Nilikosa amani yote kwa kusumbuliwa na wachawi, nilikuwa nalala alfajiri huku nanunua betri ya tochi kila siku, nilihama nyumba

huweki kitu chochote unapaka kama yalivyo niliwahi kuyatumia tulienda kijiji kimoja mpakani mwa Mtwara msumbiji kuhubiri injili tuliambiwa hicho kijiji ni nyoko sana kwenye uchawi ila tulifika tukafanya huduma tukasepa bila kudhurika. ila nimeulizia bei za hayo mafuta original ni gharama sana kudadeki kuanzia 75K na kuendelea ila yana nguvu ya ajabu sana.

75k kwa lita 1 au kipimo gani

nayataka haya.
 
75k kwa lita 1 au kipimo gani

nayataka haya.
Screenshot_1.png
 
duh, mkuu yani robo lita almost 100,000

sasa yale ya mwamposa si anapata hasara au anachakachua na alizeti?[emoji23]
Mwamposa anachakachua sana ila idea yake ya kutumia mafuta kuponya watu imetokana na hayo mafuta ya Mzeituni ila sasa yeye amefanya kimkakati sana utapeli mwingi ila hayo niliyokutumia ndio yenyewe balaa
 
Nikidaka kamshahara nikanunue haya.
ina maana lita 2 inakimbilia million[emoji23]
 
Faida yake ni kubwa mkuu kuliko kucheza na vidogoli usiku bila sababu za msingi.. nikienda kijijini huwa nayabeba nilinunua mwaka juzi laki 3 na nusu mpaka leo yapo sijawahi kusikia takataka inaitwa mchawi inanisogelea iwe mjini au kijijini yaani shwari
 
Hapa napokaa kuna vichawi viwili vinanisumbua ni vibibi.

Halafu vikinisumbua usiku asubuhi vinaniuliza umelalaje, nawajibu nimelala kama mtoto yani mwanana na shwari vinaiishia kuondoka.

Yani ni shida sana
 
Faida yake ni kubwa mkuu kuliko kucheza na vidogoli usiku bila sababu za msingi.. nikienda kijijini huwa nayabeba nilinunua mwaka juzi laki 3 na nusu mpaka leo yapo sijawahi kusikia takataka inaitwa mchawi inanisogelea iwe mjini au kijijini yaani shwari

kwanini mafuta ya mzeituni una nguvu na si zao/mti mwingine?

nini asili yake
 
Ila mzee hiyo mita ya hapo chini ya reli mabawani pabaya sana,kwanza panagiza la maana alafu mwisho kutembea saa 2 usiku kuna wezi hatari.

Juzi kati nilienda arusha kumsalimia mama yani sikulala usiku mnzima jamaa walikuwa wanarusha mchanga juu ya bati naona waliniamulia kunikomesha maana tlka nitoke chugah hawajawahi.kuniwangia ndo maana huwa nikiwa arusha natumia vijiti sana.

Wamasai na waarusha wachawi sana
 
Sikuwahi kujua kama yero nao wako vizuri kwenye hiyo idara
 
Mwamposa anachakachua sana ila idea yake ya kutumia mafuta kuponya watu imetokana na hayo mafuta ya Mzeituni ila sasa yeye amefanya kimkakati sana utapeli mwingi ila hayo niliyokutumia ndio yenyewe balaa
Mkuu mbona virgin olive oil supermarket lita unapata hata kwa buku 50, au unataka kuwapiga wana......
 
hayana matokeo ya jambo tulilojadili hapo juu, mimi sifanyi biashara ya hayo mafuta nimenunua kwa matumizi yangu binafsi N:B Sijayanunua bongo niliagiza nje kama nilivyotuma kielelzo hapo juu. naenda zangu
 
Wapi bhana kwani kama zote ni virgin olive oil utofauti wake unakuwa wapi, acha hizo ishu za mwamposa mzee.......
 
Faida yake ni kubwa mkuu kuliko kucheza na vidogoli usiku bila sababu za msingi.. nikienda kijijini huwa nayabeba nilinunua mwaka juzi laki 3 na nusu mpaka leo yapo sijawahi kusikia takataka inaitwa mchawi inanisogelea iwe mjini au kijijini yaani shwari
Kabla ya hapo, ulikua unakutana nao.
 
Wapi bhana kwani kama zote ni virgin olive oil utofauti wake unakuwa wapi, acha hizo ishu za mwamposa mzee.......
kwa hiyo unataka tubishane ikiwa huo muda sina. baki na ujuaji wako maana watanzania kila kitu ni kubisha kumbe kichwani ni empty set kapake hayo mafuta ya elfu 50 unayosema ni virgin utanipa mrejesho.
 
Back
Top Bottom