Nshomile wa Muleba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,166
- 5,620
huweki kitu chochote unapaka kama yalivyo niliwahi kuyatumia tulienda kijiji kimoja mpakani mwa Mtwara msumbiji kuhubiri injili tuliambiwa hicho kijiji ni nyoko sana kwenye uchawi ila tulifika tukafanya huduma tukasepa bila kudhurika. ila nimeulizia bei za hayo mafuta original ni gharama sana kudadeki kuanzia 75K na kuendelea ila yana nguvu ya ajabu sana.
75k kwa lita 1 au kipimo gani
nayataka haya.
Nenda kafanye biashara group la matangazo
Mwamposa anachakachua sana ila idea yake ya kutumia mafuta kuponya watu imetokana na hayo mafuta ya Mzeituni ila sasa yeye amefanya kimkakati sana utapeli mwingi ila hayo niliyokutumia ndio yenyewe balaaduh, mkuu yani robo lita almost 100,000
sasa yale ya mwamposa si anapata hasara au anachakachua na alizeti?[emoji23]
au sioNenda kafanye biashara group la matangazo
Mwamposa anachakachua sana ila idea yake ya kutumia mafuta kuponya watu imetokana na hayo mafuta ya Mzeituni ila sasa yeye amefanya kimkakati sana utapeli mwingi ila hayo niliyokutumia ndio yenyewe balaa
Faida yake ni kubwa mkuu kuliko kucheza na vidogoli usiku bila sababu za msingi.. nikienda kijijini huwa nayabeba nilinunua mwaka juzi laki 3 na nusu mpaka leo yapo sijawahi kusikia takataka inaitwa mchawi inanisogelea iwe mjini au kijijini yaani shwariNikidaka kamshahara nikanunue haya.
ina maana lita 2 inakimbilia million[emoji23]
Hapa napokaa kuna vichawi viwili vinanisumbua ni vibibi.Faida yake ni kubwa mkuu kuliko kucheza na vidogoli usiku bila sababu za msingi.. nikienda kijijini huwa nayabeba nilinunua mwaka juzi laki 3 na nusu mpaka leo yapo sijawahi kusikia takataka inaitwa mchawi inanisogelea iwe mjini au kijijini yaani shwari
Faida yake ni kubwa mkuu kuliko kucheza na vidogoli usiku bila sababu za msingi.. nikienda kijijini huwa nayabeba nilinunua mwaka juzi laki 3 na nusu mpaka leo yapo sijawahi kusikia takataka inaitwa mchawi inanisogelea iwe mjini au kijijini yaani shwari
Sikuwahi kujua kama yero nao wako vizuri kwenye hiyo idaraIla mzee hiyo mita ya hapo chini ya reli mabawani pabaya sana,kwanza panagiza la maana alafu mwisho kutembea saa 2 usiku kuna wezi hatari.
Juzi kati nilienda arusha kumsalimia mama yani sikulala usiku mnzima jamaa walikuwa wanarusha mchanga juu ya bati naona waliniamulia kunikomesha maana tlka nitoke chugah hawajawahi.kuniwangia ndo maana huwa nikiwa arusha natumia vijiti sana.
Wamasai na waarusha wachawi sana
Mkuu mbona virgin olive oil supermarket lita unapata hata kwa buku 50, au unataka kuwapiga wana......Mwamposa anachakachua sana ila idea yake ya kutumia mafuta kuponya watu imetokana na hayo mafuta ya Mzeituni ila sasa yeye amefanya kimkakati sana utapeli mwingi ila hayo niliyokutumia ndio yenyewe balaa
hayana matokeo ya jambo tulilojadili hapo juu, mimi sifanyi biashara ya hayo mafuta nimenunua kwa matumizi yangu binafsi N:B Sijayanunua bongo niliagiza nje kama nilivyotuma kielelzo hapo juu. naenda zanguMkuu mbona virgin olive oil supermarket lita unapata hata kwa buku 50, au unataka kuwapiga wana......
Wapi bhana kwani kama zote ni virgin olive oil utofauti wake unakuwa wapi, acha hizo ishu za mwamposa mzee.......hayana matokeo ya jambo tulilojadili hapo juu, mimi sifanyi biashara ya hayo mafuta nimenunua kwa matumizi yangu binafsi N:B Sijayanunua bongo niliagiza nje kama nilivyotuma kielelzo hapo juu. naenda zangu
Kabla ya hapo, ulikua unakutana nao.Faida yake ni kubwa mkuu kuliko kucheza na vidogoli usiku bila sababu za msingi.. nikienda kijijini huwa nayabeba nilinunua mwaka juzi laki 3 na nusu mpaka leo yapo sijawahi kusikia takataka inaitwa mchawi inanisogelea iwe mjini au kijijini yaani shwari
kwa hiyo unataka tubishane ikiwa huo muda sina. baki na ujuaji wako maana watanzania kila kitu ni kubisha kumbe kichwani ni empty set kapake hayo mafuta ya elfu 50 unayosema ni virgin utanipa mrejesho.Wapi bhana kwani kama zote ni virgin olive oil utofauti wake unakuwa wapi, acha hizo ishu za mwamposa mzee.......