Nilikamata simu ya mke wangu wanachati na mdogo mtu wananisengenya

Nilikamata simu ya mke wangu wanachati na mdogo mtu wananisengenya

Haukupaswa kuchukua maamuzi kama hayo, kwa kufanya hivyo umekosea na kuvunja heshima ya mwanaume kama kichwa cha familia katika ndoa. mkeo hakukusengenya kwa kukusudia, wala shemeji yako hakukusema kwa kudhamilia. mkeo ni wivu ulimuendesha kufanya hivyo na shemeji yako ilimlazimu kama kujitakasa na kuonesha kuwa hana hatia katika hisia za dada yake. kijana umekosea kuufunua uchi wa mdogo wa mkeo pasipo kumuoa, naamu utapaswa kumuoa pia kama Yakobo alivyofanya kwa Lea na Raheri, tofauti na hapo usijione mjanja isipokuwa ni upumbavu na uzumbukuku wa maarifa.
 
Ili tupate maarifa si unajua ndoa hazieleweki zipoje hasa kwa sisi tulio nje Kwahiyo tunawahi ili tupate darsa la moto moto siku na sisi tukioa tunajua vitu vingi vingi kidogo

Acha nichukue nondo kutoka kwa wachangiaji
huwezi kujua utamu wa ngoma kabla hujaingia kucheza,oa tukupe nondo.
 
Haukupaswa kuchukua maamuzi kama hayo, kwa kufanya hivyo umekosea na kuvunja heshima ya mwanaume kama kichwa cha familia katika ndoa. mkeo hakukusengenya kwa kukusudia, wala shemeji yako hakukusema kwa kudhamilia. mkeo ni wivu ulimuendesha kufanya hivyo na shemeji yako ilimlazimu kama kujitaka na kuonesha kuwa hana hatia katika hisia za dada yake. kijana umekosea kuufunua uchi wa mdogo wa mkeo pasipo kumuo, naamu utapaswa kumuoa pia kama Yakobo alivyofanya kwa Lea na Raheri, tofauti na hapo usijione mjanja isipokuwa ni upumbavu na uzumbukuku wa maarifa.
 
Sehemu yoyote ile ukitaka kujua wanakuonaje wewe omba ruhusa kwenda chooni, acha simu inarekodi sauti, fanya hivi katika mazingira ya kijanja wasianze kuhisi simu umeiacha makusudi ili uwarekodi,

Kaa huko chooni hata dakika 5 majibu kayasikilize ukifika kwako, usipaniki.
 
Haukupaswa kuchukua maamuzi kama hayo, kwa kufanya hivyo umekosea na kuvunja heshima ya mwanaume kama kichwa cha familia katika ndoa. mkeo hakukusengenya kwa kukusudia, wala shemeji yako hakukusema kwa kudhamilia. mkeo ni wivu ulimuendesha kufanya hivyo na shemeji yako ilimlazimu kama kujitaka na kuonesha kuwa hana hatia katika hisia za dada yake. kijana umekosea kuufunua uchi wa mdogo wa mkeo pasipo kumuo, naamu utapaswa kumuoa pia kama Yakobo alivyofanya kwa Lea na Raheri, tofauti na hapo usijione mjanja isipokuwa ni upumbavu na uzumbukuku wa maarifa.
Seran umeona nondo za kuchukua hizi
 
Kwahiyo kama using ona hayo, ungeendelea kumuheshimu kama shemeji.

Ila mke nae kimemulamba.. Sijui Yupoje kwa familia yetu hatuwezi jadili hayo kabisa hata kifra..

Angerudi na mimba ingenoga eeeeh.. Sijui kama alisubutu kumwambia dadake.. Jibu lake tu lilikuwa lakuyataka.. Dada mjinga sana..

Nimeandika namimi kujibu tayari posti 😅😅😅
 
Back
Top Bottom