Nilihitimu elimu ya juu katika Chuo cha Uhasibu Arusha (I.A.A) mwaka 2009. Is this purely coincidental?

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2012
Posts
17,306
Reaction score
19,885
Hao wote Mkuu... Registrar MALISA... Rais wa wanafunzi JOHN MAZANDA... Walimu wa Computer akina ALMAS, LIECHUKA, KAVUTA, MSWAHILI et al
Unamkumbuka Casmir Fabian? Unamjua M-Russia? Monyo mjaluo yule alitumbuliwa kwa tuhuma za ufisadi. Alifikishwa mpaka mahakamani.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Hao wote Mkuu... Registrar MALISA... Rais wa wanafunzi JOHN MAZANDA... Walimu wa Computer akina ALMAS, LIECHUKA, KAVUTA, MSWAHILI et al

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Kulikuwaga na mwalimu wa DS alikuwa anaitwa Charles. Alikuwa mcheshi sana ila kwa bahati mbaya alikufa.

Mazanda nilikuwa simkubali saaana kwa maana nilipokuwa pale sikuwa ninajihusisha kabisa na siasa. Nilikuwa ninapenda zaidi UEFA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…