Ashampoo burning
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 593
- 2,219
Boss ashampooo mtoto wa mjini basi nikiwa mwaka mwisho pale BOT kwa pembeni chuo cha IFM ndio kipindi Magufuli nae alikuwa anaingia madarakani toka akiwa waziri nilitamani aje kuwa raisi na ndoto yangu ikatimia akawa raisi 2015
Alivyoanza kwa kasi yake tu mimi na rafiki yangu tulijiunga CCM Magomeni pale tawini kiukweli uongozi wake ulitukosha tukaona CCM ya maana sana baada ya kuona hata watu wasio julikana wanaweza kuwa viongozi bila kuwa mtu ndani ya chama..
2021 mwaka mbaya mzee wetu akafariki baada ya hapo watu ambao tulienda CCM ya sababu ya Magufuli tukabaki tunaangali je CCM itaweza kuenzi mambo ya magufuli tumekaa ndani ya CCM huku tukijua kabisa CCM ya zamani itarudi maana fisi yake mizoga tu
Basi manyang'au ya zamani yakarudishwa CCM yote
Hujakaa sawa Mara DP world na hili la DP-World ndio limenifanya nione CCM haina maana wamefanya mengi sana nimevumilia hili DP-World ndio limenifanya kesho nachoma kadi live kabisa NIMEAMUA KUACHA SIASA SITAKI KABISA MAMBO YA SIASA NIKOMAE TU NA MAISHA HIVI KWELI HATA MTOTO MDOGO ANAJUA KABISA DP WORLD NI UJINGA AFU MTU KABISA NA AKILI ZAKO UNA SIGN.....
2025 natamani ashindwe ...