Nilifuma SMS za mapenzi kwenye simu ya mke siku yetu ya ndoa, bado nikamuoa lakini sasa nahisi kuchanganyikiwa sielewi nifanyeje?

kabisa najiona naelekea huko maana nilikuwa namuamini 100% lakini imani imebaki 0% najuta hata kwanini nilienda kwenye sms dah
Hapa ndio shida ilipoanzia

Lkn

Kuna kitu hakipo sawa kuhusu huyo mwanamke,,,si kweli kwamba alikuwa anaachika ndani ya miezi mitano kisa hakushika mimba hapana nakataa,,kipindi cha kumuacha mwanamke kisa hajashika mimba ni kidogo mno walau ingefika mwaka hata miaka miwili

Huyo ni malaya aliyekubuhu,,just imagine anaolewa na ww lkn anamuita mtu mwingine mume na anamnasibisha huyo jamaa na mtoto wako

Kosa lako kubwa ni kudharau ishara uliyoiona ktk msg,,,ilitosha kabisa kufanya maamuzi magumu

Sikwambii umuache hilo lipo katika mamlaka yako
 
Nilishindwa kuahirisha alinililia sana nisimdhalilishe mbele ya familia na ndugu zake
We famba kweli kweli, weka hii akilini. USIMPENDE MTU KWA KUMUONEA HURUMA ona sasa huruma imeisha kinachokutokea.
 
Ulidanganywa kirahisi sana, hakuna mwanaume anaacha mkewe wa ndoa ndani ya 5months kwa sababu ya kutopata mtoto.Wewe umekaa naye kipindi gani mpaka alipobeba mimba? Wewe ulikuwa desperate sana na penzi lake ndiomana hata alipokutupa na kwenda kuolewa ulibaki kumsubili.
Kuna uwezekano mkubwa hata huyo mtoto sio wako,muhimu kujilidhisha mapema ili usije umia na kudhalilika zaidi huko mbeleni.
Kifupi huo ni mfupa uliomshinda fisi,kama unahisi unauwezo wa kumudu madholuba, na Mungu akutangulie.
 
We Mkunduge unataka ushauriwe nini wakati uliona dumu la petroli ukajimwagia halafu ukapita karibu ya moto? Unataka uambiwe nini labda sijaelewa
 
Ulikwepa aibu ya kuikacha ndoa ila umeamua kuyakumbatia maumivu ya roho maisha yako yote

Nb.mkiambiwa acheni nyege msenge muwemnaelewa kuwa na tu Dem km sita huku ukifikiria maamuz sahihi kwny maisha yako
 
Kwanza una mapenzi ya kijinga na ya ajabu sana,,,[emoji2959]sasa wewe siku zote ulizokua unashuhudia akiolewa na kuachwa mara zote mbili ulikua huoni wanawake wengine,,,mpaka ukawa unaombea mkewa watu aachwe huko ndio uje upeleke mironjo,,,,,bro unazingua na huna kauli kwa uyo malaya wako
 
Mungu alikuonyesha Kwa sms kuwa usioe!!ulioaje mkuu !!?Tena alieachika mara mbili!!?

Kwanini usitafute fresh uanze maisha!!?

Ukiona mwanamke anakuwinda hivyo Kila saa anakija geto shtuka ana jambo lake!!

Ni talaka tu tena!
 
Achana na hayo mawazo,kwakuwa ulimeza wembe acha kumuwazia vibaya mtoto wa watu.Tafuta pesa.Hata akigongwa mbususu bado itabaki na wewe utaambuliapo.Narudia ,tafuta pesa acha kujiumiza kipsychologia
 
Naona huyo dada anaelekea kuachwa ndoa ya tatu. Mungu alikuonyesha jambo kabla ya ndoa wewe ukajizima data
 
1. umoa ex
2. kaolewa mara mbili
3. umeouuza warning siku ya harusi

vichwa ngumu huwa hawajifunzi
 
Eti wenu katika mtihani mzito,
Kwanza nikupe pole saana kaka, ila binafsi nakuomba uchukulie kawaida saana.

Binafsi Huwa nasema binadamu ni kiumbe Cha ajabu saana achana na huyo aliyefanya hayo ni mwanamke ila kiujumla binadam ni kiumbe Cha ajabu kabisa.

Unajua kwann nakuambia hivi, yaan namaanisha akili yake haina formula na uncontrolled ya sio kama mnyama kwamba unaweza ukamfuga na kumtreat unavotaka wewe na asibadilike.

Binadam hubadilika mda wwt ule na yanaweza kuwa ni mabadiliko ya ajabu Sanaa kuwahi kutokea.

Baada ya hapo nije kwenye kesi Yako, kiongozi angalia kama moyo unakuambia kuwa huyo mtoto ni wako, naomba hayo mengine achana nayo Anza naye upya.

Ila kama moyo unakupa mashaka juu ya mtoto tafuta njia ya kujiridhisha ili uwe na amani moyoni.

Mimi binafsi kaka naweza kukaa hata mwaka sijashika simu ya mke wangu maana sitaki shida.
Siku nikija kugundua Hilo hata tu kwa sms nikawa na uhakika kuwa wameshafanya, huo ndo utakuwa mwisho na mpk wangu baina yangu nayeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…