Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Nafikiri kama ana nia ya dhati ya kuacha, basi ataacha huo uraibu wakeUmejitahidi kidooogo.
Binafisi nimetambua kuwa huyu jamaa akili inamtuma kwamba tatizo A huenda ndilo limepelekea kupata tatizo B. Sikatia na wala sikubali ila ninachokifahamu mimi kuhusu tatizo B ni shahuku kubwa anayokuwa nayo ndiyo umpelekea kuhitimisha mbio mapema sana.
Lkn kadri atakavyozidi kufanya kwa interval fupifupi ndivyo kiwango cha manii kwenye stock yake zinavyopungua hivyo kumpa nafasi ya kuchelewa kwa mara nyingine zaidi kwani sperm secretion inakuwa taratibu mno.
Tatizo A aamue yeye kubadilika kwanza ndipo mwenendo wa maisha na tabia yake itabadilika ikiwa alichokiandika ndicho anacho maanisha.
Maana ni tabia inayokuwa Kwa Kasi Kwa Vijana wengi miaka hii