Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi leo hii miaka 20 Mbowe asingekuwa mwenyekiti wako chadema. Wangekuwa wamepita hata watatu au wanne hadi sasa.Binadamu hajawahi kuwa na Mamlaka hayo , na ukiendelea kuamini huo ujinga jiandae kwa laana Takatifu .
Kwa hiyo anawapa sababu ni waislam wenzie?? Sio ndio unachomaanisha.Tunawajuwa mna chuki na Uislam na mnatumwa kusambaza chuki.
Waarabu walikukosea nini?
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Humu jamvini aisee tunao makenge wewe na wewe ni mmojawaoMimi pia nilimfuata magufuli CCM uongozi wake ulinikosha Sana aise, lakini kwa purukushani hizi za kuuza bandari ,nachomoka niwe huru
Hamia chato kabisa ndio tutajua una uchunguWajina umechelewa sana. Mi niliachana na CCM Tarehe 17 march 2021.
Wasiojulikana siku hizi kwisha habaria zaoKwani ulitegemea baada ya yeye kufa hilo kundi lenu aliloloanzisha la watu wasiojulikana rais mwingine ataendelea kulitumia? Katafute kazi ya halali, hiyo ya kuteka wakosoaji kwa sasa haitakuwepo tena.
Wanaoieneza chuki ndiyo wanapinga kwa kuwa hao DP World wanamilikiwa na Waarabu Waislam.Kwa hiyo anawapa sababu ni waislam wenzie?? Sio ndio unachomaanisha.
Mbona mama Samia kishasema anataka katiba mpya, au huelewi hilo?Siku akija Rais akajipunguzia mamlaka na kutoa haya mambo ya Kinga ya kutoshitakiwa!
Huyo ndiyo atakuwa mzalendo namba moja
Hii hoja nyepesi sana. Haina tofauti na wale wanaosema tutapata faida tutapata faida ya mabilioni bla bla.
Kumbe uarabu ndio uislamu?Tunawajuwa mna chuki na Uislam na mnatumwa kusambaza chuki.
Waarabu walikukosea nini?
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Wanakera sana hawaangalii ufanis wao wanaangalia udini tu.Tunawajuwa mna chuki na Uislam na mnatumwa kusambaza chuki.
Waarabu walikukosea nini?
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Nyie mbona mnawaibia watu heka za join the chain hatusemi, hopeless kabisa nyie chademaCCM ni shetani tupu
Nkundwe Sr: Mapema sana kuna vitu tunamalizia! Andaa cv yako najua una experience ya mambo ya health mgt probably unaweza ukawa Senior Safety Superritendant !