Nilijifundisha programming kwa namna hii

Nilijifundisha programming kwa namna hii

Nilijifunza matumizi ya internet kwanza
Nikatumia muda mwingi kujifunza mambo mengi ya namna ya kunufaika mtandaoni
Nikaona habar ya kumiliki website, kununua sina uwezo nikajifunza html kama week 4 nikachoka nikaaacha

Nikaona kuna suala la kununua hosting siliwez
Nikahamia c nikajifunza sana
Nikaona implementation yake ni ngumu

Kila kitu hapo juu nilikuwa na soma theory

Nilivyo pata kuwa na kompyuta nikaanza na java

Kuna YouTube channel moja inaitwa freevodecamp niliangalia sana tutorial zao zile ndefu ndefu nilitumia gharama kubwa sana kwenye kununua bando.

Nilitumia muda mwingi nikiangalia tutorial zile code anazo kuwa anaziandika mfundishaji kwenye computer yake nakuwa naziandika kwenye daftari zote daftari likijaa na pause video naenda kununua lingine nikimaliza naingia kwenye IDE mara yakwanza zilikuwa hazileti majibu mara siku moja majibu yakaja kama ya mfundishaji nikafurahi sana

Tangu siku hiyo nikaacha kuandika nikawa nafungua IDE na video kwa pamona nakuwa na practice

Nikaacha kuangalia video

Nikatafuta website

Moja inaitwa geekforgeeks.com,javatpoint.com, w3school.com

Nikaja kugundua kumbe programming sio peke yangu ninaye pitia changamoto yaan bugs kumbe kuna sehemu watu wanna share matatizo yao na yana jibiwa na walio tangulia site hiyo inaitwa stackoverflow.com ni site maarufu self taught yoyote lazima anaifahamu na hata ambaye sio self taught

Nikapata ujasiri hadi wa ku edit full project ya mtu naifanya ninavyo taka

Yaan naweza chukua source code nikatengeneza products nyingi kutoka kwenye hiyo

Baada ya hapo nikawa na uwezo wa kufikilia na kutenge eza program kama niliyo waza

Baada ya hapo nikawa na uwezo huu wa kuangalia au kusikiliza tatizo la mtu na kutengeneza kwa kadri anavyo taka.

PIA SOMA
- Elewa kuhusu taaluma au ujuzi wa Programming
Umesoma by doing. Practice make petfect. Ila utakuwa una Ombwe ya theory behind. Hujaonesha vitabu ulivyosoma. Hizo website zinadokoa dokoa vitu vta muhimu tu hazizami deep down and cultivate the knowledge. Ukiwa mwalimu hutaweza kujibu maswali mengi ya Why this...?
Soma na vitabu basi ili ukamilishe hio safari. Vile vile certify your skilll set sehemu kama Oracle nk ili uwe proffsessional na kutumia cheti.
Nakupongeza sana kuwa self motivated. I mydelf self learner ila mie mie nimepitia zaidi books, website na Quora. Nataka kudevelop game moja hivi lilmezoeleka mtaani.
What is your vision na what is your current projects?
 
Elimu sio degree huo ni mfumo tu uliowekwa na n usefule kama utaajiriwa tu ila kma utapita njia tofauti na ajira degree so kitu
Mkuu usibeze digrii. Degrii inakupa wide knowledge na connection. Self learner unaweza kukomaa na kitu kidogo muda mrefu wakati chuoni unasaidiwa hata na peer group. Binafsi najuta kwa nini si ku Opt kozi za programming chuoni zingenipa msingi. Kwa mfano kujifunza algorithms at home very boredom wakati chuoni lazima uisome na ufanyie mtihani.
Sasa hivi tunaenda kwenye AI, LLM, Robotic, Machine learning and IOT.phyeics informed AI. Hizi mambo zitawatupa mkono wale wasio na ujuzi wa pure scirnce.
Chikulia mfano robotics. Ili uunde robot unatakiwa ujue programming, electronics na physics. Wewe ambae hujapitia chuoni utatumia nguvu nyingi sana na muda mwingi kufikia malengo kuliganisha na yule alieenda chuoni.
Asie kuwa na digrii faida yake anakuwa focus na jambo alilochagua ila anakosa problem soving skills vingine uwe na digrii ya hata mambo mengine sio lazima ya IT.
 
