Niliingia CCM sababu ya Magufuli. Nachana kadi muda sio mrefu

Nilitegeamea ujiunge na CCM wakati huu wa utawala bora wa SAMIA.
Na KAMA humpendi SAMIA hamia Kongo.
 
Me mwenyewe niliipenda CCM sababu ya Magufuli. Nimeachana nayo rasmi
 
Nyie ndio wale mlikuwa mnaunga mkono juhudi
Mbona hata gaidi Mbowe ameunga mkono juhudi awamu hii baada ya siku zote kusema uchaguzi kaibiwa. Najiuliza sijui kwa nini hakuenda mahakamani hata kwenye uchaguzi wa wabunge, kuna historia ya kushinda kesi huko nyuma. Unawezaje kuibiwa uchaguzi nchi nzima? Tukiambiwa nasi tujiambie
 
Mpuuzi tuu kama wewe ndio atakuelewa!
 
Waarabu watawsla wa Dubai ambao. Ndiyi wamiliki wa DP World ni Waislam. 100%.


Jifunze kusoma katikati ya mistari.


Huwa sikisii.



Mama Samia anaupiga mwingi Kimataifa.
Halafu Faiza Foxy umekuwa member wa hii forum muda mrefu sana. Lakini mbona Enzi za utawala wa Hayati John Josephu Pombe. Ulikuwa kimya sanaa.Sijui ulikuwaje?
 
Halafu Faiza Foxy umekuwa member wa hii forum muda mrefu sana. Lakini mbona Enzi za utawala wa Hayati John Josephu Pombe. Ulikuwa kimya sanaa.Sijui ulikuwaje?
Huyo Bibi Sisi wakongwe tunamwelewa vizuri sana kipindi cha JK alikuwa Active sana. 24/7 365 days

Nahisi nyumba Yake ni msikiti
 
Bora umemuandika ukweli hoja zake zimejikuta kwenye udini tu hata angekuja mchina au mzungu kama mkataba ni mbovu tutaukataa watu kama kina Faiza hawa ni hatari sana kwa kuligawa taifa
 
Usiondoke tu CCM mfuate kabisa uliemfuata aliko , sbb uliingia CCM ulimfuta mtu, sasa huyo mtu kaenda sehemu nyingine, ondoka, mfuate aliko, CCM hatujawahi kutishwa, nyoko kabisa.
Acha matusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…