Niliishi na mwanamke miaka mitatu sikuwahi kunusa wala kusikia akipumua mashuzi

Kuna watu mlistahhili kuuzwa pamoja na bidhaa zingine zisizostahili Kwa matumizi ya binadamu
 

sio vitu vya vicheko kubana gas kwasababu ya aibu sio nzuri kiafya.
 
Kwangu mie mwanamke wa staili hiyo ni a big no , kujamba ni moja ya matokeo ya mmeng'enyo wa chakula tumboni japo ni laaibu kifanyika kwenye kadamnasi lakini kwa mtu wa karibu kama mke au mme halina sababu ya kuona aibu.
haujawahi kumsikia haimaanishi kuwa hajambi bali hataki ujue kama anajamba! Kama anaficha kitu kidogo kama hiki kuna mengi makubwa pia anaficha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…