayemtaka; lakini wengine ushauri wa kisayansi bado hauwasaidii kupata mtoto wa kiume au wa kike.

Wazazi wanapofikia hali hiyo wengine huenda kwa waganga wa kienyeji na huko huishia kuchanganyikiwa tu kutokana na masharti magumu wanayoambiwa na mganga. Jaribu kuwaza mtu anaambiwa apeleke kwa mganga kinyesi "fresh" cha tembo ndio apate dawa!

Nakumbuka mme fulani alisababisha mgogoro katika ndoa yake baada ya kumgombeza mke wake kwanini anazaa watoto wa kike tu. Na waume wengine huamua kuwaacha wake zao au kuoa mke wa pili ili wajaribu kama watapata watoto wanaowataka kwa njia hiyo. Njia zote hizo zinaposhindikana hubaki na huzuni isiyokoma.

Mimi pia nimepitia hali hiyo. Mara ya kwanza mke wangu alipata mtoto wa kike. Mara ya pili akajifungua tena mtoto wa kike. Tulikuwa tunajitahidi angalau tupate mtoto kila baada ya miaka miwili. Mara ya tatu mke wangu akazaa tena mtoto wa kike. Hee nikaanza kufadhaika, maana nilitamani na mimi niwe na mtoto wa kiume. Sikumlaumu wala kumgombeza mke wangu kwanini anazaa watoto wa kike tu kwa sababu najua kisayansi mwanaume ndiye anayehusika zaidi kufanya mtoto wa jinsia ipi azaliwe.

Katika kutafakari nifanyeje nikakumbuka yale maneno ya Mungu yasemayo "Ombeni nanyi mtapewa" Nikakumbuka pia habari za mama mmoja katika Biblia aliyekuwa hapati kabisa watoto lakini baada ya kumwomba Mungu akapata.

Kwa sababu hiyo na mimi nikaanza kumwomba Mungu kwa juhudi kwamba mke wangu atakapojifungua mtoto wa nne, awe wa kiume. Ndugu zangu, Mungu hana upendeleo, alisikia maombi yangu na kutupatia mtoto wa kiume. Kinachotakiwa tu ni kuhakikisha mahusiano yetu na Mungu ni mazuri na kuomba kwa imani, pasipo shaka. Yote yawezekana kwake aaminiye(Mk 9:23).
ni vile binadamu tuna ubinafsi uliopitiliza aisee,.....

mkuu kuna watu wana miaka 20 kwenye ndoa na hawana hata mtoto, wakienda hospital wote wapo salama na hakuna mwenye tatizo, kama kuomba kwa Mungu, wameomba sana na hawajafanikiwa kupata uzao!....... (mme ni mchungaji na mwalimu wa chuo cha biblia, kuna watu wengi kawaombea na wamepata watoto)

haya mambo ya watoto, mali n.k ni kushukuru tu kile mlichojaliwa, vinginevyo utaishi kwa mfadhaiko mpk uione dunia chungu
 
Acha hizo amemuomba Mungu wake akampa. Sasa wewe mbona unabisha ?
Huyo Mototo ametokea just kama coincidence of nature haina mahusiano yoyote na maombi yako kwa Mungu.unataka kisema watu walio katika ndoa hapa duniwni waliopitia mazingira kama yako kwa kufanya maombi wenyewe Mungu hawasikii-unataka kusema Mungu ana upendeleo??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umenichekesha sana.
Ila usisahau kuwa dunia imebadirika sana sio sawa na miaka ya nyuma. Nowadays ata mtoto wa kiume anaweza vuliwa chupi na mashugamammy kama sio kuwa shoga kabsaa
mkuu ila ukiangalia takwimu wanaume kuangukia huko ni nadra san kwa hiyo haiogopeshi kivile, mfano hapa mtaani kwetu kuna shoga mmoja tu na wala hajakulia hapa ni amezuka tu ila hivi vitoto vya kike vinavyotoa mzigo ni kama wote tu vitoto,watoto,wakubwa,wake za watu wote twende. Na siku hizi wahuni hawali kistaarabu kabisa yani wao waneguzageuza tu watakavyo mpk kula jicho siku hz imekuwa mchezo wa kawaida tu. Watoto wengine na akili zao mbili wanatuma mpka picha za uchi half washkaji wakikaa vijiweni wanaanza kuonyeshana sasa assume huyo ndio mwanao picha yake ya mbususu inafanyiwa discussion kijiweni

