Nilifuta meseji za mchepuko ila mke wangu kanionesha zote kwenye simu yangu

Nakuelewa saana mkuu
 
Mmhh!daahh
 
Unakubaliji kizembe hvyo.. . mwenzako hadi picha alinipiga na mchepuko tunaenda guest....

Ila nilikataa kata kata... Nikamwambia duniani wa 2 wa 2....
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]kaaahh
 
Kuna app ndio zinafanya hivyo ...Sasa wewe mwambie hiyo simu ulinunua used na huzitambui hizo meseji
Shida haieleweki akati anainunua simu alisemaje kwamkewe Mana kipindi hicho hakua namisala kudanganya hakuweza
 
Yani hata usipate shida wew itakuwa mgeni wa simu.. Kuna kiti kinaitwa RECYCLE BIN ukifuta msg zinaenda huko so lazima ukazifute kule piaa usipozifutq anaweza kuzirestore na zinarudi kama zilivyoo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji846][emoji846] Hii setting kila nikiitoa baada ya silku mbili nakuta shemeji yenu kairudisha tenaa utadhani simu yakeee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Na mimi naitoaa yani kila siku mpaka atachokaaa
 
Ndio alichokifanyaaa[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hapo mchepuko na wife lao moja. Mchepuko kamforwadia
 
Nimetafakari sana huu ujumbe wako, nimekuja na wazo fulani amazing.

1. Wewe unatumia mtandao wa kampuni gani?

2. Kuna mtu kwenye hiyo provident company anamla mkeo kihasara kwa collateral ya kumpatia footages za mawasiliano yako

3. Chukua hatua shirikisha TCRA kwenye hili jambo utaujua ukweli

4. Ukigundua unadukuliwa kutoka na staff wa service provider wako, usiweke huruma ishtaki kampuni ya simu ikulipe mabilion

5. Kwenye mgao usinisahau mbeba maono[emoji56][emoji56]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…