orturoo
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 2,947
- 4,876
Ntakutafuta mkuu unipe madiniUko sahih
0682329852
Huwa nafundisha uwezo wa kufanya development kwa kutumia programming
Nakuskiliza
Nakupa maelezo
Then ukubaliana unaweza au hauwezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ntakutafuta mkuu unipe madiniUko sahih
0682329852
Huwa nafundisha uwezo wa kufanya development kwa kutumia programming
Nakuskiliza
Nakupa maelezo
Then ukubaliana unaweza au hauwezi
Kwanza sija kuelewa kabisa kwa mfano umetengeneza mfumo wa mtu kutumia peke yake kwa mfano mkandarasi kutunza taarifa za mikataba , malipo na matumizi anayonfanya link nikuwekee naitoa wapi mimi nikilipwa nalala mbele labda nikutumie project yake uicheki kitu ambacho hakiwezekaniSafi sana. App an web ulizotengeneza mboja hujatuwekea link?
Boss, vizuri kua na app ambayo mtu akiangalia aweze ku judge uwezo wako,,Kwanza sija kuelewa kabisa kwa mfano umetengeneza mfumo wa mtu kutumia peke yake kwa mfano mkandarasi kutunza taarifa za mikataba , malipo na matumizi anayonfanya link nikuwekee naitoa wapi mimi nikilipwa nalala mbele labda nikutumie project yake uicheki kitu ambacho hakiwezekani
Mfano
Umetengenezea wa vikoba app ambayo wanakuwa nayo kwenye simu zao mimi link naitolea wapi kama hawaja weka kwenye marketplace
Umeuliza kwa wema sana nimependa ila acha kukalili sio kila program ipo kwenye platform
Zikine tunajitengezea wenyewe kwa matumizi yetu wenyewe
Mfano kuna moja hapa uki install tu mimi napata message zako zote na namba za simu zote ulizo nazo
Nipe namba ya WhatsApp nikutumie u install kama unataka kuthibitisha
So unachokihitaji ni hatar muda mwingine nakushauli kuendelea kuongeza maarifa sio kuuliza kama hivi
Unaweka swali lako vizuri ndugu yangu
Haitaji degree at all , he needs skills and guidance basi through courses and certificatesNi lazima degree afike unaposema? kivipi? hakuna mengine kweli hata courses.. tena short one kulenga kitu? je hana degree kabisa?
nami najifunza ndio nauliza
Hahitaji kukaza. Anahitaji kuipenda and things will flowHYO FIELD INABIDI UKAZE SANA...KILA LA HERI MKUU
Kwanza sija kuelewa kabisa kwa mfano umetengeneza mfumo wa mtu kutumia peke yake kwa mfano mkandarasi kutunza taarifa za mikataba , malipo na matumizi anayonfanya link nikuwekee naitoa wapi mimi nikilipwa nalala mbele labda nikutumie project yake uicheki kitu ambacho hakiwezekani
Mfano
Umetengenezea wa vikoba app ambayo wanakuwa nayo kwenye simu zao mimi link naitolea wapi kama hawaja weka kwenye marketplace
Umeuliza kwa wema sana nimependa ila acha kukalili sio kila program ipo kwenye platform
Zikine tunajitengezea wenyewe kwa matumizi yetu wenyewe
Mfano kuna moja hapa uki install tu mimi napata message zako zote na namba za simu zote ulizo nazo
Nipe namba ya WhatsApp nikutumie u install kama unataka kuthibitisha
So unachokihitaji ni hatar muda mwingine nakushauli kuendelea kuongeza maarifa sio kuuliza kama hivi
Unaweka swali lako vizuri ndugu yangu
Siyo lazima degree, hata founders wengi wa tech companies kubwa ni college dropouts. Degree ni karatasi tu inayothibitisha una skills fulani na umepitia kwenye taasisi ya kielimu inayotambulika kwa kufaulu kulingana na vigezo husika.You code according to what is in your brain! Una skills za coding of which is good! Lakini ukitaka kutengeneza kitu kikubwa cha kutatua changamoto za jamii lazima uende shule angalau Degree! Hii ni kwasababu kama huna kiwango hicho cha elimu changamoto zinazozikumba jamii huwezi kuziona kwasababu ziko juu ya ufahamu wako na huwezi kufanya impressive presentation kwa wadau wasomi wenye hela ili wakupe mkono wa shirika! Kwa nilivyokuona una skills nzuri za coding but you lack knowledge (maarifa) ya kubadilisha coding skills of yours kuwa hela.
Unapo ongea kauli hizi mimi huwa napata furaha na hamasa kuona kumbe siko peke yangu ambaye sina ubinafsi na content zanguSiyo lazima degree, hata founders wengi wa tech companies kubwa ni college dropouts. Degree ni karatasi tu inayothibitisha una skills fulani na umepitia kwenye taasisi ya kielimu inayotambulika kwa kufaulu kulingana na vigezo husika.
