Niliingia CCM sababu ya Magufuli. Nachana kadi muda sio mrefu

Niliingia CCM sababu ya Magufuli. Nachana kadi muda sio mrefu

Mbona mama Samia kishasema anataka katiba mpya, au huelewi hilo?
Anataka katiba mpya au analeta Hadaa ili atawale bila pressure? Kwenye bajeti hii kuna fungu kwa ajili ya upatikanaji wa katiba mpya?
 
90%ya watz waliipenda ccm kwa sababu ya magufuli.kabla ya magufuli (2014)ilifika kipindi ukionekana na nguo zile mbayambaya za ccm maeneo ya kariakoo watu wakawa wanazomewa na kupigwa.toka afariki mzalendo wa kweli,ccm imechukiwa sana na wtz kutikana na mambo kuya ya hovyohovyo yanayofanywa ikiwemo na hili la dp world.kurithisha madaraka kwa mtu ambaye si sahihi ni hatari kwa afya ya nchi
 
Wanakera sana hawaangalii ufanis wao wanaangalia udini tu.
Wanatumwa kama misukule hao bila kujuwa nani anawatuma. Bahati nzuri UWT ni ya viwangi vya juu, naamini. Mpaka sasa waneshajulikanna wslio nyuma ya upingaji huu wa kijinga.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
HAKIKA 🙏🏼
 
Nkundwe Sr: Mapema sana kuna vitu tunamalizia! Andaa cv yako najua una experience ya mambo ya health mgt probably unaweza ukawa Senior Safety Superritendant !
Mkuu CV hipo nasubiri Tu hapa nakula popcorn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Sikuwahi kuvutiwa naye kwa lolote wote ndio walewale alichozidi ni misifa na kujifanya anajua kila kitu kumbe empty kabisa.
 
Wanatumwa kama misukule hao bila kujuwa nani anawatuma. Bahati nzuri UWT ni ya viwangi vya juu, naamini. Mpaka sasa waneshajulikanna wslio nyuma ya upingaji huu wa kijinga.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.

Bintiyangu FaizaFoxy! Hv wewe ulienda shule kufanya nini! Una hoja nzuri ila kumekuwa na malalamiko mengi dhidi yako hata kabla mimi ( DP world) sijakuja Tanzania:

1. Unaandika mambo mengi ila uandishi wako haueleweki kwani kuna spelling mistakes nyingi mno hata wasomaji wanashindwa kuelewa unataka kufikisha ujumbe upi? Ni bora uandike taratibu tena kwa staha acha kukurupuka! Pia hata kama wewe ni kiherehere ukishamaliza kuandika utumbo wako nenda kwenye "edit" button ufanye marekebisho.

2. Udini - kwanza naweka wazi kuwa mwekezaji tuu katika mradi husika wala hakuna ufungamani na upande wowote wa dini kama wewe unavyotaka kuaminisha watu na ndio maana DP World ipo Dunia nzima na kwenye Top mgt kuna watu wa dini mbalimbali.

Ushauri: Sometimes jaribu kuficha ujinga wako
 
Anataka katiba mpya au analeta Hadaa ili atawale bila pressure? Kwenye bajeti hii kuna fungu kwa ajili ya upatikanaji wa katiba mpya?
Hayo ni mawazo yako, atake kukuhadaa kwa lipi zaidi?

Amesema anataka katiba mpya na katiba mpya haitunguliwi tu kwenye miti kama majani ya mwarubaini.

Katiba mpya ni mchakato unaotaka umahiri na umakini ili tusirudie makosa aliyoyafanya Nyerere aliyetunga katiba hii akiwa yeye na wanasheria wake tu, leo inatutesa.

Mama Samia hana sababu ya kuhadaa yeyote.

Mama Samia anaupiga mwingi.
 
Siku akija Rais akajipunguzia mamlaka na kutoa haya mambo ya Kinga ya kutoshitakiwa!
Huyo ndiyo atakuwa mzalendo namba moja
Hatatokea wa kufanya hivyo bila kulazimishwa.
 
