raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Kama unaizungushia kwenye biashara unajikuta unatengeneza pesa nzuri kuliko hio unayo warudishiaMkopo wa miaka 8 ni uwendawazimu aisee. Huwa najiuliza watu huwa hawapigi hesabu kabla ya kuchukua mikopo? Inatia hasira sana kuona mtu anachukua 5m na kulipa kwa miaka mingi bila kujali analipa Tsh ngapi
Mimi sio mwalimuUnafundisha halmashauri gani mkuu?
[emoji120]Mimi sio mwalimu
Kwani hiyo miaka 6 ijayo bado itakuwa mil 10 deni?Ukikopa 10m kwa riba ya 17% kwa muda wa 6 years, utatakiwa kulipa Jumla ya 25+m. Mikopo inatumika hesabu za future value of money. Yaani thamani ya 10m ya leo kwa miaka sita itakuwaje?
Kwa hesabu za fasta umelipa riba 28% na sio 17 % kama unavyosema , hapo zinaongezeka vipi ,kwa nini kwenye mkataba wa mkopo hawaelezi haya ??Hesabu za benki haziko hivyo. Ni kweli riba inategemea muda ila calculations siyo hizo za simple interest, ukiambiwa benki riba ni 17% unaweza kukuta ni 9.5% kwa hesabu za kawaida.
Benki nyingi zinatumia Non Reducing Calculator na makanuni mengine ya kiuchumi.
Kwa mfano mimi nilikopa nmb 6,100,000 kwa riba ya 17%, kwa miaka 3 ningetakiwa nilipe 9.2M ila nlilipa 7.8M, sasa piga hesabu uone.
Ila Mzee Raraa Reree usipokuwa na timing inakula kwako.Kama unaizungushia kwenye biashara unajikuta unatengeneza pesa nzuri kuliko hio unayo warudishia
Yap kweli kwenye biashara changamoto ni nyingi sanaIla Mzee Raraa Reree usipokuwa na timing inakula kwako.
Mkuu soma tena nilichoandikaKwani hiyo miaka 6 ijayo bado itakuwa mil 10 deni?
Bado haingii akilini ulipe mara mbili ya deni.Mkuu soma tena nilichoandika
Mkuu hivyo ndiyo zilivyo hesabu za future value of money. Ni hatari sana.Bado haingii akilini ulipe mara mbili ya deni.
Muda wa mkopo ndiyo uhamua gharama ya mkopo kwa u Jumla wake. Kadri muda unavukua mrefu na marejesho uwa makubwa (riba haibadiliki)Bado haingii akilini ulipe mara mbili ya deni.
Ipo mkuu sema hujuiHii ni chai hakuna riba ya bank unaweza chukua 10 ukalipa 24 m kama riba haipo mkuu...riba ni 13% kwa bank nyingi...hiyo milion 12 imezidi saana haiwezi zidi 5m kama riba..ambapo riba plus interest unaweza kulipa milion 17 hapo umedanganya umma
Ila kama ulichukua kwenye sacoss ni kweli saccos riba zao ni kwa mwezi..ila bank riba zao ni annualy
Duuh,pole sana.Acha kabisa aisee!
Nikiwa nimepagawa na changamoto iliyokuwa inanikabili bila kujua la kufanya, nikakimbilia benki moja kuomba mkopo. Kufika pale nikamuambia afisa mikopo kuwa nahitaji m15, akaniambia m10 ni utapata lakini si hizo ulizotaka. Nikaona kheri tu itaokoa kitu tena kwa kiasi kikubwa sana tu.
Wakati huo, simu inapigwa kila baada ya sekunde 20 kutoka huko kwenye changamoto iliyonifanya niende kukopa, nilipagawa sana. Wakati afisa mikopo ananieleza habari za makato n.k mimi hata sikuwa nasikia chochote.
Akili ilikuwa kwenye kupata pesa tu nikamalize tatizo. Siku kadhaa mbele nikafanikiwa na tatizo likaisha na akili ikarudi katika utulivu wa kawaida.
Siku zinavyoenda haraka, mwisho wa mwezi ukafika bwana! Aisee, ile naiangalia salary slip sikuamini nilichokiona. Milioni 24 nahitajika kulipa. 24M!!
Kwanza nilihisi baridi, halafu ganzi; baadae nikahisi uono wangu kama hauko sawa. Nikajiuliza imekuaje mbona sioni vizuri? Kwakuwa nilikuwa chumbani, nikasogea kwenye kioo kujiangalia. Dah, si ndo nakuta jicho moja la upande wa kushoto limejifunga, kope haitaki kupanda juu ('kukupila' watu wa pwani ya kusini wanasema).
Nikajaribu kulifunua kwa mkono, wapi! Nikiliacha linajifunga tena. Hali iliendelea hivyo kama dakika 40 au saa moja hivi. Baadae sana ndo likarejea katika hali ya kawaida. Nilishapagawa, nilijua limeparalyse!
Mikopo!!!! Ukiweza kuachana nayo iache ndg'angu!
Mi nshachanganyikiwa tayariMkuu acha tu, wakopaji tunapitia hali ngumu hapa nilipo nahisi muda si mref ntachanganyikiwa.
Hapana, hesabu za benki riba huwa ni kwa mwaka, kwenye mkopo wangu ilionyesha hiyo 17%, ambapo kwa hesabu za kawaida ningelipa 51% kwa hiyo miaka 3. Hiyo 28% ni kwa miaka 3 so kwa mwaka ni 9.5%.Kwa hesabu za fasta umelipa riba 28% na sio 17 % kama unavyosema , hapo zinaongezeka vipi ,kwa nini kwenye mkataba wa mkopo hawaelezi haya ??
UMBA YASIKUKUTEEE...OMBA SANA NDUGU[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sio asilimia 100 tu bali 200...Wala siyo kweli. Ina maana hukujaza Mkataba mpaka usubirie slip? Maana mkataba huainisha kiasi chote unachopaswa kulipa.
Na hakuna benki Tanzania inayotoza riba ya zaidi ya asilimia 100. Hakuna.
Hii ni Chai.