Nilijinunulia Pete, Nikagharamia harusi mwenyewe, Ndoa ikafa baada ya miezi minne

pole, ila ulisahau kitu kimoja

kamwe, mwanaume hawezi kumsamehe mwanamke aliyemcheat..

roho ya kusamehe tulipewa wanawake tu.
kaa tulia, jipe muda tafta mwanaume asiyekujua muanze upya

Wewe sasa umewajua wanaume umefuzu kuishi na mwanaume...
 
Jamaniii mnyonge,Mnyongeni haki yake mpeni mtoa mada kaandika kwamba jamaa ndie alianza ku cheat au kosa la Mwanaume mwenzenu hamlioni😬😬😬
Tangu kuzaliwa kwako ukalelewa,ukasoma historian na historian,vitabu vyote vya dini uliwahi kusikia wapi mwanaume ana cheat??
Ana cheat mwanamke sio mwanaume.

Jamani kwani nyie Wanawake waa Siku hizi mambo haya Mama zenu hawawambii kabla ya kuolewa?
 
Corporate ladies vs Marioo...kaazi sana..sasa huyo mchepuko anamtunzaje au bado anatunzwa?
 
1. Wewe unaweza kuishi na MDOMO PISTOL?
2. Ina maana mumewe alikua akiamka tu na kutembezea kipigo kama ana MASHETANI?

Aitwe mume nae aseme yake.

#YNWA
Ndo maana hutaki kuoa[emoji2]

Hivi mkuu ndo uoea
Mwanamke Kama mtoa mada, SI utakimbia wiki TU?
 
Corporate ladies vs Marioo...kaazi sana..sasa huyo mchepuko anamtunzaje au bado anatunzwa?
Michepuko sometimes Ni kujifariji TU, sio kila MCHEPUKO anakua wakuhudumiwa.

Wengine Ni one night stand, inakua imeisha iyo.

Sasa ukifumwa, inachukuliwa alikua official[emoji4]
 
Corporate ladies vs Marioo...kaazi sana..sasa huyo mchepuko anamtunzaje au bado anatunzwa?
Hili janga Ni lazima tulikalie kikao tulijadili kwa kina.

Corporate ladies night janga kubwa sna kwnye maisha ya ndoa.

Other wise mungu akujaalie uchumi imara Sana mwanaume
 
Kwahiyo by any means unaruhusiwa kupiga mtu siyo?

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app

Kwani wewe unaruhusiwa kumnyanyasa mtu kihisia???

Unadhani kupiga kunakuja hivi hivi.

Embu tuwe wa kweli kuna kitu kinaumiza kuliko kunyanyaswa kihisia???hamjiulizi kwanini kila kabila saivi wanapiga wanawake maana hapo mwanzo mlimuwa mnasema wakurya wanapiga saivi kila kabila wanapiga.

Ndo tuseme wanaume wote wamejifunza upigaji kupitia wakurya?unyanyasi wa kijinsia hautaisha mpk siku tutakapokaa chini na kuulizanA maswali ya msingi.Kwanini wanaume wamekuwa wapigaji?kwanini wanawake wamekuwa na mdomo?halafu tujue tunatatuaje tatizo moja kwa moja na sio kufunika kombe.

Mnataka kuulaumu ukimwi na kuwaacha wafanya ngono?mkisema ukimwi unaenea tukubaliane ni kwa sababu tunafanya ngono.Haujienezi wenyewe.
 
Pole sana dada na hongera kwa kumaliza hilo tatizo la anxiety linatesa sana
 
Haya mawazo ya kupiga mwanamke yameanza lini
Mdogo wangu maisha yanabadilika sana, Ila kwa case ya huyu binti naona kabisa hulka yake ni ya kibabe...kifashisti! Hata uandishi wake ni kama anajimwambafai, japo siwezi mtetea mwamba kwa jinsi alivyokuwa lazy affair, kufanyiwa kila kitu, Ila huyu kudundwa has smth to do with mdomo wake.

Kingine, inferiority inatumaliza sana wanaume.
 
Hii stori imelalaia upande mmoja hii.

Kila Mara unalalamika vipigo, vipigo, mnyanyaso ila chanzo husemi.

Sitaki kuamini mume wako uyo anamashetani TU, anaamka anakupiga bila Sababu.

Mtoa mada Kuna kitu unatuficha
Mkuu ukweli ndo huo mwanamke ni ngumu kimpiga bila sababu mdomo kama pistol lazima upigwe tu.wanaume tumeumbwa kutawala na kusikilizwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…