Anataka katiba mpya au analeta Hadaa ili atawale bila pressure? Kwenye bajeti hii kuna fungu kwa ajili ya upatikanaji wa katiba mpya?Mbona mama Samia kishasema anataka katiba mpya, au huelewi hilo?
Wanatumwa kama misukule hao bila kujuwa nani anawatuma. Bahati nzuri UWT ni ya viwangi vya juu, naamini. Mpaka sasa waneshajulikanna wslio nyuma ya upingaji huu wa kijinga.Wanakera sana hawaangalii ufanis wao wanaangalia udini tu.
HAKIKA 🙏🏼Wanatumwa kama misukule hao bila kujuwa nani anawatuma. Bahati nzuri UWT ni ya viwangi vya juu, naamini. Mpaka sasa waneshajulikanna wslio nyuma ya upingaji huu wa kijinga.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
.. Makupa : uko vyema kichwani brilliantly.Hamia chato kabisa ndio tutajua una uchungu
Mkuu CV hipo nasubiri Tu hapa nakula popcorn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nkundwe Sr: Mapema sana kuna vitu tunamalizia! Andaa cv yako najua una experience ya mambo ya health mgt probably unaweza ukawa Senior Safety Superritendant !
Wanatumwa kama misukule hao bila kujuwa nani anawatuma. Bahati nzuri UWT ni ya viwangi vya juu, naamini. Mpaka sasa waneshajulikanna wslio nyuma ya upingaji huu wa kijinga.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Amesema waarabu hajasema waislam wewe bibi kizeeTunawajuwa mna chuki na Uislam na mnatumwa kusambaza chuki.
Waarabu walikukosea nini?
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Hayo ni mawazo yako, atake kukuhadaa kwa lipi zaidi?Anataka katiba mpya au analeta Hadaa ili atawale bila pressure? Kwenye bajeti hii kuna fungu kwa ajili ya upatikanaji wa katiba mpya?
Hatatokea wa kufanya hivyo bila kulazimishwa.Siku akija Rais akajipunguzia mamlaka na kutoa haya mambo ya Kinga ya kutoshitakiwa!
Huyo ndiyo atakuwa mzalendo namba moja
Mkuu achana na hicho kijingana hapa Forum uliingia kwaajili ya nani? Katiba, Itikadi, Sera na muelekeo wa chama ndivyo vilipaswa kukushawishi kujiunga na Chama ukipendacho sio mtu fulani.
Waarabu watawsla wa Dubai ambao. Ndiyi wamiliki wa DP World ni Waislam. 100%.Amesema waarabu hajasema waislam wewe bibi kizee
Ona ! Hongera sasa unaandika vyema Bravo # FaizaFoxyHayo ni mawazo yako, atake kukuhadaa kwa lipi zaidi?
Amesema anataka katiba mpya na katiba mpya haitunguliwi tu kwenye miti kama majani ya mwarubaini.
Katiba mpya ni mchakato unaotaka umahiri na umakini ili tusirudie makosa aliyoyafanya Nyerere aliyetunga katiba hii akiwa yeye na wanasheria wake tu, leo inatutesa.
Mama Samia hana sababu ya kuhadaa yeyote.
Mama Samia anaupiga mwingi.
90%ya watz waliipenda ccm kwa sababu ya magufuli.kabla ya magufuli (2014)ilifika kipindi ukionekana na nguo zile mbayambaya za ccm maeneo ya kariakoo watu wakawa wanazomewa na kupigwa.toka afariki mzalendo wa kweli,ccm imechukiwa sana na wtz kutikana na mambo kuya ya hovyohovyo yanayofanywa ikiwemo na hili la dp world.kurithisha madaraka kwa mtu ambaye si sahihi ni hatari kwa afya ya nchi
Mbona bado unakosea kuandika! Tatizo ni akili, ewezo au ujuzi na huenda pia umri umekwenda!Waarabu watawsla wa Dubai ambao. Ndiyi wamiliki wa DP World ni Waislam. 100%.
Jifunze kusoma katikati ya mistari.
Huwa sikisii.
Mama Samia anaupiga mwingi Kimataifa.
Ni kipi anachosubiri, kila kitu kiko tayari ikiwemo rasimu ya Warioba, sasa hiyo delay ni ya nini kama anamaanisha anachosema? Au unadhani kila mtu huwa anakubali hizo hadaa za bei rahisi?Hayo ni mawazo yako, atake kukuhadaa kwa lipi zaidi?
Amesema anataka katiba mpya na katiba mpya haitunguliwi tu kwenye miti kama majani ya mwarubaini.
Katiba mpya ni mchakato unaotaka umahiri na umakini ili tusirudie makosa aliyoyafanya Nyerere aliyetunga katiba hii akiwa yeye na wanasheria wake tu, leo inatutesa.
Mama Samia hana sababu ya kuhadaa yeyote.
Mama Samia anaupiga mwingi.
Basi waache kujifanya wazalendo, Kuna muda ukiwangalia viongozi wetu unashindwa kuelewa wanachowaza mtu anakwenda kufungua madarasa ya wanyonge akiwa na V8,Hatatokea wa kufanya hivyo bila kulazimishwa.
Mbona unachelewa, CCM ya mwenda zake uliyoifata haipo tena, sasa hivi ya Mama Samia.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.