Jamaniii mnyonge,Mnyongeni haki yake mpeni mtoa mada kaandika kwamba jamaa ndie alianza ku cheat au kosa la Mwanaume mwenzenu hamlioni😬😬😬Kitu nilichojifunza maishani,ukiona ndoa yoyote haijadumu jua mwanamke ndio tatizo kwa zaidi ya 99%.
Kwa maelezo yako mwenyewe inaonekana wazi wewe ndio tatizo,hata hivyo jamaa alikuvumilia kukumwaga mapema kwa kuwa alikuwa hana kazi-yani nifahamu mwanamke umenicheat halafu niendelee nawe kabda kama umeniwekea limbwata.
Ndio maana mumeo nafsi take ilikuwa inamsuta kwamba anishi vipi na mwanamke aliyemsaliti wazi wazi.
Na ukinilaza ndani ndo ndoa imeisha hivyo, utaolewa na hao polisi au ustawi wa jamii[emoji4]Unajitafutia matatizo. Wengine tunakulaza ndani. Hatutaki ujinga
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Hamna mwanaume alokamilka anaweza itaka ela ya mwanamke,Kama vijana mpk mnaolewa siku hizi mnafikri nn? Wanawake wanapigana nyie mmelala tu. Acha mkomeahwe kwa kuendekeza umariooo
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Ndo maana huwa nawasisitiza wanaume wenzangu tutafute sana Ela.Hapo ndipo mnapojua wanaume tuna moyo wa kipekee uliojaa upendo. Mwanaume ana uwezo wa kuishi na mwanamke hasiye na kazi na akamtunza kuanzia mke pamoja na familia yake.
Ila mwanamke kumvumilia mwanaume anayepitia changamoto za kiuchumi hamuwezi.
Ndio maana mwanamme akipitia misukosuko ya kiuchumi kuna 90% ya ndoa kivunjika, kwani ndoa imeshikiliwa na sentensi mbili.
1 Shida na raha.
2.ugonjwa na uzima
Dada zangu wanaingia kwenye ndoa na kufurahia kuvaa shela na show off ukumbini huku akiwa hajui hizo sensensi mbili zina maanisha nini.
Au usikute mume mwenyewe alikuwa na pride, hasaidiki!!Na me ndo niliwaza, maana anasema alianzisha biashara ya daladala, si angempa hata huyo mume aendeshe?
Huyo dada ni mkenya nimeweka link comment ya kwanza kabisa.
Unafikiria wale ndugu zako, what if mna watoto naye? Usije ukafikiri unamkomoa mwanaume kumbe unakomoa watoto wako. Hujaona ndugu pande zote wanatelekeza watoto???Mkui. Marudia tena, biashara yako iwe yako maamaaeee. Yes. She is damnly right. Biashara yangu ukachukue hela ukagongee mademu zako? Yaqn safi sana. Unaambiwa ukitaka mahusiano yenu yaishe salama kila mtu awe na chake. Nimejifunza, hata nikafa bora wale ndugu zangu... mumetufindisha ushenzi. Tunyooshane tu. Ye mwanaume anafanya nn. Ni wanaume wangapi wanavhukulowa mikopo na walimu na manesi kw akuombwa na bado wanatelekezwa? Girl, u did rhe right thing. Hakua anakupenda. Muliishi kimazoea
Imagine biashara zingekua share. Ungekomaaa. Share kafanye kwenu
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Sababu ya Mwanaume kuanza kucheat haiwezi kua utetezi wa mwanamke na yeye akacheat.Jamaniii mnyonge,Mnyongeni haki yake mpeni mtoa mada kaandika kwamba jamaa ndie alianza ku cheat au kosa la Mwanaume mwenzenu hamlioni[emoji51][emoji51][emoji51]
Naona hujui tabia ya wanaume wenzako siku hizi. They have no pride and no shame at all. Mamarioo wengi mnooHamna mwanaume alokamilka anaweza itaka ela ya mwanamke,
Hao sio wanaume, Ni wavulana.Naona hujui tabia ya wanaume wenzako siku hizi. They have no pride and no shame at all. Mamarioo wengi mnoo
Ukisoma between lines, utagundua mwanaume mwenzetu Ni wakuonewa huruma Sana.Nimeumia sana lakini.... Sema wanaume mwenzetu kazingua sana!
Kupitia maandishi yake,Reading between the lines, hata ingekuwa mimi ningekudunda na tungeachana. Uandishi wako tu leaves a lot to be desired. Ukimsoma mtu vizuri unapata picha ya aina gani yeye yupo...
[emoji16] kumbe upo dadaaIvi mtu unaanzaje kumlea wanaume? Ujinga tu
1. Wewe unaweza kuishi na MDOMO PISTOL?Ulikosea kurudiana na ex wako huku ukijua tabia zake mbovu na ukiamini kuwa ata change Matokeo yake ikawa ni machungu zaidi, dah nikupe pole umeshajifunza Sasa be careful with life, jipende kwanza wewe ji spoil na life liendee na usijiloge kurudi misri utajutra mara elfu kumi. Pia ulikosea kuwa mlezi wa Huyo mwanaume, anaji feel inferior lazima akutese mpaka basi, na Huyo hakuwa soul mate wako