Nshomile wa Muleba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,166
- 5,620
huweki kitu chochote unapaka kama yalivyo niliwahi kuyatumia tulienda kijiji kimoja mpakani mwa Mtwara msumbiji kuhubiri injili tuliambiwa hicho kijiji ni nyoko sana kwenye uchawi ila tulifika tukafanya huduma tukasepa bila kudhurika. ila nimeulizia bei za hayo mafuta original ni gharama sana kudadeki kuanzia 75K na kuendelea ila yana nguvu ya ajabu sana.
75k kwa lita 1 au kipimo gani
nayataka haya.