Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
- Thread starter
- #61
Ndiyo mkuu.Au kama ninakosea pia unishauriHuyu ni mtu anayetafuta msaada kweli??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo mkuu.Au kama ninakosea pia unishauriHuyu ni mtu anayetafuta msaada kweli??
Kha!,kha!, Kumbe?!!!.Mbona naona kama hivi binti wadogo wengi wana mapenzi ya kweli, vikikupenda vimekupenda kweli, Maana wanakua hawajaumizwa bado na wanaume
Hlf wengi wanaona fahari kutoka na wanaume waliowazidi umri Times9
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bado mtoto ina maana wazee wenzako hujawaona?
Yaan alikusaliti kwasababu ,bado hajaula usichana amewah kuolewa. Hta huk vijijin wasichana wadogo wanaolewa ila baadae wanakuwa wanasaliti ndoa zao kwasababu usichana hawajaula vizuri. Ndo hvo lea mimba unaeza kusema s yako toto likazaliwa likakufanana mnoHabari zenu wakuu,
Nimekuwa na mahusiano na binti mmoja,Ambaye tulikutana akiwa na miaka 18 nikiwa nimemzidi miaka 12 tukaishi naye pamoja (pika pakua) mpaka alipotimiza miaka 19 mapema mwaka huu.Naweza kumsifia kuwa ni binti ambaye hakuwa na makuu wala tamaa maana alinikubali na maisha yangu hata nikiwa sina sawa nikiwa
Shukran kwa ushauri mzuri ndugu.Yaan alikusaliti kwasababu ,bado hajaula usichana amewah kuolewa. Hta huk vijijin wasichana wadogo wanaolewa ila baadae wanakuwa wanasaliti ndoa zao kwasababu usichana hawajaula vizuri. Ndo hvo lea mimba unaeza kusema s yako toto likazaliwa likakufanana mno
Kwani wewe Haujawahi kusalitiUsiangalie future yake tu angalia na future yangu pia.Kuishi na binti ambaye ameshafanya usaliti na kumfanya kuwa mke wa ndoa hapo baadaye unaona ni sawa?
Hapana sijawahiKwani wewe Haujawahi kusaliti
Mkuu wewe Hujawahi kusalitiHakuna justification ya kucheat ambayo itamfanya mtu aamue kumwacha au kumrudia mtu.Hapo jibu ni moja tu kumwacha
Kwa hiyo mkuu unamaanisha nimfundishe kisha nimrudie au unamaanisha nimuache tu dunia imfunze?Nadhani una mda mzuri wa kumfundisha kwamba usaliti una gharama
Telekeza yeye na mimba sababu hujui km ni yako mwache ajifunze namna ya ku handle mahusiano na akili ikue
Ukikuta mtoto ni wako utalea otherwise telekeza huyo binti next time atajifunza umuhimu wa kuwa na mwanaume mmoja
Hapo kwenye kuumia mkuu ndipo penye shida.Pili naomba kuuliza ina maana kuwa mabinti wote wenye umri huo ndivyo walivyo?.Ahsante kwa ushauri piaKubali kuumia maana kuna mambo umemzurumu na sometimes anahitaji kuyajaribu akiwa kwako yaani kama we ni wa Kwanza na ni kibamia style unanifanya aamini kuwa men wote nibkibamia just leave her to try out the world Mzee Baba
Miaka 30 plus unaumizwa na mtoto wa 2001???[emoji1787]Hapo kwenye kuumia mkuu ndipo penye shida.Pili naomba kuuliza ina maana kuwa mabinti wote wenye umri huo ndivyo walivyo?.Ahsante kwa ushauri pia
Kwa hiyo mkuu unamaanisha nimfundishe kisha nimrudie au unamaanisha nimuache tu dunia imfunze?
Pia nimekuwa na hofu kwamba mtoto atakuwa na malezi ya aina gani pasipo na wazazi wake kuwa karibu,Sikuwahi kufikiria mtoto wangu tena wa kwanza atakulia katika mazingira hayo.Ila kwa upande wa pili pia binafsi ninastahili amani na utulivu katika ndoa.Nashukuru kwa ushauri wako mkuu.Nitaufanyia kazimkuu hebu rudi ulee mtoto, onea huruma familia yake na future ya huyo dogo.....just waza mtoto wako atakuwa mtu wa namna gani......naamini huyo binti atabadilika maana umri wa kubadilika ndio huohuo na tukio la kumbadilisha ndio hilo.....
Usifanye mtoto, familia ya binti na huyo binti wakaishi kwa manung'uniko mkuu, ni heri usingempa mimba ila mimba itakwamisha kila harakati yake na uhuru wake umekuwa mdogo
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Nipe jina lako nikatoe taarifa police,una 30yrs behind bars hadi sasaHabari zenu wakuu,
Nimekuwa na mahusiano na binti mmoja,Ambaye tulikutana akiwa na miaka 18 nikiwa nimemzidi miaka 12 tukaishi naye pamoja (pika pakua) mpaka alipotimiza miaka 19 mapema mwaka huu.Naweza kumsifia kuwa ni binti ambaye hakuwa na makuu wala tamaa maana alinikubali na maisha yangu hata nikiwa sina sawa nikiwa
Nakuona upo katika mtego ambao sio rahisi kufanya maamuzi sahihi kwa sababu una moyo wa upendo na mtoto itakuwia vigumu sana pasipo kufanya d.n.a test ni vigumu kuamua , hvyo fanya kwanza d.n.a test halafu chukua hatua.Kwa hiyo nipige chini mkuu?