Huu ushauri alibipa bi mkubwaMi kukopa benki hapana. Bora nikope kwenye vikoba
Sema kweli Bumija [emoji1787]Jina tamu Shunie
Yes kule riba rafikHuu ushauri alibipa bi mkubwa
Taja muda wa marejeshoAcha kabisa aisee!
Nikiwa nimepagawa na changamoto iliyokuwa inanikabili bila kujua la kufanya, nikakimbilia benki moja kuomba mkopo. Kufika pale nikamuambia afisa mikopo kuwa nahitaji m15, akaniambia m10 ni uftapata lakini si hizo ulizotaka. Nikaona kheri tu itaokoa kitu tena kwa kiasi kikubwa sana tu.
Wakati huo, simu inapigwa kila baada ya sekunde 20 kutoka huko kwenye chamgamoto iliyonifanya niende kukopa......nilipagawa sana. Wakati afisa mikopo ananieleza habari za makato n.k mi hata sikuwa nasikia chochote. Akili ilikuwa kwenye kupata pesa tu nikamalize tatizo. Siku kadhaa mbele nikafanikiwa na tatizo likaisha na akili ikarudi katika utulivu wa kawaida.
Siku zinavyoenda haraka, mwisho wa mwezi ukafika bwana! Aisee, ile naiangalia salary slip sikuamini nilichokiona......milioni 24 nahitajika kulipa. 24M!! Kwanza nilihisi baridi, harafu ganzi; baadae nikahisi uono wangu kama hauko sawa. Nikajiuliza imekuaje mbona sioni vizuri? Kwakuwa nilikuwa chumbani, nikasogea kwenye kioo kujiangalia. Dah, si ndo nakuta jicho moja la upande wa kushoto limejifunga, kope haitaki kupanda juu ('kukupila' watu wa pwani ya kusini wanasema). Nikajaribu kulifunua kwa mkono, wapi! Nikiliacha linajifunga tena. Hali iliendelea hivyo kama dakika 40 au saa moja hivi. Baadae sana ndo likarejea katika hali ya kawaida. Nilishapagwa, nilijua limeparalyse!
Mikopo!!!! Ukiweza kuachana nayo iache ndg'angu!
WhoWeBe, kulikoni kunivunja mbavu hivi?Acha kabisa aisee!

Hesabu za benki haziko hivyo. Ni kweli riba inategemea muda ila calculations siyo hizo za simple interest, ukiambiwa benki riba ni 17% unaweza kukuta ni 9.5% kwa hesabu za kawaida.Kitu usichojua ni kwamba hata Nmb au crdb riba ya 17 % ni kwa mwaka mmoja ,ukikopa miaka 5 tegemea kulipa zaidi ya 80% ya ulichopewa
riba ya benk Kama ni 15%, riba ya ujumla zidisha kwa miaka ya kulipaIla ndo 10M kwa 24M ? riba 100%+ huu ni wizi aisee
Wewe ndio hujui, riba ya bank halisi, chukua riba kwa mwaka zidisha kwa miaka ya kulipaWala siyo kweli. Ina maana hukujaza Mkataba mpaka usubirie slip? Maana mkataba huainisha kiasi chote unachopaswa kulipa.
Na hakuna benki Tanzania inayotoza riba ya zaidi ya asilimia 100. Hakuna.
Hii ni Chai.
Miaka 5 ndio kama 85% kwa hiyo 17%. Shida kubwa Bank zetu hazitoi elimu ya kutosha watu wengi huwa tunadhani 17% na hii hata mimi ilinikuta. Kitu kikubwa kaa mbali na Bank unaweza kupata magonjwa usiyotegema na baya zaidi customer care zao ni majanga, hapo ulipe mkopo interest kubwa halafu wanaokupa mkopo wanategemea uwape kitu cha juu. Lakini ndio kuna wakati shida hizi hazina adabu ila fanya ufanyalo epuka hizi Bank.Tusitishane jamani interest rate kwa mwaka ni Kati ya 16% mpaka 18% kwa mwaka kwa mabank haya tunayoyafahamu. Ukizidisha hiyo Raye na let say miaka mitano ya kulipia bado haifiki hata 100%. Ukute mtoa Mada alitaka arudishe pesa ndani ya miaka kumi.
Siyo kweli, fuatilia vizuriHesabu za benki haziko ivo.
Ni kweli riba inategemea muda ila calculations siyo hizo za simple interest, ukiambiwa benki riba ni 17% unaweza kukuta ni 9.5% kwa hesabu za kawaida.
Benki nyingi zinatumia Non Reducing Calculator na makanuni mengine ya kiuchumi.
Kwa mfano mimi nilikopa nmb 6,100,000 kwa riba ya 17%, kwa miaka 3 ningetakiwa nilipe 9.2M ila nlilipa 7.8M, sasa piga hesabu uone.
Una uhakika linaisha??? Unaweza ukaenda ukakuta mlima wa miaka 2 badoNimeanza kulipa deni la Board toka 2016 mpaka Leo halijaisha,nategemea Disemba tumalizane.Aisee kama ni mwanao mlipie tu chuo hili deni ni konyo sana japo bumu ni tamu sana enzi hizo chuo kupiga pombe na kuchakata mbususu ila kurejesha sasa
Ni miaka Saba au name NMBHapo swala la muda ni muhimu sana me niliwai kukopa milioni kumi kwenye the benk tha listern kwa muda wa miaka mitano ukweli haikufika hata milioni kumi na tano ilikuwa napaswa kurejesha kwenye 14 ivi so kama alichukua miaka nane lazima mlima utakuwa mrefu
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mi nlikopa crdb 20 mil narudisha 23.7 mil bado 2 yrs nimalizeAcha kabisa aisee!
Nikiwa nimepagawa na changamoto iliyokuwa inanikabili bila kujua la kufanya, nikakimbilia benki moja kuomba mkopo. Kufika pale nikamuambia afisa mikopo kuwa nahitaji m15, akaniambia m10 ni uftapata lakini si hizo ulizotaka. Nikaona kheri tu itaokoa kitu tena kwa kiasi kikubwa sana tu.
Wakati huo, simu inapigwa kila baada ya sekunde 20 kutoka huko kwenye chamgamoto iliyonifanya niende kukopa......nilipagawa sana. Wakati afisa mikopo ananieleza habari za makato n.k mi hata sikuwa nasikia chochote. Akili ilikuwa kwenye kupata pesa tu nikamalize tatizo. Siku kadhaa mbele nikafanikiwa na tatizo likaisha na akili ikarudi katika utulivu wa kawaida.
Siku zinavyoenda haraka, mwisho wa mwezi ukafika bwana! Aisee, ile naiangalia salary slip sikuamini nilichokiona......milioni 24 nahitajika kulipa. 24M!! Kwanza nilihisi baridi, harafu ganzi; baadae nikahisi uono wangu kama hauko sawa. Nikajiuliza imekuaje mbona sioni vizuri? Kwakuwa nilikuwa chumbani, nikasogea kwenye kioo kujiangalia. Dah, si ndo nakuta jicho moja la upande wa kushoto limejifunga, kope haitaki kupanda juu ('kukupila' watu wa pwani ya kusini wanasema). Nikajaribu kulifunua kwa mkono, wapi! Nikiliacha linajifunga tena. Hali iliendelea hivyo kama dakika 40 au saa moja hivi. Baadae sana ndo likarejea katika hali ya kawaida. Nilishapagwa, nilijua limeparalyse!
Mikopo!!!! Ukiweza kuachana nayo iache ndg'angu!
NdioNaama wanakata kitokana mshahara wako