Smart Dude
JF-Expert Member
- Sep 23, 2023
- 553
- 644
Na hii ndio tafsiri ya ujamaa, kutukanana tukanana tu ovyo. Hatuwezi kukaa kupeana michongo inayojenga zaidi. Mark my words na Utanielewa siku upinzani ukichukua nchi, kwa sababu CCM Haitakaa milele. Wafundishe wanao kuwa capitalists unless watakuwa wasindikizaji tu....... na walalamikaji tu....Wewe ni smart dude usie na akili, Ignorance is bliss!
Ahh wapi mimi siwezi zaa Tanzania lol,Niko US kwenye real capitalism…. F*ck is you talking about!Na hii ndio tafsiri ya ujamaa, kutukanana tukanana tu ovyo. Hatuwezi kukaa kupeana michongo inayojenga zaidi. Mark my words na Utanielewa siku upinzani ukichukua nchi, kwa sababu CCM Haitakaa milele. Wafundishe wanao kuwa capitalists unless watakuwa wasindikizaji tu....... na walalamikaji tu....
Kama uko huko nilitegemea uelewe zaidi kuliko kina sie tulioko huku.. kama huelewi maana yake umejipa haki ya kudhani wasio huko hawafikirii kibepari... na huo ndio ujamaa wenyeweAhh wapi mimi siwezi zaa Tanzania lol,Niko US kwenye real capitalism…. F*ck is you talking about!
Mkuu, mimi nishamaliza kazi. Nimemu unfollow tayari. Ubaya ubwela.Uko ulimwengu upi?
Millard Ayo ni chawa mbobezi, Mwijaku na Dotto Magari ni cha mtoto kwa Millard Ayo.
Anachokifanya Millard Ayo ni kitu kibaya na hatari kuliko hata wanachokifanya hao kina Mwijaku.
Millard Ayo huwa anafanya haya inapokuja suala la kuripoti habari kuu mbaya dhidi ya serikali.
1. Mute (Hatoi kabisa hiyo habari)
2. Filter (Anachuja hiyo habari)
3. Spinning (Analeta habari nyingine tofauti ili kufifisha hiyo habari kuu)
Mjomba kaweka na evidence apo sasa hiyo chai inatoka wapi?Haya wewe lete ushahidi wako basi kama huna we ni kenge kama kenge wengine tu.Chai
Ana wafuasi wengi mnoYaani una akili timamu kabisa unamfollow Mwijaku, si utakua mwehu kama yeye.
Millard sio kibaraka wa Maria na Mange, ni mzalendo hasa. Hao Manyumbu wacha ya unfollow.Nimeanza kumcheki jamaa mida ya saa 6 usiku, ubao wa followers IG ulikua unasoma hivi (note muda juu kulia)
View attachment 3358595
Saa moja baadae saa 7 usiku, ubao unasoma hivi:
View attachment 3358596
Imagine hii ni usiku wa manane amwpoteza zaidi ya watu 200, je mchana itakuaje?
Ngoja nifuatilie hii.
Wengi ni mazezetaAna wafuasi wengi mno