Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,306
- 14,632
huwezi kujua utamu wa ngoma kabla hujaingia kucheza,oa tukupe nondo.Ili tupate maarifa si unajua ndoa hazieleweki zipoje hasa kwa sisi tulio nje Kwahiyo tunawahi ili tupate darsa la moto moto siku na sisi tukioa tunajua vitu vingi vingi kidogo
Acha nichukue nondo kutoka kwa wachangiaji
Ndiyo hivyo tunachuja ambayo hayaeleweki tunaachana nayo 😅We shauri yako!😆 wengine humu wameshindikana kwa mungu na kwa mganga!
Mpaka saiz hamjamwambia gharama za ulaji na shughuli kwa ujumla nyie sio wana😃Si jamaa etu snaps mwezi wa tano 😅
Kwahiyo lazma tuwe na mawili matatu sisi washenga wa bwana harusi
Seran umeona nondo za kuchukua hiziHaukupaswa kuchukua maamuzi kama hayo, kwa kufanya hivyo umekosea na kuvunja heshima ya mwanaume kama kichwa cha familia katika ndoa. mkeo hakukusengenya kwa kukusudia, wala shemeji yako hakukusema kwa kudhamilia. mkeo ni wivu ulimuendesha kufanya hivyo na shemeji yako ilimlazimu kama kujitaka na kuonesha kuwa hana hatia katika hisia za dada yake. kijana umekosea kuufunua uchi wa mdogo wa mkeo pasipo kumuo, naamu utapaswa kumuoa pia kama Yakobo alivyofanya kwa Lea na Raheri, tofauti na hapo usijione mjanja isipokuwa ni upumbavu na uzumbukuku wa maarifa.
Kwa nini 😁Ata usikae hapa dosho🥲
Hakuna la kujifunza etiKwa nini 😁
mchukue ostadh juma dua zake fupi fupi tutawahi kula 😂😂😂Kabisa nishaandaa kanzu tunasuburi tamko lake tu, nimfate ustadh chap alhamis ndoa ifungwe😁
hakuna hata moja kweli ? 😁Hakuna la kujifunza eti
Huyo mkaanga sumu wa Mwanza achana nae tu hawezi kukuelewa katika hili kisa hanitaki kijana wa watu.Seran umeona nondo za kuchukua hizi
Mtaani huku kuna maabaya ya buku tatu tatu nikuchukulie 😂Basi nami nikanunue gauni niwasindikize😂
Hakunaaa..!😅hakuna hata moja kweli ? 😁