Sent from my SM-G900I using JamiiForums mobile app
 
Wapi nimekusanya data kutoka paragraph nne pekee?Hujaona nilipotaja masuala ya data za nyuma za matukio kama hayo,data za tamaduni zetu na kadhalika?
Sijaona hizo data yaelekea zimo tu kichwani mwako ewe msomi wa Taifa.
 
umejiuliza kwa nini kaandika hivyo?
mara nyingi mtoto aliyetafutwa kwa hamu sana huwa analelewa kama yai na mwisho wake huwa mbovu
Eeh ndiyo ni kweli. Ni kweli kabisa kabisa.
 
mkuu ila ukiangalia takwimu wanaume kuangukia huko ni nadra san kwa hiyo haiogopeshi kivile, mfano hapa mtaani kwetu kuna shoga mmoja tu na wala hajakulia hapa ni amezuka tu ila hivi vitoto vya kike vinavyotoa mzigo ni kama wote tu vitoto,watoto,wakubwa,wake za watu wote twende. Na siku hizi wahuni hawali kistaarabu kabisa yani wao waneguzageuza tu watakavyo mpk kula jicho siku hz imekuwa mchezo wa kawaida tu. Watoto wengine na akili zao mbili wanatuma mpka picha za uchi half washkaji wakikaa vijiweni wanaanza kuonyeshana sasa assume huyo ndio mwanao picha yake ya mbususu inafanyiwa discussion kijiweni

Sent from my SM-G900I using JamiiForums mobile app
Stori ndefu fupi. Hebu share namba ya kazi moja yenye chura wa kwenda
 
Mimi kwenye suala la jinsia ya Watoto sionagi jinsia fulani Ni Bora. Nitakaopewa nitashukuru Mungu

Maana huku mtaani unaona familia wasichana ambao walidharaurika ndo wametoboa na wanasaidia Wazazi kushinda hao wa kiume Kazi ulevi tu
Nilivyomuelewa mleta mada hajasema jinsia fulani ni bora

Nimeelewa alipata watoto watatu jinsia moja akatamani kupata jinsia tofauti...ambacho ni kawaida
 
Kigogo sio Tanzania nzima
Mkuu sio kigogo tu nenda mbagala, Buza ,Gongo la mboto,msasani,kinondoni ukajionee rabda hujafuatilia tu. Tatzo kubwa la wazazi wanawaamini sana watoto wao na watoto wanavyojua kuekti sasa kama mzazi sio mjanja huwezi kumjua kabisaa. Kwa maisha ya sasa muda mwingi watoto wanautumia mbali na wazazi wao hasa kwenye mambo ya masomo sasa unakuta mtoto akiwa shuleni huko anafanya mabalaa hatari mengine hata wewe mzazi hujawahi kuyapitia ila mtoto huyohuyo akirudi nyumbn anakua mtulivu ,mpole mstaarabu yani kiujumla akiwa nyumbn anakuwa mtoto mwema sana kiasi cha kwamba mzazi huwezi kudhania kabisa kama mwanao anawza kuwa na tabia chafu huko aendapo ,mfano mimi nimesona Azania pale ilikuwa kila jumamosi watoto wa Jangwani ,Zanaki na kisutu wanaaga makwao kwamba wanaenda tuition kumbe wanakuj Azaboy pale tunatok navyo tunaenda kuvichezea huko hapo unakuta wengine wanatoka makwao na mavazi ya stara tu ila wakifika Azania wanabadili wanavaa nguo za ajabuajabu kisha walizokuja nazo wanatia kwenye begi.

Sent from my SM-G900I using JamiiForums mobile app
 
Kwangu ke ni mama yao tu na tuliobaki sits ni wazee wa vipensi na vibukta na vijisuali ya kuchonga yaani penseli Hadi na mama yao naye kajiunga kuvaa kaptula na suruali muda mwingi!
Nimegundua hanunui kanga Wala vitenge Kama zamani!
Hata mtaani tunajulikana Kama nyumba ya wanaume Saba Wala hatujali.
 
Nakuhakikishia kuwa huyo mtoto wa kiume anakuja kuwa zigo na utajuta kumzaa!
Wana JF wanaojifanya mamungu.

Kuwa na aibu mkuu.

Vinginevyo useme ulikuwa katika jokes tu.

Na kama ni jokes sidhani kama ni sawa.

Haya ni maoni yangu.
 
Back
Top Bottom