G - The Apostle
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 599
- 1,125
We ni mpuuzi sanaa unatetea wajinga hata baiskeli hunaUna hoja ila kuiegemeza na mashangingi ni ujinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ni mpuuzi sanaa unatetea wajinga hata baiskeli hunaUna hoja ila kuiegemeza na mashangingi ni ujinga
Tudokeze hapo zingesaidia nini? Be calm, tueleze kwa kina! 😁😁Hujui kazi ya helkopta kwenye majanga ? Shwain?
Hapo wapi?Tudokeze hapo zingesaidia nini? Be calm, tueleze kwa kina! 😁😁
Hapo Tope lilipo anguka Hanang... 😁😁😁Hapo wapi?
Search and rescueHapo Tope lilipo anguka Hanang... 😁😁😁
Hii nchi ni ngumu sana. Hata ukiangalia magari maalum ya fire depth hamna wana ya washawasha.Huko Hanang sioni vifaa vya kisasa vya kuokolea kama helkopta zenye crane zaidi ya kuona mawaziri wakiwa na fimbo za magongo....
"Katika nchi za Afrika hakuna Serikali bali kuna magenge ya watu walioshika silaha na kupora rasilimali za nchi ili kujinufaisha wao wenyewe binafsi pamoja na vibaraka wao."Huko Hanang sioni vifaa vya kisasa vya kuokolea kama helkopta zenye crane zaidi ya kuona mawaziri wakiwa na fimbo za magongo...
Hata makada wa ccm mnajiliza humu mitandaoni, si mjadili kwenye vikao vyenu vya ndani?Huko Hanang sioni vifaa vya kisasa vya kuokolea kama helkopta zenye crane zaidi ya kuona mawaziri wakiwa na fimbo za magongo.
Chama tawala kinanunua mashangingi na kuyatawanya kwa Makatibu wake kwenye wilaya zaidi ya mia ishirini!
Mawaziri wananunuliwa V8 kila mwaka, V8 mpya Tsh. Mil. 500.
Kwanini msiwe na vifaa vya kisasa standby kwa ajili ya majanga? Yaani mkaacha kununua V8 na kuwekeza kwenye vifaa vya kisasa vya uokoaji!
View attachment 2833011
Atapewa na jamaa wa DP World Nini?Maza anarudi na vifaa vya kisasa vya uokoaji. Kuweni na subira
Ndio ndio 😀Atapewa na jamaa wa DP World Nini?
Bwa mdogo naomba ujiheshimu. Siwezi kuwa kada wa chama cha wadhurumatiHata makada wa ccm mnajiliza humu mitandaoni, si mjadili kwenye vikao vyenu vya ndani?
Hujui hata kuigiza ww pimbi wa ccm.Bwa mdogo naomba ujiheshimu. Siwezi kuwa kada wa chama cha wadhurumati
Pumbavu. Huna akili. Una makalio tuHujui hata kuigiza ww pimbi wa ccm.
Acha kupanick kada mchovu wa ccm.Pumbavu. Huna akili. Una makalio tu
Usishangae kwa haya yanayoendelea.Huko Hanang sioni vifaa vya kisasa vya kuokolea kama helkopta zenye crane zaidi ya kuona mawaziri wakiwa na fimbo za magongo.
Chama tawala kinanunua mashangingi na kuyatawanya kwa Makatibu wake kwenye wilaya zaidi ya mia ishirini!
Mawaziri wananunuliwa V8 kila mwaka, V8 mpya Tsh. Mil. 500.
Kwanini msiwe na vifaa vya kisasa standby kwa ajili ya majanga? Yaani mkaacha kununua V8 na kuwekeza kwenye vifaa vya kisasa vya uokoaji!
View attachment 2833011
Umepigia jibu msitariUsishangae kwa haya yanayoendelea.
"Afrika haitapata maendeleo kwa sababu watawala wakati wote wanafikiria jinsi watakavyoendelea kubakia madarakani; nchi ziluzoendelea, viongozi wakati wote wanafikiria watakavyoyaendeleza mataifa yao" - Barack Obama, Rais mstafu wa USA.
Ndugu yangu, wala usitarajie kitu chochote cha maana kutoka kwa watu wanaofikiria wakati wote namna ya kuendelea kubakia madaraka.
Uliwahi kumsikia kiongozi wa CCM au wa Serikali ya CCM akitamka kuwa, ninataka Tanzania iwe na mifumo bora ya uokoaji au kukabiliana na majanga mielele yote? Au hata kysema tu kuwa nataka Tanzania iwe na uongozi mzuri milele yote? Au nataka Tanzania iongozwe na watu wanaokubalika na umma miaka yote?
Lakini ni dhahiri, mara nyingi kuna wale wapumb.avu utawasikia, "CCM itatawala milele", pu.mbavu kabisa, hivi CCM ikitawala milele au isitawale milele, kuna nini cha maana kwa Taifa. Tungewaona wana akili timamu kama wangekuwa wanasema, tutahakikisha Tanzania inakuwa na utawala na viongozi bora kabisa wakati wote.
Tatizo kubwa la Tanzania, kubwa kuliko lote, ni CCM. Inazuia mifumonya kidemokrasia kufanya kazi ili nchi iwapate watu wenye maono, hekima, utashi na ubunifu, kuongoza nchi na taasisi zake mbalimbali.