Nilifuma SMS za mapenzi kwenye simu ya mke siku yetu ya ndoa, bado nikamuoa lakini sasa nahisi kuchanganyikiwa sielewi nifanyeje?

Achana Na Mama ya wenyewe πŸ™Œ
 
Machozi yasikufanye ukabadili maamuzi. So kusema kwamba alikulilia sana ikabidi ukubaliane naye ni makosa. Machozi ya mwanamke yapo kwenye kope. Ni kiasi cha kufinya macho tu tayari yanaanza kutiririka.
 
Umeoa danga ndugu yangu , kitendo Cha mwanamke kumuomba matumizi ya mtoto mwanaume mwingine ni wazi kabisa walikutana kimwili na akamwambia ana mimba yake , Yaani umegeuzwa zoba eti sms za zamani , zamani ipi wakati aliachika Kwa kutokuzaa? Usaliti wa mwanamke hauvumiliki , maamuzi unayo ww , kama aliachika mara 2 na Bado ukamkumbatia Tena basi umemkumbatia nge kwenye koti , ukijitingisha tu!
 
Machozi yasikufanye ukabadili maamuzi. So kusema kwamba alikulilia sana ikabidi ukubaliane naye ni makosa. Machozi ya mwanamke yapo kwenye kope. Ni kiasi cha kufinya macho tu tayari yanaanza kutiririka.
dah...
 
Umri wako miaka mingapi Braza?
 
Una bahati uko mbali ningekupiga makonzi
Wanaume mtaani wameisha.....bora wanawake wasiolewe tu kama sampuli ndio hiyo ya Mleta mada.
Kwanza ni uongo kwamba ndio mbili zilivunjika sababu hakupata mimba.

Jamaa ni mshamba sana alivyoona Mwanamka kajirahisisha kwake yeye akajaa
 
nimekupata ndugu
 
daha nakiri kweli mie ZOBA maana kweli nimejaa
 
nahisi ntachanganyikiwa kabisa maana kila nikiwaza nikiwazua sipati jibu sijui nifanyeje
Umeoa mke wa mtu kaka kakuingiza cha kike na wewe kwa nyege zako umepoteana.

Wanaume wengi wa aina yako wameishia maumvivu na baadae wakahamia kwenye Kataa ndoa( mashoga)
 
Nge kwenye koti....ukijitingisha tu.....πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Na mimi imenitokea hiyo mkuu, mara nyingi ushauri tunaotoaga humu huwa tunakuaga na uzoefu sababu tumeshapitia mengi.

Ukimpenda mtu kila unachofanya ni hisia wakati huo yeye mwenzio anatumia akili kukuendesha, pasipo neema ya Mungu ni ngumu kuchomoka.
 
Mkuu.
Hiyo si ndoa ya kiislamu?
Toka nduki usigeuke.
 
Anakua kakuzidi maarifa, na yeye upendo kwako unakua umepungua mno ila anafosi maana anajua kukucontrol so humuumizi kichwa.
Zaidi zaidi anakutumia kwa manufaa yake ila wewe utaona mnapendana sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…