Hivi nyie watu NANI KAWALOGA kudharau elimu? Hao wenye vyeti vya elimu ya juu ambao awaendani na elimu ndo wale wa degree za chupi, rushwa, kuonga, kudesa, na kuibia ili mradi apate cheti mwisho hata jamii inamuona mpumbavu tu! na ndo wengi tulionao. LAKINI HILO HALIONDOI UKWELI WA KWAMBA BILA ELIMU UWEZI KUFANYA JAMBO LINALOELEWEKA! Ndo maana kama hujasoma inakulazimu uajiri wasomi!
Mshindwe na mlegee nyie mnaobeza elimu!
Ili mwende pamoja, inabidi muwe na common definition ya elimu. Naaam....
Je haiwezekani watu tofauti kuwa na maarifa yanayofanana ambayo kila mmoja aliyapata kwa njia na namna tofauti?
 
Ili mwende pamoja, inabidi muwe na common definition ya elimu. Naaam....
Je haiwezekani watu tofauti kuwa na maarifa yanayofanana ambayo kila mmoja aliyapata kwa njia na namna tofauti?
Right 👍
 
Hivi nyie watu NANI KAWALOGA kudharau elimu? Hao wenye vyeti vya elimu ya juu ambao awaendani na elimu ndo wale wa degree za chupi, rushwa, kuonga, kudesa, na kuibia ili mradi apate cheti mwisho hata jamii inamuona mpumbavu tu! na ndo wengi tulionao. LAKINI HILO HALIONDOI UKWELI WA KWAMBA BILA ELIMU UWEZI KUFANYA JAMBO LINALOELEWEKA! Ndo maana kama hujasoma inakulazimu uajiri wasomi!
Mshindwe na mlegee nyie mnaobeza elimu!
Mkuu shida watu wanakujibu kwa mihemko na hawaelewi point yako,
Mimi najichukulia mfano, nilianza kujifunza programming Enzi izo wakati naanza chuo mwaka wa kwanza (fresher) actually nilihisi naelewa kila kitu lakini nilipofika mwaka wa tatu ndo niligundua kama nilikuwa nakariri na sielewi kwasababu ya kutokuwa farmiliar na vitu vingi (kipindi naanza nilikuwa najua kuandika na ku-run basi)
Kupitia elimu, unakuwa na uwezo wa kuona trends za technology, sehemu gani inatatizo na kuweza ku-frame opportunity, unakuwa exposed na vitu vingi sana kuhusiana na teknolojia kiasi cha wewe kuona fursa. Finally code arrangement, planning, presentation and staffs, hata ukiitwa kupresent software yako mbele ya waweka pesa unapresent kisomi, utamsawishi vipi mtu aweke hela yake??
Watu wanakwammbia mark Zuckerberg kadrop out college ila hawatakwambia kama kadrop out from Harvard, hawatakwambia alicode his first techproduct akiwa na miaka 12, hawatakwambia ana IQ of +150, and finally hawatakwambia kuwa alidrop out ili adedicate muda wake wote kwa facebook. You people of this third world country, ITAFUTENI ELIMU.
 
Elimu sio degree huo ni mfumo tu uliowekwa na n usefule kama utaajiriwa tu ila kma utapita njia tofauti na ajira degree so kitu
Shida ni interpretation yenu ya elimu ndo inamapungufu, ukielewa elimu huwezi kutoa point kama hii.
Hiki kizazi kisiichoona umuhimu wa elimu ni hatari sana katika hili taifa, wadogo zangu mnakwama wapi sijuwi
 
Wote mpo sawa.
Elimu isio rasmi na elimu rasm.
Sema faida nyingi zipo kwa elimu rasm.
Mfano kuna board of proffesionalism kama za mainjinia asie na cheti asajiliwi.
Hapa TZ mfumo rasmi ni rafiki zaidi.
Ulaya wanataka creativity sio vyeti.
Sema wasiokuwa na elimu ya shule wapo very focused and very competent kwenye eneo lao.
Angalia wanamuziki wasio soma jinsi walivyo mahiri.
Kwa hio ktk dunia ya sasa jambo kubwa ni kuweza kufanikiwa bila kujali unapitaje.
 
Anaposema elimu sio degree anamaanisha nini? Iwe formal ama informal kila elimu ina ngazi yake.
Kwa nchi za ulaya, nilishaona kuna documentary ya mdada (ana master degree ya Engineering from MIT) japo hakupitia zile njia formal tulizozoea ila mwenyewe alisema alisoma sana vitabu vya physics and other science kisha certificates kisha akafanya mtihani akawa admitted MIT (sijuwi kwa Tz kama inawezekana kama hivi) . My point is, elimu ina ngazi zake, mtu anauesoma certificate hawezi kufanana na wa bachelor, na anaesoma bachelor hawezi kufanana na wa master degree same na kuendelea level za mbele haijalishi alitumia njia gani. Kama mtu ana bachelor na elimu yake haina tofauti na mtu mwenye certificate hayo ni matatizo binafsi mkuu
 
Back
Top Bottom