Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana Na Mama ya wenyewe 🙌Kwema Wadau?
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu,Nilikutana na Ex wangu ambaye aliniacha way back akaolewa but hakudumu ndoani alikaa 5 months only then after sometime akaolewa tena lakini hakudumu pia.Sababu ya ndoa zote kutodumu ilikuwa kutopata Mimba kiasi kwamba akasema hawezi kuolewa tena hadi abebe mimba,ajifungue ndio ataolewa.
Nilikutana nae Last Year kwenye mwezi wa Saba na tukarudisha mawasiliano na akaibuka Maghetoni nakumbuka ilikuwa tarehe 30/07/2023 akastay home kwangu kama three days akaondoka then after 2 days akarudi tena ikawa ndo kamchezo yaani anakuja week anaondoka then anarudi mwisho tukaanza kuishi pamoja.
Mwezi wa 9 hivi akanambia hajaona siku zake anahisi ana Mimba maana alivyokuja First Time alikuwa kwenye siku za hatari lakini hawezi kushangilia maana alishakutana na hizo mbanga mara nyingi lakini mwisho wa siku bila bila so tuvute subira hadi kitumbo kitoke ndo tukapime tuthibitishe kitu ambacho baadae tulikifanya na ikaonekana kweli mjamzito na kwa uwezo wake MUNGU akajifungua tarehe 19/04/2024.
She was so Happy kufanikiwa kupata mtoto na tukakubaliana tufanye kuhalalisha tu kwa ndoa simple tu maana yeye alishaolewa mara 2 so hataki tena mbwembwe.Kwahiyo Ijumaa ya tarehe 10/5/2024 tulifunga ndoa.Lakini kabla ya kufunga ndoa hiyo,asubuhi ya siku hiyo ya harusi/Ndoa nilichukua simu yake nitumie kumpigia mshenga wangu ili kupanga ratiba vizuri ya shughuli ndo nilipokutana na jambo ambalo limefanya niombe USHAURI HUU....
Nilikuta SMS anachati na jamaa anaomba Hela ya Matumizi akimwambia jamaa kuwa mtoto hana Pampers na pia Kodi yake alipopanga Imeisha.Tena anamuita mume wake kabisa "TUNAOWAAMINI NDO WANAOTUUMIZA" Kiukweli niliumia sana maana hata nilipomuuliza alianza kwa kukana kuwa hizo SMS za zamani lakini nilipombana zaidi akakiri kwamba jamaa ni Ex wake na alikuwa anamdanganya tu na wala jamaa hakutuma hela na pia wameishablokiana.Kiufupi ndoa tumefunga Fresh lakini mie sina IMANI wala AMANI kabisa yaani nawaza mengi hadi nahisi kuchanganyikiwa so guys please naomba ushauri wenu.....
WENU KATIKA MTIHANI MZITO
Machozi yasikufanye ukabadili maamuzi. So kusema kwamba alikulilia sana ikabidi ukubaliane naye ni makosa. Machozi ya mwanamke yapo kwenye kope. Ni kiasi cha kufinya macho tu tayari yanaanza kutiririka.how?
Tulia anitunzie mayi wanguMbona mnampanikisha?😂
Umri wako miaka mingapi Braza?Kwema Wadau?
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu,Nilikutana na Ex wangu ambaye aliniacha way back akaolewa but hakudumu ndoani alikaa 5 months only then after sometime akaolewa tena lakini hakudumu pia.Sababu ya ndoa zote kutodumu ilikuwa kutopata Mimba kiasi kwamba akasema hawezi kuolewa tena hadi abebe mimba,ajifungue ndio ataolewa.
Nilikutana nae Last Year kwenye mwezi wa Saba na tukarudisha mawasiliano na akaibuka Maghetoni nakumbuka ilikuwa tarehe 30/07/2023 akastay home kwangu kama three days akaondoka then after 2 days akarudi tena ikawa ndo kamchezo yaani anakuja week anaondoka then anarudi mwisho tukaanza kuishi pamoja.
