Laana ikupate ww na family yako, hakuna gundu kwenye maisha yangu daima ni mshindi sn, watu wanaoa mtu na dada yake vp huyo naye ana gundu 🤔 mdogo wa mke wangu mi nina udugu naye kwa lipi sina hata ubinamu naye, haya dada yake mi nina udugu naye jibu ni hapana hana damu yangu hata kdg tu.....ni kwamba mdogo mtu siku nikikutana naye tena nato.mba vzr tu.Unalala na dada na NDUGU yake, hiyo ni laana mbaya sana. Gundu halitakuaacha milele Hilo. Nuksi na balaa kwa uzao.