Sio infiriority. Ni vigumu sana kukubali kuzidiwa uwezo na mwanamkeMdogo wangu maisha yanabadilika sana, Ila kwa case ya huyu binti naona kabisa hulka yake ni ya kibabe...kifashisti! Hata uandishi wake ni kama anajimwambafai, japo siwezi mtetea mwamba kwa jinsi alivyokuwa lazy affair, kufanyiwa kila kitu, Ila huyu kudundwa has smth to do with mdomo wake.
Kingine, inferiority inatumaliza sana wanaume.
Kaka umekereka sana maana [emoji2][emoji2]Hao sio wanaume, Ni wavulana.
Na ndo maana wengi wao bado wanavaa vile vikaptura na kuning'iniza funguo Kwenye luksi kwa vigari vya kuhongwa na wanawake (vitz,ist, rumion, raum n.k)
Tangu dunia iumbwe,
Mwanaume ameubwa Ni provider, na mwanamke Ni msaidizi.
Hizi tabia za kuwataka wanawake na wao wale kwa jasho, ndo zimeleta huu upumbavu.
Na wao wamejiona wamekua vichwa vya familia Sasa Kama wewe Apo mtoa mada
[emoji1787]Eti nikamwambia "ONDOKA..."
Aisee,
Hivi mwanamke anaanzaje sasa kunambia ondoka?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaa nikianzaga kuwaza
Hii jeuri kapewa na Nani hasa[emoji848]
Kitakachofuata, Ni yesu tu itabidi aingilie kati[emoji2]
Embu jaribuni kumsikiliza wenyewe kwanza inawezekana uandishi wangu umem misrepresentMdogo wangu maisha yanabadilika sana, Ila kwa case ya huyu binti naona kabisa hulka yake ni ya kibabe...kifashisti! Hata uandishi wake ni kama anajimwambafai, japo siwezi mtetea mwamba kwa jinsi alivyokuwa lazy affair, kufanyiwa kila kitu, Ila huyu kudundwa has smth to do with mdomo wake.
Kingine, inferiority inatumaliza sana wanaume.
Kabisa...Kuishi na mwanamke mwenye kelele unaweza kutamani hata Mungu akupumzishe tu.
Hii ndio nature[emoji106]Sio infiriority. Ni vigumu sana kukubali kuzidiwa uwezo na mwanamke
Pole dearMume wangu tulikutana chuo, mimi nikiwa na miaka 20, yeye 21. Tukaanza kuishi pamoja kama mke na mume.
Tulikuwa tukiandika majarida mitandaoni ndo tunapata pesa ya kujitunza wenyewe, na ndo pesa nilimsomeshea mdogo wangu kwani mama alikuwa mgonjwa na tuliishi maisha duni sana. Mimi na mume wangu tulilelewa na mama pekee.
Uzi Umeandika mwenyewe, na Hakuna mahali umetoa credit kwa kucopy kazi ya mtu.Embu jaribuni kumsikiliza wenyewe kwanza inawezekana uandishi wangu umem misrepresent
Hii hadith umei-construct vizuri sana.nimependa sana uandishi wako.Mume wangu tulikutana chuo, mimi nikiwa na miaka 20, yeye 21. Tukaanza kuishi pamoja kama mke na mume.
Tulikuwa tukiandika majarida mitandaoni ndo tunapata pesa ya kujitunza wenyewe, na ndo pesa nilimsomeshea mdogo wangu kwani mama alikuwa mgonjwa na tuliishi maisha duni sana. Mimi na mume wangu tulilelewa na mama pekee.
Ni ngumu kuishi na mdomo pistol Mimi ningeshabeba mabeg nisepe1. Wewe unaweza kuishi na MDOMO PISTOL?
2. Ina maana mumewe alikua akiamka tu na kutembezea kipigo kama ana MASHETANI?
Aitwe mume nae aseme yake.
#YNWA
Mdomo pistol ..lazima ale makelebuHii stori imelalaia upande mmoja hii.
Kila Mara unalalamika vipigo, vipigo, mnyanyaso ila chanzo husemi.
Sitaki kuamini mume wako uyo anamashetani TU, anaamka anakupiga bila Sababu.
Mtoa mada Kuna kitu unatuficha
Mwenye Kupenda Haoni, Chongo Huita KengezaKwani hujawahi sikia mapenzi ni upofu!?
Tuchangamke Mdomo Pistol Yupo SingleKwa hiyo upo single sasa?
Hakuna kitu wanaume kinatuumiza kama maneno aiseeeUkizingatia jamaa ana stress za kuyumba kiuchumi
Nadani Tatizo kupigwa makofi kila Mara,
Nadhan chanzo Kiko hapa Hapa[emoji116]
"tena me wananiitaga mdomo pistol maana maneno yanayonitoka nikikasirika ni kama pistol....."