Mwezi wa 9 hivi akanambia hajaona siku zake anahisi ana Mimba maana alivyokuja First Time alikuwa kwenye siku za hatari lakini hawezi kushangilia maana alishakutana na hizo mbanga mara nyingi lakini mwisho wa siku bila bila so tuvute subira hadi kitumbo kitoke ndo tukapime tuthibitishe kitu ambacho baadae tulikifanya na ikaonekana kweli mjamzito na kwa uwezo wake MUNGU akajifungua tarehe 19/04/2024.
She was so Happy kufanikiwa kupata mtoto na tukakubaliana tufanye kuhalalisha tu kwa ndoa simple tu maana yeye alishaolewa mara 2 so hataki tena mbwembwe.Kwahiyo Ijumaa ya tarehe 10/5/2024 tulifunga ndoa.Lakini kabla ya kufunga ndoa hiyo,asubuhi ya siku hiyo ya harusi/Ndoa nilichukua simu yake nitumie kumpigia mshenga wangu ili kupanga ratiba vizuri ya shughuli ndo nilipokutana na jambo ambalo limefanya niombe USHAURI HUU....
Nilikuta SMS anachati na jamaa anaomba Hela ya Matumizi akimwambia jamaa kuwa mtoto hana Pampers na pia Kodi yake alipopanga Imeisha.Tena anamuita mume wake kabisa "TUNAOWAAMINI NDO WANAOTUUMIZA" Kiukweli niliumia sana maana hata nilipomuuliza alianza kwa kukana kuwa hizo SMS za zamani lakini nilipombana zaidi akakiri kwamba jamaa ni Ex wake na alikuwa anamdanganya tu na wala jamaa hakutuma hela na pia wameishablokiana.Kiufupi ndoa tumefunga Fresh lakini mie sina IMANI wala AMANI kabisa yaani nawaza mengi hadi nahisi kuchanganyikiwa so guys please naomba ushauri wenu.....
WENU KATIKA MTIHANI MZITO
HahahaSasa ni zamu yako kulia sana ila kwako itaongezeka kusaga meno na kamasi nyingi sana
Wanaume mtaani wameisha.....bora wanawake wasiolewe tu kama sampuli ndio hiyo ya Mleta mada.Una bahati uko mbali ningekupiga makonzi
nimekupata nduguUmeoa danga ndugu yangu , kitendo Cha mwanamke kumuomba matumizi ya mtoto mwanaume mwingine ni wazi kabisa walikutana kimwili na akamwambia ana mimba yake , Yaani umegeuzwa zoba eti sms za zamani , zamani ipi wakati aliachika Kwa kutokuzaa? Usaliti wa mwanamke hauvumiliki , maamuzi unayo ww , kama aliachika mara 2 na Bado ukamkumbatia Tena basi umemkumbatia nge kwenye koti , ukijitingisha tu!
daha nakiri kweli mie ZOBA maana kweli nimejaaWanaume mtaani wameisha.....bora wanawake wasiolewe tu kama sampuli ndio hiyo ya Mleta mada.
Kwanza ni uongo kwamba ndio mbili zilivunjika sababu hakupata mimba.
Jamaa ni mshamba sana alivyoona Mwanamka kajirahisisha kwake yeye akajaa
Umeoa mke wa mtu kaka kakuingiza cha kike na wewe kwa nyege zako umepoteana.nahisi ntachanganyikiwa kabisa maana kila nikiwaza nikiwazua sipati jibu sijui nifanyeje
Nge kwenye koti....ukijitingisha tu.....😆😆😆Umeoa danga ndugu yangu , kitendo Cha mwanamke kumuomba matumizi ya mtoto mwanaume mwingine ni wazi kabisa walikutana kimwili na akamwambia ana mimba yake , Yaani umegeuzwa zoba eti sms za zamani , zamani ipi wakati aliachika Kwa kutokuzaa? Usaliti wa mwanamke hauvumiliki , maamuzi unayo ww , kama aliachika mara 2 na Bado ukamkumbatia Tena basi umemkumbatia nge kwenye koti , ukijitingisha tu!
Kupima DNA ni laki 3 tu. Nicheki twende tukafanye vipimo, ujue mapema kama unahudumia au unafukuzia mbali.nimuue tena? Dah siwezi kumuua nawaza tu huyu mtoto wa kwangu au ndo nimeoa kweli mke wa mtu?
