Nilijitoa kufanya naye maisha ila ameniachia wakati mgumu nikiwa na mimba yake

Itakua amepoteza kazi baada ya kuingia kwenye ufuska hakuna fimbo kali kaa hiyo, yani mwanamke wako akupende kwa dhati halafu uanze za chinichini karma lazima ikurudie, hapo tatizo utampataje

Nina ushauri mgumu lakini sijui kama atauweza kama ana picha ya huyo kaka na watu wa karibu wanawajua na ushahidi wa ununuzi wa kiwanja mliofsnya pamoja mimi nakushauri kadai haki mahakamani, kwanza omba ITV wamtangaze anatafutwa najua lazima atakupigia simu tu na atatudi na akirudi aelezie imekuaje na kiwanja mlichichukua pamoja imekuaje akurushe
 
Tukupe ushauri gani? Embu nishauri nikushauri nini?
 
Nipo hapa nawaza mmiliki wa kiwanja ni nani? Na ilikuwaje jamaa aliweza kukiuza,
Mwanamke: Felister Komba
Mwanaume: John Mwangombola
Jina la mmiliki wa kiwanja: Felister John au Felister Mwangombola sasa huyu Johnalikiuza vipi?
 
Tunaanzia wapi kumshauri mtu asiyetumia akili kufanya maamuzi!!
 
Kiwanja kina Nina lako na la kwake kisheria hawezi kuuza bila kukushirikisha toa taarifa wizarani
 
Kaka hii story ya sasa siyo yangu! nimeandika kwa niaba ya mtu! soma vizuri mwanzo wa habari nimeweka wazi!
Nyuzi zako za nyuma zina masihara sana mautani sana ona sasa hata huwezi kuaminika tena kwenye jamiii
 
Nipo hapa nawaza mmiliki wa kiwanja ni nani? Na ilikuwaje jamaa aliweza kukiuza,
Mwanamke: Felister Komba
Mwanaume: John Mwangombola
Jina la mmiliki wa kiwanja: Felister John au Felister Mwangombola sasa huyu Johnalikiuza vipi?
Inawezekana wananuzi wakawa wawili sidhani kama inashindikana kitu
 
Alafu hiyo nizalie ndio nikuoe ama nikupeleke nyumbani mnayo sana
 
karma itajibu uyo atarudi hana senti mfukoni, mi ni katili ktk mapenz ila nina huruma sana kumwacha mwanamke ni kitu simple sana kwangu ila siwez mfanyia roho mbaya iivi, najuwa siku nitarudi tu
 
Sijawahi na sitaweza kumwamini mwanamke anayeteswa na mwanaume. Na hata wale wanao ua wanawake kwa sababu ya kimahusiano huwa sikimbilii kuwalaumu.

Sababu nazijua Mimi.
 
Hiyo laana itamtafuna milele sisi aged kidogo tumeona wengi wa hivyo Huwa Hawa settle kabisa anaweza akashika Hela nyingi tu na still akawa maskini na kuhisi analogwa kumbe wap
Ni.kweli. Mimi yalinikuta pia lakini karma is real. Hela ya dhulma hufiki nayo mbali. Tena wa kwangu alikuwa mume wa ndoa kabisa.
 
Mhhhhhh ww kijana ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…