Niliingia kwenye mahusiano na binti wa miaka 19

Huku ulikomrudisha kwa wazazi wake mm ndo namchakata
 
Mbona naona kama hivi binti wadogo wengi wana mapenzi ya kweli, vikikupenda vimekupenda kweli, Maana wanakua hawajaumizwa bado na wanaume

Hlf wengi wanaona fahari kutoka na wanaume waliowazidi umri Times9
Kha!,kha!, Kumbe?!!!.
 
Yaan alikusaliti kwasababu ,bado hajaula usichana amewah kuolewa. Hta huk vijijin wasichana wadogo wanaolewa ila baadae wanakuwa wanasaliti ndoa zao kwasababu usichana hawajaula vizuri. Ndo hvo lea mimba unaeza kusema s yako toto likazaliwa likakufanana mno
 
Shukran kwa ushauri mzuri ndugu.
 
Usiangalie future yake tu angalia na future yangu pia.Kuishi na binti ambaye ameshafanya usaliti na kumfanya kuwa mke wa ndoa hapo baadaye unaona ni sawa?
Kwani wewe Haujawahi kusaliti
 
Nadhani una mda mzuri wa kumfundisha kwamba usaliti una gharama

Telekeza yeye na mimba sababu hujui km ni yako mwache ajifunze namna ya ku handle mahusiano na akili ikue

Ukikuta mtoto ni wako utalea otherwise telekeza huyo binti next time atajifunza umuhimu wa kuwa na mwanaume mmoja
 
Kubali kuumia maana kuna mambo umemzurumu na sometimes anahitaji kuyajaribu akiwa kwako yaani kama we ni wa Kwanza na ni kibamia style unanifanya aamini kuwa men wote nibkibamia just leave her to try out the world Mzee Baba
 
Kwa hiyo mkuu unamaanisha nimfundishe kisha nimrudie au unamaanisha nimuache tu dunia imfunze?
 
Kubali kuumia maana kuna mambo umemzurumu na sometimes anahitaji kuyajaribu akiwa kwako yaani kama we ni wa Kwanza na ni kibamia style unanifanya aamini kuwa men wote nibkibamia just leave her to try out the world Mzee Baba
Hapo kwenye kuumia mkuu ndipo penye shida.Pili naomba kuuliza ina maana kuwa mabinti wote wenye umri huo ndivyo walivyo?.Ahsante kwa ushauri pia
 
Hapo kwenye kuumia mkuu ndipo penye shida.Pili naomba kuuliza ina maana kuwa mabinti wote wenye umri huo ndivyo walivyo?.Ahsante kwa ushauri pia
Miaka 30 plus unaumizwa na mtoto wa 2001???[emoji1787]
 
Mapenzi! Hakika mimi yamenishinda na sasa nimeamua kukaa tuu
 
Kwa hiyo mkuu unamaanisha nimfundishe kisha nimrudie au unamaanisha nimuache tu dunia imfunze?

Muache lea mtoto kaka akizaliwa wako

Kusamehe mwanamke msaliti ni kuweka uhai wako rehani
 
Mkuu hebu rudi ulee mtoto, onea huruma familia yake na future ya huyo dogo.....just waza mtoto wako atakuwa mtu wa namna gani......naamini huyo binti atabadilika maana umri wa kubadilika ndio huohuo na tukio la kumbadilisha ndio hilo.....

Usifanye mtoto, familia ya binti na huyo binti wakaishi kwa manung'uniko mkuu, ni heri usingempa mimba ila mimba itakwamisha kila harakati yake na uhuru wake umekuwa mdogo

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Pia nimekuwa na hofu kwamba mtoto atakuwa na malezi ya aina gani pasipo na wazazi wake kuwa karibu,Sikuwahi kufikiria mtoto wangu tena wa kwanza atakulia katika mazingira hayo.Ila kwa upande wa pili pia binafsi ninastahili amani na utulivu katika ndoa.Nashukuru kwa ushauri wako mkuu.Nitaufanyia kazi
 
Nipe jina lako nikatoe taarifa police,una 30yrs behind bars hadi sasa
 
Kwa hiyo nipige chini mkuu?
Nakuona upo katika mtego ambao sio rahisi kufanya maamuzi sahihi kwa sababu una moyo wa upendo na mtoto itakuwia vigumu sana pasipo kufanya d.n.a test ni vigumu kuamua , hvyo fanya kwanza d.n.a test halafu chukua hatua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…