Na mimi imenitokea hiyo mkuu, mara nyingi ushauri tunaotoaga humu huwa tunakuaga na uzoefu sababu tumeshapitia mengi.Sio rahisi kuelewa mkuu, tayari mwanamke kashamuweka kwenye njia zake. Anajua afanye nini ili jamaa asichomoke..
Kipindi nakua hata mimi nilishawahi kunaswa kihisia, yule manzi alinizidi maarifa ya mahusiano nilikua mtoto kwake kwenye hiyo sekta.
Sasa hivi ndio nimejua wapi nilikua nakosea na yeye alinitreat vipi na wapi na wapi alinidanganya kwasababu ya kutumia hisia na sio akili.
Mkuu.Kwema Wadau?
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu,Nilikutana na Ex wangu ambaye aliniacha way back akaolewa but hakudumu ndoani alikaa 5 months only then after sometime akaolewa tena lakini hakudumu pia.Sababu ya ndoa zote kutodumu ilikuwa kutopata Mimba kiasi kwamba akasema hawezi kuolewa tena hadi abebe mimba,ajifungue ndio ataolewa.
Nilikutana nae Last Year kwenye mwezi wa Saba na tukarudisha mawasiliano na akaibuka Maghetoni nakumbuka ilikuwa tarehe 30/07/2023 akastay home kwangu kama three days akaondoka then after 2 days akarudi tena ikawa ndo kamchezo yaani anakuja week anaondoka then anarudi mwisho tukaanza kuishi pamoja.
Mwezi wa 9 hivi akanambia hajaona siku zake anahisi ana Mimba maana alivyokuja First Time alikuwa kwenye siku za hatari lakini hawezi kushangilia maana alishakutana na hizo mbanga mara nyingi lakini mwisho wa siku bila bila so tuvute subira hadi kitumbo kitoke ndo tukapime tuthibitishe kitu ambacho baadae tulikifanya na ikaonekana kweli mjamzito na kwa uwezo wake MUNGU akajifungua tarehe 19/04/2024.
She was so Happy kufanikiwa kupata mtoto na tukakubaliana tufanye kuhalalisha tu kwa ndoa simple tu maana yeye alishaolewa mara 2 so hataki tena mbwembwe.Kwahiyo Ijumaa ya tarehe 10/5/2024 tulifunga ndoa.Lakini kabla ya kufunga ndoa hiyo,asubuhi ya siku hiyo ya harusi/Ndoa nilichukua simu yake nitumie kumpigia mshenga wangu ili kupanga ratiba vizuri ya shughuli ndo nilipokutana na jambo ambalo limefanya niombe USHAURI HUU....
Nilikuta SMS anachati na jamaa anaomba Hela ya Matumizi akimwambia jamaa kuwa mtoto hana Pampers na pia Kodi yake alipopanga Imeisha.Tena anamuita mume wake kabisa "TUNAOWAAMINI NDO WANAOTUUMIZA" Kiukweli niliumia sana maana hata nilipomuuliza alianza kwa kukana kuwa hizo SMS za zamani lakini nilipombana zaidi akakiri kwamba jamaa ni Ex wake na alikuwa anamdanganya tu na wala jamaa hakutuma hela na pia wameishablokiana.Kiufupi ndoa tumefunga Fresh lakini mie sina IMANI wala AMANI kabisa yaani nawaza mengi hadi nahisi kuchanganyikiwa so guys please naomba ushauri wenu.....
WENU KATIKA MTIHANI MZITO
Anakua kakuzidi maarifa, na yeye upendo kwako unakua umepungua mno ila anafosi maana anajua kukucontrol so humuumizi kichwa.Na mimi imenitokea hiyo mkuu, mara nyingi ushauri tunaotoaga humu huwa tunakuaga na uzoefu sababu tumeshapitia mengi.
Ukimpenda mtu kila unachofanya ni hisia wakati huo yeye mwenzio anatumia akili kukuendesha, pasipo neema ya Mungu ni ngumu kuchomoka.