Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Nilitegeamea ujiunge na CCM wakati huu wa utawala bora wa SAMIA.
Na KAMA humpendi SAMIA hamia Kongo.
Na KAMA humpendi SAMIA hamia Kongo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenge aache kuwa mama yako aliyekuzaa niwe Mimi! He! Kenge we na mama yakoHumu jamvini aisee tunao makenge wewe na wewe ni mmojawao
Aishapopo!Me mwenyewe niliipenda CCM sababu ya Magufuli. Nimeachana nayo rasmi
Mbona hata gaidi Mbowe ameunga mkono juhudi awamu hii baada ya siku zote kusema uchaguzi kaibiwa. Najiuliza sijui kwa nini hakuenda mahakamani hata kwenye uchaguzi wa wabunge, kuna historia ya kushinda kesi huko nyuma. Unawezaje kuibiwa uchaguzi nchi nzima? Tukiambiwa nasi tujiambieNyie ndio wale mlikuwa mnaunga mkono juhudi
Mpuuzi tuu kama wewe ndio atakuelewa!Mbona hata gaidi Mbowe ameunga mkono juhudi awamu hii baada ya siku zote kusema uchaguzi kaibiwa. Najiuliza sijui kwa nini hakuenda mahakamani hata kwenye uchaguzi wa wabunge, kuna historia ya kushinda kesi huko nyuma. Unawezaje kuibiwa uchaguzi nchi nzima? Tukiambiwa nasi tujiambie
Swali lako dah umempiga na kitu kizitoMbona wewe unawategemea mbowe na lissu?
Huu ni upumbavu..
Halafu Faiza Foxy umekuwa member wa hii forum muda mrefu sana. Lakini mbona Enzi za utawala wa Hayati John Josephu Pombe. Ulikuwa kimya sanaa.Sijui ulikuwaje?Waarabu watawsla wa Dubai ambao. Ndiyi wamiliki wa DP World ni Waislam. 100%.
Jifunze kusoma katikati ya mistari.
Huwa sikisii.
Mama Samia anaupiga mwingi Kimataifa.
Kwani we unajua saivi naishi wapiHamia chato kabisa ndio tutajua una uchungu
Huyo Bibi Sisi wakongwe tunamwelewa vizuri sana kipindi cha JK alikuwa Active sana. 24/7 365 daysHalafu Faiza Foxy umekuwa member wa hii forum muda mrefu sana. Lakini mbona Enzi za utawala wa Hayati John Josephu Pombe. Ulikuwa kimya sanaa.Sijui ulikuwaje?
Wewe hunaga akili kabisaKweli kabisa.
Yesu siyo mwanadam?
Sikuwa na chamakabla ya kujiunga na CCM ulikuwa chama gani?
Sikuwa na chama
Bora umemuandika ukweli hoja zake zimejikuta kwenye udini tu hata angekuja mchina au mzungu kama mkataba ni mbovu tutaukataa watu kama kina Faiza hawa ni hatari sana kwa kuligawa taifaBintiyangu FaizaFoxy! Hv wewe ulienda shule kufanya nini! Una hoja nzuri ila kumekuwa na malalamiko mengi dhidi yako hata kabla mimi ( DP world) sijakuja Tanzania:
1. Unaandika mambo mengi ila uandishi wako haueleweki kwani kuna spelling mistakes nyingi mno hata wasomaji wanashindwa kuelewa unataka kufikisha ujumbe upi? Ni bora uandike taratibu tena kwa staha acha kukurupuka! Pia hata kama wewe ni kiherehere ukishamaliza kuandika utumbo wako nenda kwenye "edit" button ufanye marekebisho.
2. Udini - kwanza naweka wazi kuwa mwekezaji tuu katika mradi husika wala hakuna ufungamani na upande wowote wa dini kama wewe unavyotaka kuaminisha watu na ndio maana DP World ipo Dunia nzima na kwenye Top mgt kuna watu wa dini mbalimbali.
Ushauri: Sometimes jaribu kuficha ujinga wako
Acha matusiUsiondoke tu CCM mfuate kabisa uliemfuata aliko , sbb uliingia CCM ulimfuta mtu, sasa huyo mtu kaenda sehemu nyingine, ondoka, mfuate aliko, CCM hatujawahi kutishwa, nyoko kabisa.
Kwani ni pesa za umma?Nyie mbona mnawaibia watu heka za join the chain hatusemi, hopeless kabisa nyie chadema
AahaaaaMbona wewe unawategemea mbowe na lissu?