Internet imeleta mapinduzi makubwa kwenye elimu, sasa hivi unaweza kujifunza programming mwenyewe A-Z na ukawa expert. Ukiwa na simu tu una uwezo wa ku-access mamilioni ya taarifa kuhusu Programming, kuanzia vitabu, video etc: hiki ni kizazi chenye bahati sana, miaka ya zamani haikuwa rahisi hivi kama ilivyo leo. Leo hii unaweza kufundishwa na mwalimu yupo Canada au popote pale duniani bila kukutana physically. Chuo ni certificates tu tena kwa elimu ya bongo wengi wanapotezewa tu muda na lecturers maana wengi wao siyo competent kwenye hii field.
Cha msingi ni kuwa na road-map (Web Dev, Software Dev etc) baada ya kujifunza mwenyewe ni lazima pia utafute community itakayokusaidia kukua zaidi na kuboresha skills na kupata connections zaidi.
Mfano New York kuna jamaa wanaitwa The Marcy Lab School wao wanatoa elimu ya programming bure kwa wanafunzi waliomaliza secondary na hawana fedha za kujiunga chuo. Ndani ya mwaka wanajifunza programming kwa kushirikiana wao wenyewe na kwasababu ni jukwaa linalojulikana baada ya hapo wana nafasi kubwa ya kupata Junior positions na hata kujiajiri wenyewe katika majukwaa ya freelancing.
Sasa hivi kuna wimbi kubwa tu la watu wanaacha fani walizosomea ili kujifunza programming kwasababu wameshagundua kuna pesa, ni soko pana sana na lenye fursa za kila aina na tayari kuna mengi zaidi yatatokea kwa miaka ijayo.
Wenzetu teknolojia kwao waliipata mapema na wakawapa maarifa watoto wao na ndiyo hawa wanaoanzisha makampuni makubwa ya teknolojia. Mtu kama Zuckerberg alianza kujifunza coding mwenyewe tu baada ya kupewa kitabu cha Programming na baba yake kama zawadi ya birthday, ameanzisha mtandao wa Facebook ulioleta mapinduzi makubwa katika sekta ya Teknolojia na mawasiliano bila ya kuwa na cheti cha degree.
Look here cocochanel kwamfano umeitwa na taasisi inataka uitengenezee program ya kuendesha SACCOS! Utaanzia wapi ili kujua urefu na mapana ya vikorombwenzo vya wadau, sheria za rights and permission, ulinzi nakipaumbele cha uendeshaji, na mwingiliano, n.k; Hata kama mtu akikueleza vipi kama huna maarifa ya kuanzia degree huwezi! Programmer wanaotengeneza hela ni Masters and PhD holder! Wewe wanaweza kukuajili na kukupa visubprograms vidogovidogo vya kuunganisha kwenye program kubwa na kukulipa vijisenti. Kama una mtoto unataka afanye coding kuwa professional mwambie acode huku akipiga shule!Ni lazima degree afike unaposema? kivipi? hakuna mengine kweli hata courses.. tena short one kulenga kitu? je hana degree kabisa?
nami najifunza ndio nauliza
Hivi nyie watu NANI KAWALOGA kudharau elimu? Hao wenye vyeti vya elimu ya juu ambao awaendani na elimu ndo wale wa degree za chupi, rushwa, kuonga, kudesa, na kuibia ili mradi apate cheti mwisho hata jamii inamuona mpumbavu tu! na ndo wengi tulionao. LAKINI HILO HALIONDOI UKWELI WA KWAMBA BILA ELIMU UWEZI KUFANYA JAMBO LINALOELEWEKA! Ndo maana kama hujasoma inakulazimu uajiri wasomi!Siyo lazima degree, hata founders wengi wa tech companies kubwa ni college dropouts. Degree ni karatasi tu inayothibitisha una skills fulani na umepitia kwenye taasisi ya kielimu inayotambulika kwa kufaulu kulingana na vigezo husika.
Internet imeleta mapinduzi makubwa kwenye elimu, sasa hivi unaweza kujifunza programming mwenyewe A-Z na ukawa expert. Ukiwa na simu tu una uwezo wa ku-access mamilioni ya taarifa kuhusu Programming, kuanzia vitabu, video etc: hiki ni kizazi chenye bahati sana, miaka ya zamani haikuwa rahisi hivi kama ilivyo leo. Leo hii unaweza kufundishwa na mwalimu yupo Canada au popote pale duniani bila kukutana physically. Chuo ni certificates tu tena kwa elimu ya bongo wengi wanapotezewa tu muda na lecturers maana wengi wao siyo competent kwenye hii field.
Cha msingi ni kuwa na road-map (Web Dev, Software Dev etc) baada ya kujifunza mwenyewe ni lazima pia utafute community itakayokusaidia kukua zaidi na kuboresha skills na kupata connections zaidi.
