Stability
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 306
- 706
Jana nimeleta uzi huu
www.jamiiforums.com
Samahani kwa kuanzisha nyuzi nyingine, atleast nyie mtakuwa faraja yangu lakini pia fundisho kwa wengine kama nitapata msaada humu.
Kusema kweli sioni chochote chema mbele yangu, hakika ungekuwa unapitia kama yangu utapunguza kunihukumu.
Naogopa watoto wangu watakula mawe kwa maana trend yangu inadidimia kila uchwao.
Kila nachokishisa sio ridhiki kinachangamka ghafla kinaanguka
Ni nini kimenishikilia? Niennde wapi? Nifanye nini?
Wakuu wameniambia hii kuota Kila siku niko shule ni mfumo wa kuwa nimekamataliwa sehemu.
Yani Mungu kanijali uwezo ndani yangu lakini ni mateso yaliyo mshahala wangu.
Kwa muda mrefu sasa Naota sana kurudishwa kurudi shule, kama leo nimeota nachapwa parade
Kiuhalisia maisha yangu yamegubikwa na kutopiga hatua ya maana, ukataa wa muda mrefu na kunung'unika sanaa kutokana na shughuli za kimaendeleo kutolipa. Nikianzisha kitu huwa hakitimii kwa matunda mazuri ingawa Mungu kanjalia ubunifu. Nimesikia mengi kuhusu hzi ndoto,. Je zina maana yoyote ile...