Nilifuma SMS za mapenzi kwenye simu ya mke siku yetu ya ndoa, bado nikamuoa lakini sasa nahisi kuchanganyikiwa sielewi nifanyeje?

Kweli kabisa sijawah simia ndoa inavu jika ndani ya miezi 5 kisa kutoshika mimba. Huyo ana kitu ambacho hakumwambia na ndicho kimevunja ndoa zake za awali na huenda ni umalaya
Kwani yeye mbona kakudhalilisha mbele ya mshenga?
mshenga sikumwambia kaka yaani sijamwambia yeyote zaidi yake yeye na kupost hapa JF
 
Pointi tatu muhimu kabisa kwa timu kataa ndoa, unaenda kupata kitu inaitwa mfadhaiko, na ukiendekeza hiyo ndoa sasa hivi utasikia presha imepanda uanze kuacha kula aina mbalimbali za vyakula
nimekusoma ndugu yangu
 
Daah pole sana brother.
Dunia uwanja wa vita, Dunia sio mahala salama sana na sio salama kabisa kwa good guys kama wewe.

Kama mwanaume kataa katu kua good guy, utajuta karibu maisha yako yote, utakumbana na disapointments za kutosha, utaumizwa na kufanywa daraja kwa kila wa karibu yako hasa wanawake.

Huyo mkeo kashakuzidi akili na maarifa, alikutega kidogo na wewe ukajaa, daah pole sana aisee.

Sasa wewe unaogelea kwenye maamuzi kwa kufata hisia, wakati huo yeye anatumia akili ili mwanae na yeye waishi vizuri kupitia koro mmoja ambae ni wewe.

Cha kukushauri ni kua, kwenye kila maamuzi yako utayofanya anza kujiangalia wewe kwanza, sio mkeo wala huyo chalii, anza na wewe kwanza then hao wengine wafate.
 
ahsante kwa ukweli mchungu brother
 
nashkuru sana kwa ushauri ndugu yangu
 
Huu ushauri wa kujimaliza huu, uanaume sio kuficha ujinga ila ni kujua unadeal nao vipi usikuathiri.

Unaficha kuchapiwa mwisho wa siku unakuja kuambiwa watoto wote sio wako, huyo ni mke wa mtu na matatizo kama hayo.

Nini maana ya kuoa kama huna amani na unaeishi nae??
 
ila chibu unatamani kufa mapema
Kwanini ndugu yangu?
FACT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…