Mfano New York kuna jamaa wanaitwa The Marcy Lab School wao wanatoa elimu ya programming bure kwa wanafunzi waliomaliza secondary na hawana fedha za kujiunga chuo. Ndani ya mwaka wanajifunza programming kwa kushirikiana wao wenyewe na kwasababu ni jukwaa linalojulikana baada ya hapo wana nafasi kubwa ya kupata Junior positions na hata kujiajiri wenyewe katika majukwaa ya freelancing.
Sasa hivi kuna wimbi kubwa tu la watu wanaacha fani walizosomea ili kujifunza programming kwasababu wameshagundua kuna pesa, ni soko pana sana na lenye fursa za kila aina na tayari kuna mengi zaidi yatatokea kwa miaka ijayo.
Wenzetu teknolojia kwao waliipata mapema na wakawapa maarifa watoto wao na ndiyo hawa wanaoanzisha makampuni makubwa ya teknolojia. Mtu kama Zuckerberg alianza kujifunza coding mwenyewe tu baada ya kupewa kitabu cha Programming na baba yake kama zawadi ya birthday, ameanzisha mtandao wa Facebook ulioleta mapinduzi makubwa katika sekta ya Teknolojia na mawasiliano bila ya kuwa na cheti cha degree.
Umeingizwa cha kike! Kasome ujiendeleze mdogo mdogo huku ukifanya mazoezi advanced ya coding vinginevyo utaishia mitaani tu na kalaptop kako na viprogram vyako kwenye flash!Unapo ongea kauli hizi mimi huwa napata furaha na hamasa kuona kumbe siko peke yangu ambaye sina ubinafsi na content zangu
Hongera kwa uwezo wako ulio tukuka mkuuu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Akili hauna we mzee, humu tunakutana hatujuani usijifanye mungu wa kutabili maisha ya watu.Umeingizwa cha kike! Kasome ujiendeleze mdogo mdogo huku ukifanya mazoezi advanced ya coding vinginevyo utaishia mitaani tu na kalaptop kako na viprogram vyako kwenye flash!
Me ndo naanza kijifunza nmeanza na html na css Kisha niende java script ila nataman kupata site ambayo nitapata projects za mazoeziNilijifunza matumizi ya internet kwanza
Nikatumia muda mwingi kujifunza mambo mengi ya namna ya kunufaika mtandaoni
Nikaona habar ya kumiliki website, kununua sina uwezo nikajifunza html kama week 4 nikachoka nikaaacha
Nikaona kuna suala la kununua hosting siliwez
Nikahamia c nikajifunza sana
Nikaona implementation yake ni ngumu
Kila kitu hapo juu nilikuwa na soma theory
Nilivyo pata kuwa na kompyuta nikaanza na java
Kuna YouTube channel moja inaitwa freevodecamp niliangalia sana tutorial zao zile ndefu ndefu nilitumia gharama kubwa sana kwenye kununua bando.
Nilitumia muda mwingi nikiangalia tutorial zile code anazo kuwa anaziandika mfundishaji kwenye computer yake nakuwa naziandika kwenye daftari zote daftari likijaa na pause video naenda kununua lingine nikimaliza naingia kwenye IDE mara yakwanza zilikuwa hazileti majibu mara siku moja majibu yakaja kama ya mfundishaji nikafurahi sana
Tangu siku hiyo nikaacha kuandika nikawa nafungua IDE na video kwa pamona nakuwa na practice
Nikaacha kuangalia video
Nikatafuta website
Moja inaitwa geekforgeeks.com,javatpoint.com, w3school.com
Nikaja kugundua kumbe programming sio peke yangu ninaye pitia changamoto yaan bugs kumbe kuna sehemu watu wanna share matatizo yao na yana jibiwa na walio tangulia site hiyo inaitwa stackoverflow.com ni site maarufu self taught yoyote lazima anaifahamu na hata ambaye sio self taught
Nikapata ujasiri hadi wa ku edit full project ya mtu naifanya ninavyo taka
Yaan naweza chukua source code nikatengeneza products nyingi kutoka kwenye hiyo
Baada ya hapo nikawa na uwezo wa kufikilia na kutenge eza program kama niliyo waza
Baada ya hapo nikawa na uwezo huu wa kuangalia au kusikiliza tatizo la mtu na kutengeneza kwa kadri anavyo taka.
PIA SOMA
- Elewa kuhusu taaluma au ujuzi wa Programming
Elimu sio degree huo ni mfumo tu uliowekwa na n usefule kama utaajiriwa tu ila kma utapita njia tofauti na ajira degree so kituHivi nyie watu NANI KAWALOGA kudharau elimu? Hao wenye vyeti vya elimu ya juu ambao awaendani na elimu ndo wale wa degree za chupi, rushwa, kuonga, kudesa, na kuibia ili mradi apate cheti mwisho hata jamii inamuona mpumbavu tu! na ndo wengi tulionao. LAKINI HILO HALIONDOI UKWELI WA KWAMBA BILA ELIMU UWEZI KUFANYA JAMBO LINALOELEWEKA! Ndo maana kama hujasoma inakulazimu uajiri wasomi!
Mshindwe na mlegee nyie mnaobeza elimu!