Nilikamata simu ya mke wangu wanachati na mdogo mtu wananisengenya

Niliwaza kuwatimua wote ila mtoto alikuwa bado mdogo sana nilichoamua sasa nilimramba mdogo mtu na baada ya kumramba nikampa nauli akasepa basi.....
Kama nilikosea mniseme tu wakuu πŸ€”
Zingatia maelezo ya kikao chetu mkuu, baada ya kumramba mdogo mtu Mkeo hapaswi kujua na akijua ndio utajua kwanini ulimramba mdogo mtu
 
Nazan hukupaswa kufanya hivyo japo design hiyo yafimilia (mkeo) ni ya kimalya

Mkeo aulize kwa mdogo wake kuwa ajakutongoza
Nae ajibu ata simtak wakt wew ujaonyesha kumtak mean unajiheshimu

It like cooked story
 

Elekeza nguvu zako kwenye uzalishi Mali
 
Kwanini unaleta mazoea na urafiki wa karibu kwa mdogo wake? angekufanyia wewe kwa kaka yako au mjomba ingekuwa vita kuu ya dunia ndani ya nyumba, ona sasa umeishia kulala naye na ilikuwa ndio nia yako na atajua , hakuna ndoa hapo na ata cheat pia ni swala la muda tuu
 
Unalala na dada na NDUGU yake, hiyo ni laana mbaya sana. Gundu halitakuaacha milele Hilo. Nuksi na balaa kwa uzao.
 
Nipasie Namba Ya Shemeji Mdogo Kama Hutojali,,,Tugawane Majukumu..​
 
Mkuu,
Mi nimependa jinsi ulivyohitimisha, kwamba kama kukusema tukuseme tuu, ila umeshamla mdogo mtu.... umetisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…