Nilijua ajali ya ndege imetupa funzo la kuwekeza kwenye utayari wa kupambana na majanga

Nilijua ajali ya ndege imetupa funzo la kuwekeza kwenye utayari wa kupambana na majanga

Huko Hanang sioni vifaa vya kisasa vya kuokolea kama helkopta zenye crane zaidi ya kuona mawaziri wakiwa na fimbo za magongo....
Hii nchi ni ngumu sana. Hata ukiangalia magari maalum ya fire depth hamna wana ya washawasha.

Ambulance za makini hakuna.

MaVx ndio utaona yako 29 kwa kiongozi mtoa habari!
 
Huko Hanang sioni vifaa vya kisasa vya kuokolea kama helkopta zenye crane zaidi ya kuona mawaziri wakiwa na fimbo za magongo...
"Katika nchi za Afrika hakuna Serikali bali kuna magenge ya watu walioshika silaha na kupora rasilimali za nchi ili kujinufaisha wao wenyewe binafsi pamoja na vibaraka wao."
Jonas Savimbi.
 
Huko Hanang sioni vifaa vya kisasa vya kuokolea kama helkopta zenye crane zaidi ya kuona mawaziri wakiwa na fimbo za magongo.

Chama tawala kinanunua mashangingi na kuyatawanya kwa Makatibu wake kwenye wilaya zaidi ya mia ishirini!

Mawaziri wananunuliwa V8 kila mwaka, V8 mpya Tsh. Mil. 500.

Kwanini msiwe na vifaa vya kisasa standby kwa ajili ya majanga? Yaani mkaacha kununua V8 na kuwekeza kwenye vifaa vya kisasa vya uokoaji!

View attachment 2833011
Hata makada wa ccm mnajiliza humu mitandaoni, si mjadili kwenye vikao vyenu vya ndani?
 
Huko Hanang sioni vifaa vya kisasa vya kuokolea kama helkopta zenye crane zaidi ya kuona mawaziri wakiwa na fimbo za magongo.

Chama tawala kinanunua mashangingi na kuyatawanya kwa Makatibu wake kwenye wilaya zaidi ya mia ishirini!

Mawaziri wananunuliwa V8 kila mwaka, V8 mpya Tsh. Mil. 500.

Kwanini msiwe na vifaa vya kisasa standby kwa ajili ya majanga? Yaani mkaacha kununua V8 na kuwekeza kwenye vifaa vya kisasa vya uokoaji!

View attachment 2833011
Usishangae kwa haya yanayoendelea.

"Afrika haitapata maendeleo kwa sababu watawala wakati wote wanafikiria jinsi watakavyoendelea kubakia madarakani; nchi zilizoendelea, viongozi wakati wote wanafikiria watakavyoyaendeleza mataifa yao" - Barack Obama, Rais mstafu wa USA.

Ndugu yangu, wala usitarajie kitu chochote cha maana kutoka kwa watu wanaofikiria wakati wote namna ya kuendelea kubakia madarakani.

Uliwahi kumsikia kiongozi wa CCM au wa Serikali ya CCM akitamka kuwa, ninataka Tanzania iwe na mifumo bora ya uokoaji au kukabiliana na majanga milele yote? Au hata kusema tu kuwa nataka Tanzania iwe na uongozi mzuri milele yote? Au nataka Tanzania iongozwe na watu wanaokubalika na umma miaka yote?

Lakini ni dhahiri, mara nyingi kuna wale wapumb.avu utawasikia, "CCM itatawala milele", pu.mbavu kabisa, hivi CCM ikitawala milele au isitawale milele, kuna nini cha maana kwa Taifa. Tungewaona wana akili timamu kama wangekuwa wanasema, tutahakikisha Tanzania inakuwa na utawala na viongozi bora kabisa wakati wote.

Tatizo kubwa la Tanzania, kubwa kuliko yote, ni CCM. Inazuia mifumo ya kidemokrasia kufanya kazi ili nchi iwapate watu wenye maono, hekima, utashi na ubunifu, kuongoza nchi na taasisi zake mbalimbali.
 
Usishangae kwa haya yanayoendelea.

"Afrika haitapata maendeleo kwa sababu watawala wakati wote wanafikiria jinsi watakavyoendelea kubakia madarakani; nchi ziluzoendelea, viongozi wakati wote wanafikiria watakavyoyaendeleza mataifa yao" - Barack Obama, Rais mstafu wa USA.

Ndugu yangu, wala usitarajie kitu chochote cha maana kutoka kwa watu wanaofikiria wakati wote namna ya kuendelea kubakia madaraka.

Uliwahi kumsikia kiongozi wa CCM au wa Serikali ya CCM akitamka kuwa, ninataka Tanzania iwe na mifumo bora ya uokoaji au kukabiliana na majanga mielele yote? Au hata kysema tu kuwa nataka Tanzania iwe na uongozi mzuri milele yote? Au nataka Tanzania iongozwe na watu wanaokubalika na umma miaka yote?

Lakini ni dhahiri, mara nyingi kuna wale wapumb.avu utawasikia, "CCM itatawala milele", pu.mbavu kabisa, hivi CCM ikitawala milele au isitawale milele, kuna nini cha maana kwa Taifa. Tungewaona wana akili timamu kama wangekuwa wanasema, tutahakikisha Tanzania inakuwa na utawala na viongozi bora kabisa wakati wote.

Tatizo kubwa la Tanzania, kubwa kuliko lote, ni CCM. Inazuia mifumonya kidemokrasia kufanya kazi ili nchi iwapate watu wenye maono, hekima, utashi na ubunifu, kuongoza nchi na taasisi zake mbalimbali.
Umepigia jibu msitari
 
Back
Top Bottom