Nilikamata simu ya mke wangu wanachati na mdogo mtu wananisengenya

Nilikamata simu ya mke wangu wanachati na mdogo mtu wananisengenya

Choosen85

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
2,337
Reaction score
5,668
Hongereni kwa darasa la sheria kutoka kwa mh. Ndugu T.A.M LISSU.

Nipo na mke wangu sasa ni mwaka wa 4 sijwahi mpiga hata kofi maana anajitahidi kwenye utii kwa kweli.

Alimleta mdogo wake wa kike huku na alipofika nikaona yupo yupo tu niliamua mtafutia sehemu angalau awe anajifunza ufundi wa kushona nguo.

So nilikuwa natoka naye asubuhi nampitisha huko kwenye ushonaji mi nasepa zangu job, mmmh ikafikia kipindi akawa rafiki yangu sana na akawa ananishirikisha mambo meengi sana nampa ushauri.

Kumbe dada mtu naye wivu ukawa umemkaba sana ila hasemi sijui ilikuaje akawa sijui ananipeleleza kwa mdogo wake kama namtaka ama laah au nimeshamtongoza au namna gani.

Usiku mi nimelala zangu wao wako sebuleni kumbe wako wanachat wananisema moja ya sms ya mdogo mtu ilisema 👉 mi simtaki na simpendi hata afanyeje, dada mtu akajibu kwa kicheko.

Nilijiuliza sana kosa langu ni lipi nimewakosea nini hawa ndugu, kama wananisema hivi nikiwepo vipi napokuwa sipo wakiwa wanaongea wanasema mangapi hawa. 😡

Niliwaza kuwatimua wote ila mtoto alikuwa bado mdogo sana, nilichoamua sasa nilimramba mdogo mtu na baada ya kumramba nikampa nauli akasepa basi.

Kama nilikosea mniseme tu wakuu 🤔
 
Ili tupate maarifa si unajua ndoa hazieleweki zipoje hasa kwa sisi tulio nje Kwahiyo tunawahi ili tupate darsa la moto moto siku na sisi tukioa tunajua vitu vingi vingi kidogo

Acha nichukue nondo kutoka kwa wachangiaji 😁
Utapotea mdogoetu, anza kurasa yako mpya! Raha ya ngoma ingia mwenyewe uicheze!🫴🏾
 
Screenshot_2026-01-29_233025.jpg
 
Back
Top Bottom