Amesema waarabu hajasema waislam wewe bibi kizee
Waarabu watawsla wa Dubai ambao. Ndiyi wamiliki wa DP World ni Waislam. 100%.

Jifunze kusoma katikati ya mistari.

Huwa sikisii.

Mama Samia anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Hayo ni mawazo yako, atake kukuhadaa kwa lipi zaidi?

Amesema anataka katiba mpya na katiba mpya haitunguliwi tu kwenye miti kama majani ya mwarubaini.

Katiba mpya ni mchakato unaotaka umahiri na umakini ili tusirudie makosa aliyoyafanya Nyerere aliyetunga katiba hii akiwa yeye na wanasheria wake tu, leo inatutesa.

Mama Samia hana sababu ya kuhadaa yeyote.

Mama Samia anaupiga mwingi.
Ona ! Hongera sasa unaandika vyema Bravo # FaizaFoxy
 
Mkono wa dola ulishughulika kikamilifu na wote walioonyesha kwenda kinyume na chama, kukosoa au kutosifia kwa mapambio. Hakukuwa na miujiza mingine.
90%ya watz waliipenda ccm kwa sababu ya magufuli.kabla ya magufuli (2014)ilifika kipindi ukionekana na nguo zile mbayambaya za ccm maeneo ya kariakoo watu wakawa wanazomewa na kupigwa.toka afariki mzalendo wa kweli,ccm imechukiwa sana na wtz kutikana na mambo kuya ya hovyohovyo yanayofanywa ikiwemo na hili la dp world.kurithisha madaraka kwa mtu ambaye si sahihi ni hatari kwa afya ya nchi
 
Waarabu watawsla wa Dubai ambao. Ndiyi wamiliki wa DP World ni Waislam. 100%.

Jifunze kusoma katikati ya mistari.

Huwa sikisii.

Mama Samia anaupiga mwingi Kimataifa.
Mbona bado unakosea kuandika! Tatizo ni akili, ewezo au ujuzi na huenda pia umri umekwenda!

Hata kama DP World ni wa Dubai na Muislam lakini kwa hili la uwekezaji hakuna vinasaba vyovyote na dini yako na ndio maana kabla ya huu ujio hakuwahi hata kutoa msaada wowote kwa waislam ikiwemo kujenga misikiti, kuleta tende na alua wala kufuturisha.

Wewe unachofanya ni kujipendekeza kwa kujibaraguzisha tuu. Mjinga wewe!
 
Mbona unachelewa kuchana? Kakufa kitambo mpk leo uko na kadi.
 
Hayo ni mawazo yako, atake kukuhadaa kwa lipi zaidi?

Amesema anataka katiba mpya na katiba mpya haitunguliwi tu kwenye miti kama majani ya mwarubaini.

Katiba mpya ni mchakato unaotaka umahiri na umakini ili tusirudie makosa aliyoyafanya Nyerere aliyetunga katiba hii akiwa yeye na wanasheria wake tu, leo inatutesa.

Mama Samia hana sababu ya kuhadaa yeyote.

Mama Samia anaupiga mwingi.
Ni kipi anachosubiri, kila kitu kiko tayari ikiwemo rasimu ya Warioba, sasa hiyo delay ni ya nini kama anamaanisha anachosema? Au unadhani kila mtu huwa anakubali hizo hadaa za bei rahisi?
 
Hatatokea wa kufanya hivyo bila kulazimishwa.
Basi waache kujifanya wazalendo, Kuna muda ukiwangalia viongozi wetu unashindwa kuelewa wanachowaza mtu anakwenda kufungua madarasa ya wanyonge akiwa na V8,

upande wa pili mtoto wake anapo soma inawezekana ada anayolipa kwa mwaka ni kubwa kuliko Hayo madarasa aliyokwenda kufungua alafu anajiita mzalendo, wanaoelewa inawaumiza sana sema ndiyo hivyo tena tumeshaitwa wanyonge!
 
Back
Top Bottom