Nilijua ukimya mwingi wa Simba SC utaiumiza Yanga

Vigagula fc
Matambiko fc
mbumbumbu fc
Jichagulieni jina jipya litakalotumika msimu ujao
Haya yangetufaa maana sisi ni SC sio Afv
Kidimbwi Sc
Utopolo Sc
Matopeni Sc
Gongowazi SC
Ndala/malapa Sc
Pepe kale Sc

Shangazi wa Jiesiem umeelewa?
 
Hamjaipigia promo kwakua nyie sio wenyeji wala sababu sio hiyo unayoisema hapa.

Kama simba ndo angekua mwenyeji ungeona jinsi msemaji wenu anavyozunguka na gari ya matangazo mtaani kuwaasa mkaujaze uwanja.
 
Mbona unaenda mbali kutafuta mifano wakati juzi hapo tulicheza?

Ukitaka tutumie mifano ya mbali sidhani kama utatoa ushirikiano wa kujadili zile 4-1 za FA
Unazungumzia ile sare mliyoshangilia wiki nzima
 
Unapotumia neno mikia basi hapo kwenye jina la timu yako weka utopolo isomeke hivi "Utopolo wanafnya kama wanaiogopa mikia"

Dada wa jiesiem wewe
Da babra punguza makasiriko basi,yan povu limekutoka kuliko lile povu ulilolitoa uliposhikwa tako na mkude!
 
Mi nimezungumzia mechi yenu ya mwisho mliyocheza FA

Hiyo mechi unayoisema wewe ambayo huyo mayele alifunga hakuna mtu wa sports anaweza kuelezea kwa angle yeyote bila kuhusianisha na rushwa

Hujui mpira umejawa na hisia. Mistake za au wachezaji unahisiana vipi na rushwa? Rushwa haikukiwi kwa hisia bali kwa uthibitisho kutokana na ushahidi wa mpokea na mtoa rushwa. Katufute highlights za mechi ya juzi kati ya Bologna dhidi ya Intermilan. Angalia goli la pili la Bologna je ingekuwa ndio Yanga wamepata goli la namna hiyo nadhani mishipa ingekutoka haswa. Mpira wa miguu unaambatana na mistakes
 
Hiyo unayoisema wewe mistake kumbuka ndio ilikuwa sababu ya kamati nzima ya yanga kufanya mfululizo wa press kulalamikia hayo hayo unayoyaita ma mistake
 
Unazungumzia ile sare mliyoshangilia wiki nzima
Niache kushangilia sare ya 1-1 na USGN nikiwa ugenini nianze kupagawa na sare ya dhidi ya uto si itakuwa ubwege huo?

Sisi tulikuwa tuna send message kuwakumbusha mawazo yenu na fikra zenu ilivyoshindwa kufika mbali

Ile mehi naichukulia kama somo (siji kama viongozi wenu walijifunza) kwasababu kuna mengi ambayo mlikuwa mnayafikiria yakaja kinyume

Aucho mlimpa promo lakini siku ya mechi sina kumbukumbu kama hata alivuka mstari wa kati akiwa na mpira

Huyo mayele naye ndo mkampa promo lakini mwisho wa siku alijikuta akibembea kwenye msuli wa onyango
 
Hamjaipigia promo kwakua nyie sio wenyeji wala sababu sio hiyo unayoisema hapa.

Kama simba ndo angekua mwenyeji ungeona jinsi msemaji wenu anavyozunguka na gari ya matangazo mtaani kuwaasa mkaujaze uwanja.
Mbona nyie mliipigia promo mechi yetu wakati sio wenyeji?

Tena mara kibao mlikuwa mnatukumbusha humu kuwa subiri tarehe 11 mtamjua mayele ni nani

Yule mlopa naye huko insta alikuwa hakauki kila time ana mpost mayele na kusisitiza swala hilo hilo mpaka mimi nikaja kusema hapa kuwa anatengeneza dhana ya utabaka ndani ya club kwa kuwafanya wachezaji wengine wasiione thamani yao baada ya juhudi zao kumezwa na mchezaji mmoja kwa kigezo cha kuifunga simba kwenye ngao ya hisani.
 
Ukizungumzia Aucho unazungumzia chances zilizotengenezwa na Yanga. Je unataka kusema kuwa Yanga hawakutengeneza mashambulizi yeyote kwenye lango la Simba? Kuna header aliyoipiga Aucho ambayo ilikuwa ni free header hukuiona? Kuna shuti la Saidoo lililogonga mwamba hukuona? Nyie mmetengeneza big chances ngapi? Tukija kwa Mayele, ni kwamba ni mchezaji mmoja aliyekabwa kwa mabeki wawili kusaidiana.
 
Hiyo unayoisema wewe mistake kumbuka ndio ilikuwa sababu ya kamati nzima ya yanga kufanya mfululizo wa press kulalamikia hayo hayo unayoyaita ma mistake
Mistakes walizolalamikia ni za waamuzi. Hoja yako ilikuwa ni kuhusisha rushwa kutokana mistakes za mchezaji nikakuambia nenda kacheki goli la pili la Bologna dhidi ya Intermilan uone kipa alichokifanya katika mchezo muhimu kama ule.
 
Exactly [emoji817] hiyo ndio utofauti wa sisi Simba SC na utopolo.
 
Chances ndio nini?

Mnasajili wachezaji kwa ajili ya chances?

Kitengeneza shambulizi sio kufunga, unaweza kutengeneza shambulizi halafu ukawa huna mbinu ya kufanya shambulizi lako lilete madhara

Hizo za kugonga mwamba na offtarget mbona kwa makambo ni nyomi sana lakini ndo mara zote anaanzia bench kwanini msimpange?

Kwa hiyo na sasa hivi mnategemea chances na offtarget?
 
Mistakes walizolalamikia ni za waamuzi. Hoja yako ilikuwa ni kuhusisha rushwa kutokana mistakes za mchezaji nikakuambia nenda kacheki goli la pili la Bologna dhidi ya Intermilan uone kipa alichokifanya katika mchezo muhimu kama ule.
Na ndio maana nimesema kama nyinyi ile hamkuichukulia mistake unafikiri ni busara kwa sisi kuona mistake kwenye jambo la kizembe kama lile?
 
Simba kaeni kimya kesho uwanja wakaujaze wenyewe, wachezaji wetu wamezoea kucheza ugenini bila mashabiki.

Pesa wazotegemea ni viingilio sass tuone sisi match za kimataifa tumecheza 5 hivyo tumeingiza zaidi ya milioni mia 600.

Wao hawafanya biashara yoyote zaidi ya kutukana.

Manina uwanjani hatuendi.

Bodi ya League walimshambulia CEO wetu siku tunacheza nanyi.
 
Na ndio maana nimesema kama nyinyi ile hamkuichukulia mistake unafikiri ni budara kwa sisi kuona mistake kwenye jambo la kizembe kama lile?
Jambo lipi la kizembe, kwahiyo uzembe wowote kwenye mpira wa miguu ni kupewa rushwa?
 
Jambo lipi la kizembe, kwahiyo uzembe wowote kwenye mpira wa miguu ni kupewa rushwa?
Inamaana wewe ni mkubwa kimawazo kuliko uongozi wa yanga ulioweka tume ya kulalamika kwenye press kila uchao?

Inamaana hawakufika angle hii unayoisema wewe hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…