Nilifuta account ya Facebook kutokana na kutongozwa na wanaume wenzangu.

Summary kwa wachovu wa kusoma.

Mwandisha anajaribu kutueleza kua yeye ni ***** na wateja wake wengi ni wakenya kitu ambacho kinamkatisha tamaa kwani bidhaa yake haiuziki kabisa hapa nchini.

Muungisheni kijana wenu, Nawasilisha.
Unajikuta unaakili sana , acha mambo ya ushoga hayafai.
 
The guy is obsessed with his handsomeness. Na kuna mawili: Ama mwamba alishaleft group au ana ugonjwa wa akili unaojulikana kama Narcissistic Personality Disorder (NPD). Nyuzi zake na comments nyingi ni kujisifia uhendisamu. Hii siyo hali ya kawaida. Mlio karibu naye mpeni msaada wa kisaikolojia before it is too late!

Tuokoe kizazi chetu!
 
Tupia picha yako tufanye tathmini ili tubaini kosa ni lao au ni la kwako.
NB: Kitendo cha dume kujiita super handsome ni tatizo🌈 na I hope the fvck you're posting isn't a promo in disguise.
 
Ww ni mzuri sio ? Eti vp hao wadada kinyume na maumbile? Tangazo limekaa kimkakati sana,,,, ! Kila la kheri
 
Weka picha yako tuone
 
Hivi mwanaume na wewe unajisifiaje eti wewe ni handsome hayo mambo waachie dada zako wakisema wao ni ma beautiful, ndiyo maana nzi wanakufata fata na nzi hawezi kukaa sehemu safi anaenda sehemu yenye uchafu.
ameeleza kwa CODE,...huyo ni member NAMBARI WANI...... huwezi kuta mwanaume rijali anajiita SUPER HANDSOME,.. NEVER ❗.
 
Reactions: 7ve
View attachment 3303020
πŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘Œ
kula chuma icho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…